uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi: Tukishinda uchaguzi, tufanye bonge la party

    Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na makundi ya vijana wa CCM kisiwani Pemba katika Mkutano huo wa kampeni uliofanyika Ukumbi wa Mikutano Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, Oktoba 7, 2025 na kuwaambia "Tukishindi uchaguzi, tufanye bonge la party" Soma...
  2. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais nataka nikuombee kura hapa Jamii Forums. Lakini nami nina Maombi yangu kwako

    Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Amirijeshi mkuu. Naomba nikuombee kura hapa Jamii Forums hii ni platform kubwa huwezi kuimbeza. Ila na mimi nina Maombi yangu kwako Mama kama manne hivi maana ninachokiomba kiko ndani ya Uwezo wako. Mama kama unakumbuka kuna kipindi mitandao...
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi: Kwenye Kampeni huwasikii wenzetu akihubiri amani, unasikia siasa za Chuki, Uongo na Ubaguzi

    Mgombea wa Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza alipokutana na makundi ya vijana wa CCM kisiwani Pemba, katika mwendelezo wa mikutano yake ya kampeni, hafla iliyofanyika...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge CUF Siha auawa kinyama katika ugomvi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limesema linafanya uchunguzi tukio la kuuawa kwa Daud Mtuyehabi, aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama cha Wananchi (CUF) Jimbo la Siha. Tukio la kujichukulia sheria mkononi limetokea Oktoba 7, 2025 majira ya saa 1:30 usiku katika Kijiji cha Kilingi, baada...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Sina mashaka kuwa kuelekea uchaguzi mitandao ya kijamii itakuwa haifanyi kazi. Wafundisheni wa Tz namna ya kutumia VPN kwa wingi kwa mfano huu

    Nimeitoa Facebook nikaona ni vyema kushirikiana nanyi na wajuvi wa mambo (seniors) ili mtuelekeze zaidi. Kama hukuwahi kufahamu VPN ni nini na inafanyaje kazi, basi hebu nikufahamishe. Kwa miaka ya karibuni Tanzania kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu matumizi ya VPN. Sasa leo ngoja nikueleze...
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kitila azisaka kura, bila kujali mvua ilikuwa ikinyesha leo Dar

    Muda huu hata wakiambiwa na wananchi walale chini kwenye tope ili wapate kura watalala tu! ============== Leo Oktoba 7, 2025 Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Professa Kitila Mkumbo ameendelea na kampeni zake za nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa katika mtaa wa Kimara Baruti uliopo kata ya Kimara...
  7. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ismail Jussa alalamikia utozaji Kodi wenye kuumiza Wananchi Zanzibar

    Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho ambaye pia ni Meneja wa Kampeni wa Mgombea huyo Ismail Jussa Ladhu, amesema shida kubwa sana ya wananchi kukamuliwa katika kodi mbali mbali hapa Zanzibar ambapo amesema wenye vyombo vya moto wametakiwa wakasajili vyombo vyao na kuendelea kukamuliwa wakati watu ni...
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hakuna wakati sahihi zaidi kuliko huu wa Oktoba kwa waTanzania kubadili mwelekeo wa taifa letu

    WaTanzania hawataweza kubadili mwelekeo wa taifa lao kupitia kwenye sanduku la kura tarehe 29 Oktoba; kwa sababu wamenyimwa HAKI hiyo. Kwenda kupiga kura vituoni siku hiyo ni kwenda kuhalalisha tu mipango haramu ya kuendeleza utawala uliopo madarakani sasa hivi. Nafasi pekee waliyo baki nayo...
  9. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Golugwa awaka vikali wanachadema waliopigwa na polisi mahakamani. Endelea kuja kusikiliza kesi ya Lissu

    Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Aman Golugwa akiongea na Wanahabari leo Oktoba 07, 2025 nje ya Mahakama Kuu kanda ya Dar Es Salaam amewasihi wananchi na wananchama wa chama hicho kujitokeza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wao wa Taifa, Tundu Lissu. Sambamba na hilo Golugwa awaonyesha...
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi: Oktoba mwaka huu, jitokezeni kwa wingi kupiga kura na kuchagua viongozi wanaofaa

    Ujumbe wangu kwa vijana na Watanzania wote: Oktoba mwaka huu, jitokezeni kwa wingi kupiga kura na kuchagua viongozi wanaofaa. Lakini muhimu zaidi, amani yetu ni kipaumbele kuliko yote.”—Mwananchi mzalendo
  11. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mhandisi Kija Limbu aahidi kukamilisha Zahanati ya Kageye Baada ya Mkandarasi Kufukuzwa

    Mgombea Ubunge Jimbo la Katoro kupitia chama Cha Mapinduzi CCM Mhandisi Kija Limbu Ntemi, amewahakikishia wananchi wa kijiji Cha Kageye, Kata ya Nyachiluluma kuwajengea zahanati ambayo Mkandarasi wake alifukuzwa kwa kushindwa kutekeleza mradi huo. Mhandisi Ntemi ametoa kauli hiyo kwenye...
  12. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dorcus Francis: Wananchi wengi wanataka uchaguzi kufanyika badala ya “No Reform No Election

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Dorcus Francis, amesema wananchi wengi wanataka uchaguzi kufanyika badala ya kauli ya “No Reform No Election.” Akizungumza katika mahojiano na PM TV Tanzania, Dorcus alisema kuwa alipita kaya kwa kaya kuzungumza na...
  13. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutaheshimisha nchi yetu tukiwa na amani, tukifanya uchaguzi bila matatizo

    Akizungumza leo Jumanne, Oktoba 7, 2025, katika Wilaya ya Sengerema, jijini Mwanza, Dkt. Samia amesema: “Tutaheshimisha nchi yetu tukiwa na amani, tukifanya uchaguzi bila matatizo, vurugu au zogo. Tutaheshimisha nchi yetu tukizingatia sheria zetu, tukitafuta haki na kila mtu akapata haki yake.”
  14. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Samia ni Dada wa Hayati Magufuli

    Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema Rais Samia Suluhu Hassan amekamilisha na anaendelea kutekeleza miradi mbalimbali aliyoachiwa na mtangulizi wake Dk. John Magufuli ikiwamo daraja la Kigongo-Busisi ambalo ni refu zaidi Ukanda wa Afrika...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Kuna watu kazi yao kushusha heshima ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, naomba tuachane nao

    Mgombea urais Kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Samia Suluhu Hassan amesema jambo muhimu ni kuheshimisha jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania ndani na nje ya nchi tunaheshimisha nchi yetu kwa kuleta amani, kufanya chaguzi bila matatizo bila mavurugu, kufuata sheria zetu wenyewe, na kufuata...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Nchi haiendeshwi kwa matamko, inaendeshwa na Katiba; wanaofanya uchochezi wana ‘passport’, hawako nchini

    Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini Paul Christian Makonda amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) hakitakubali katiba ivunjwe kwa kutofanya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Ameongeza kwa kuwataka wananchi kudumisha amani kwakuwa hakuna Tanzania nyingine na kwamba wote wanaohamasisha uvunjifu wa...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shigongo: CCM ni chama namba 9 kwa ukubwa duniani

    Mgombea ubunge jimbo la Buchosa Eric Shigongo amewaambia watu wa Sengerema kuwa CCM ni chama namba 9 kwa ukubwa duniani, ikiwa hii ndio sababu ya watanzania wanapaswa kukiamini CCM. Ameyasema hayo leo Oktoba 07, 2025 akiwa katika mkutano wa kampeni wa chama hicho Sengerema mkoani Mwanza.
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanachama wa ACT-Wazalendo Kigoma aahidi Kutiki kura zote 3 kwa CCM

    Vituko vinaendelea, hivi sasa tumefika kituo cha Kigoma Mjini kwa ACT- Wazalendo tukielekea kutiki CCM :Alien: :Alien: :Alien: ------------ Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo kutoka Kata ya Majengo, Kigoma Mjini, ameahidi kupiga kura zote tatu kwa maana ya kura ya Diwani, Mbunge na Rais kwa...
  19. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutupeni kazi tujenge na kulinda Utu wa Mtanzania

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Samia Suluhu kwenye kampeni zake huko Buhongwa, Mwanza amesema, "CCM inaomba mtupe kazi, tukafanye kazi, tujenge utu wa Mtanzania, tuuheshimishe utu wa Mtanzania, na tuulinde utu wa Mtanzania."
  20. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shigongo: Hatuwezi kuwa Taifa ambalo mtu ambaye anaisema serikali anaonekana shujaa

    "Hatuwezi kuwa taifa la watu ambao mtu anayesema serikali vibaya anaonekana shujaa, vijana ni sikilizeni nyie ni Asilimia 75 ya watu wote katika nchi hii, nendeni kwenye mitandao mkatetee ukweli mazuri yaliyofanywa na serikali yetu," Eric Shigongo mgombea Ubunge Jimbo la Buchosa akizungumza...
Back
Top Bottom