Mgombea ubunge wa Mtumba mkoani Dodoma kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anthony Mavunde, amesema atasimamia kuvunjwa soko la Sabasaba na kujengwa upya, akisisitiza kuwa hatua hiyo inalenga kuboresha mazingira ya wafanyabiashara na kulipa sura mpya ya kisasa.
“Niliposema tunalivunja soko la...
Mgombea Ubunge wa Mtumba mkoani Dodoma kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anthony Mavunde, amewataka wananchi wa jimbo hilo kuhakikisha wanampigia kura, mgombea urais kupitia chama hicho, Samia Suluhu Hassan ili kumwezesha kuendelea kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisema ndiye...
Mgombea ubunge wa Mtumba mkoani Dodoma kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anthony Mavunde, ameahidi kuboresha sekta ya elimu kwa kuanzisha mpango wa kufuta michango kwa wazazi kuchangia mitihani ya wanafunzi.
“Lengo langu ni kuhakikisha mtoto wa Mtumba anasoma mazingira bora, bila mzazi...
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali imejipanga kuendelea kuimarisha miundombinu na ustawi wa wananchi wa Unguja na Pemba, kwa misingi ya umoja...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Richard Kasesela ametoa wito kwa watu kutotafsiri maoni ya mtandaoni kama ndiyo maoni ya taifa zima.
Haya ameyasema baada ya kuulizwa juu ya uwepo wa maoni hasi(negative comments) kwenye baadhi ya machapisho yanayohusu vifo vya makada wa CCM.
"ukichukua...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Uzi huu ni kwa ajili ya yanayojiri Tanzania baina ya mtawala mmoja na wananchi wake ambao hawataki kumpigia kura lakini yeye anasema lazima watu wamchague watake wasitake
Endelea kufuatilia update
Asante sana
SAYUNI BOY
Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Kiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema ataendelea kusimamia kwa karibu maendeleo ya vijana wa jimbo hilo, hasa katika...
Mmemsikia Nchimbi! Akiendelea kufanya unafiki wake!
==================
“Katika kipindi cha miaka hii minne na nusu, serikali ya CCM imeweza kusimamia usalama na amani ya nchi yetu. Imeimarisha vyombo vya ulinzi kwa kuongeza idadi ya waajiriwa wapya, mafunzo, vitendea kazi na mbinu za kivita. Leo...
Umejiandaaje na siku ya Uchaguzi Tar 29 Oct.
Maana Hakuna mtandao wa simu utafanya kazi.
Utasema unatumia VPN. Ila vpn bila data ni bure. Kwahiyo watazima internet.
Watafinya calls na sms. Kwahiyo call drops zitakuwa za kutosha.
Kwahiyo No internet. Call drops za kutosha . Tigopesa, Mpesa na...
Mwanachama wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema matamanio yake makuu ni kuona anaruhusiwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuonesha utofauti wa kampeni baina ya vyama vingine na kutimiza kusudio lake la kuongoza nchi baada ya kushinda uchaguzi, akibainisha kuwa Taifa...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Iringa imekutana na Baraza la Mila na Desturi la Wazee wa mkoa huo kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kutambua na kufichua vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao.
Lengo kuu ni kuwawezesha wazee hao kuwa walinzi wa maadili ya...
Hukumu ya kesi ya Luhaga Mpina dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) itasomwa Oktoba 10,2025.
Kesi hiyo namba 23617, ipo mbele ya majaji watatu wakiongozwa na Frederick Manyanda , Abdallah Gonzi na Sylvester Kainda.
Leo Jumatatu Oktoba 6,2025 Mpina amefika mahakamani akiongozana na...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeo Bara John Heche amefika hospitali ya Mnazi Mmoja kuwajulia hali wanaodaiwa kupigwa na Jeshi la Polisi katika viunga vya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.
Baada ya kuwajulia hali Heche amezungumza na baadhi ya viongozi waliokuwa hapo...
CCM inang'ang'ania madarakani, haitaki kutoka jumlajumla, nyinyi wananchi mnaweza kuiondoa CCM rejareja kwa kuanza na wabunge. Geuzeni uchaguzi huu kuwa ni kura ya maoni, kura ya kutokuwa na imani na CCM kwa kuwachagua wabunge wa ACT Wazalendo, na kule kwenye udiwani madiwani wa ACT Wazalendo"...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Wanachama wake kadhaa leo wamepigwa na Polisi wakati walipofika Mahakama kuu asubuhi ili kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu.
Pia Soma:
CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi waliofika...
Nitaweka historia mpya kwa kuwajumuisha walimu wa madrasa katika mfumo wa malipo ya Serikali, kuwapa mishahara, bima ya afya na hifadhi ya jamii.
Walimu hawa ndio msingi wa maadili, dini na malezi ya taifa, hivyo lazima wapewe heshima na thamani yao. Serikali isiyowajali wao ni Serikali...
Akizungumza kwa njia ya mtandao Oktoba 5, 2025 , Humphrey Polepole alieleza mambo yanayoendelea nchini kuwa kuna watu wanaopiga kelele kuhusiana na wizi, ufisadi, rushwa, dhuluma, ujambazi na magenge ya kiuhalifu ya kimafia kama CCM Mtandao huku kukiwepo jitihada za kunyamazisha wale wanaopiga...
Humphrey Polepole akizungumza na wananchi kupitia mitandao ya kijamii ameweka wazi kuwa waandishi waandamani wengi wamepewa mlungula na Serikali ili wasiongee mambo ya msingi, akitolea mfano kwenye hafla ya tuzo za ''Samia Kalamu'' kuwa Serikali ilitoa mlungula hadharani kinyume na matumizi ya...
Polepole Septemba 30, 2025 aliendelea kusisitiza kuwa uteuzi wa Dkt. Nchimbi kama mgombea mwenza wa Rais Samia, ulikumbwa na kashikashi ambazo zilipelekea kutaka kumtoa. Lakini wale anaowaita CCM mtandao walimtisha mama Samia kuwa hatakiwi kumtoa Emmanueli Nchimbi.
Polepole anasisitiza kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.