GE2025 Heche: Wanaofanya haya kuna siku watalipa gharama

GE2025 Heche: Wanaofanya haya kuna siku watalipa gharama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeo Bara John Heche amefika hospitali ya Mnazi Mmoja kuwajulia hali wanaodaiwa kupigwa na Jeshi la Polisi katika viunga vya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.

Baada ya kuwajulia hali Heche amezungumza na baadhi ya viongozi waliokuwa hapo akieleza kuwa wanaofanya haya kuna wakati utafika watajutia.

"wanaofanyia watu haya manbo wajue kuna siku watalipa gharama ambayo ni kubwa sana ambayo hata wao watashangaa" amesema Heche

Leo CHADEMA ilitoa taarifa juu ya kupigwa kwa wanachama wake 16 ambao walienda kusikiliza kesi mahakamani.

Wanachama hao ni Flora Mkumbwa, Emanuel Akiyoo, Aloni Stephano, Salum Kitenge, Stanslaus Rutta Kitare, Jacob Bailemba, Saragana Bwire, Peter Msusi, Aron stephano, Naomi nyitambe, Awadhi Kalonga, Tabia Mwakikuti, Jacob kamonga, Obadia Mbekaka, Ibrahim Haduni, Jackobo na Lazaro Chiungu.

Pia Soma:
 
Back
Top Bottom