uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Kimiti: Wanasiasa msitumie mitandao ya kijamii vibaya na kuvunja amani ya nchi

    MWENYEKITI wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Paul Kimiti, amewataka baadhi ya viongozi na wanasiasa kuwa waangalifu katika matumizi ya mitandao ya kijamii, ili kulinda amani na mshikamano wa Taifa. Akizungumza katika mahojiano maalumu na Daily News Digital jijini Dar es...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sophia Simwa apiga magoti Kageye kuomba Kura za Rais Samia, Kija Limbu na Roza Mussa

    Mjumbe wa kamati ya utekelezaji UWT Mkoa Geita, Sophia Simwa amelazimika kupiga magoti mbele ya Wananchi wa Kijiji Cha Kageye Katika kata ya Nyachiluluma kuwaombea kura Dkt Samia Suluhu Hassan, Mhandisi Kija Limbu Ntemi na Roza Mussa ili wawe viongozi watakaopeleka maendeleo kijijini hapo...
  3. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa Mwaifunga: CCM ndio chama chenye hela na ndicho chenye ilani na bajeti, kichagueni mpate maendeleo

    Mgombea wa nafasi ya Ubunge jimbo la Tabora mjini kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) Hawa Subira Mwaifunga amekutana na kuzungumza na kikundi cha wanawake na Samia mkoa wa Tabora; Ambapo amewashauri kuendelea kukiamini na kukichagua tena Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa madai kwamba ndio...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu: Vijana wanashindwa kwenda kupiga kura kwa sababu ya ugumu wa maisha

    Salum Mwalimu: Vijana wanashindwa kwenda kupiga kura kwa sababu ya ugumu wa maisha, huu ni mwaka wetu tujitokeze kupiga kura ya ukombozi." Ameyasema hayo akiwa kwenye mwendelezo wa kampeni za kuomba ridhaa ya kuaminiwa kuwa rais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu mwezi huu. Pia Soma: Salum...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maandamano ya amani yafanyika Kariakoo kumpokea mgombea Udiwani

    Tuseme tu ni wanachama wa CCM Wameandamana kusaka kura Kariakoo:Alien::Alien::Alien: ----------- Wananchi wa Kariakoo wamefanya maandamano ya amani kwa ajili ya kumpokea mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo Haji Manara na mgombea Ubunge wa Jimbo la Ilala Mussa Zungu kwenye mkutano wa Kampeni...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi wa Rastafarians: Tuilinde amani ya Tanzania, vita ikitokea hatuna nchi ya kukimbilia, Tunamuunga mkono Rais Samia

    Hapa ni njaa ndo imezidi na hili joto la Daslam, nilikuwa nawaheshimu sana hawa jamaa nimeamini njaa ni mbaya sana :AYOO: ----------------- Umoja wa Rastafarians Tanzanian wamefanya matembezi ya amani ndani ya jiji la Mwanza kama njia ya kuenzi na kuhimiza mila, desturi, amani na upendo vigezo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kashakali: Mkinichagua nitachimba kisima kwa fedha zangu ili wananchi wangu msipate tabu, kwa sasa naogopa nitaambiwa natoa rushwa

    Mgombea ubunge jimbo la Kigoma Kusini kupitia CCM, Nuru Kashakali, ameahidi kuchimba kisima cha maji kwa fedha binafsi katika kijiji cha Katete, kata ya Ilagala, pamoja na kuboresha huduma za afya na miundombinu ya barabara katika vitongoji ili kurahisisha mawasiliano kwa wakulima Kashakali...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Wanasiasa wa kweli hawakai vyama vya wanaharakati

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM na Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 08, 2025 amempokea na Kumkaribisha kwenye Chama hicho aliyekuwa Katibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza Bw. Boniface Paul Mkobe Nzagamba...
  9. Desierto

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huu uchaguzi Raha sana mpaka Kuna wabunge hawahangaiki hata kufanya kampeni majimboni mwao

    Wanazunguka tu na mama mm jimboni kwangu gari ya kampeni imepita tu mara Moja Tena kipindi Rais amekuja. Hamna cha kampeni za mbunge Wala diwani.
  10. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC yasitisha Kampeni za ubunge Jimbo la Siha kufuatia kifo cha mgombea wa CUF, Daudi Ntuyehabi

    Kutokana na kifo cha aliyekuwa mgombea wa ubunge wa Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Daudi Ntuyehabi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesitisha shughuli za kampeni za ubunge katika jimbo hilo hadi maelekezo mengine yatakapotolewa. Ntuyehabi, alifariki...
  11. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Katibu Mtendaji wa CHADEMA Mwanza, Boniface Mkoba ajiunga na CCM

    Aliyekuwa Katibu Mtendaji wa CHADEMA mkoa wa Mwanza Bw. Boniface Mkoba, ameamua mwenyewe bila kulazimishwa kuachana na chama hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kupokelewa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, mbele ya mkutano wa kampeni za Urais kupitia...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Makonda: Nimekuja kuwauliza, Kosa la Samia ni lipi mpaka usinyanyuke kwenda kupiga Kura siku ya tarehe 29?!

    Paul Makonda akihutubia mkutano wa kampeni tarehe 08 Oktoba, 2025, Mkoa wa Mwanza amesema, "Nimekuja kuwauliza, Kosa la Dkt Samia ni lipi mpaka usinyanyuke kwenda kupiga kura siku ya tarehe 29?!"
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bashiru: Samia ana uwezo wa kudhibiti hizi RAPSHA za kupangwa

    Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi na Mbunge mstaafu Dkt. Bashiru Ali Kakurwa amewatoa hofu Vijana na Watanzania kwa ujumla, akiwaeleza kuwa Mgombea Urais wa Chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kiongozi madhubuti na hodari aliyeyashinda majaribu mengi, akisisitiza kuwa anao uwezo...
  14. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi na Mkewe wasimama njiani kununua mabungo wakitoka kwenye Kampeni Wete

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, akiwa ameambatana na Mke wake , wamesimama njiani kununua matunda aina ya Mabungo wakitokea Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, baada...
  15. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwinyi aahidi kutoa hati za mashamba ya karafuu kwa wananchi endapo atakuwa Rais

    Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema uamuzi wa Serikali kutoa hati za mashamba ya karafuu kwa wananchi ni sehemu ya mkakati maalum wa kuhakikisha zao hilo linaendelea kuwa nguzo kuu ya uchumi wa Zanzibar. Amesema Serikali imefanya tathmini ya kina kubaini njia bora ya kuwakabidhi...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Kikundi kilichomtukana Magufuli ndio hicho kinamtukana Samia, 'mimi ni size yenu' njooni tupambane

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Arusha Mjini Poul Makonda amesema kuwa kikundi kilichokuwa kinamtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wa awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Maguli wakati anapambania uhai wake ndio hao hao wanaomtukana Mgombea wa Urais Kwa Tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Damas Kamani: Oktoba 29 ni vita ya uzuri dhidi ya ubaya, vijana tutapambana

    Mbunge mteule wa Viti Maalumu kupitia kundi la Vijana, Ng’asi Damas Kamani, amempongeza Mgombea wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa hatua kubwa alizochukua katika kutatua changamoto za vijana nchini, hususan katika sekta za ajira, elimu, na uwezeshaji kiuchumi...
  18. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kawaida: Polepole ameamua kuichezesha familia, madai ya kutekwa ni kuishiwa mbinu za kuichafua dola

    Ameandika Chawa wa CCM na Mwenyekiti umoja wa vijana wa UVCCM Mohamed Kawaida Kupitia ukurasa wake wa Instagram. My take Taifa lina kijana kama huyu ambaye uwezo wake wakufikiria umeishia hapa hakika mwisho wake sio mzuri. "Inaelekea Polepole ameamua kuichezesha familia yake filamu...
  19. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanu Ameir: Samia ni mwanamke shupavu

    Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Makunduchi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wanu Hafidh Ameir, amesema uamuzi wa Chama cha ACT Wazalendo kutoweka mgombea wa urais mwaka huu ni ishara tosha ya kutambua kazi kubwa inayofanywa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye amethibitisha kuwa ni mwanamke...
  20. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia Kuitetemesha Mwanza Mjini Leo. Hotuba yake kuisimamisha Nchi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Mgombea Urais Kupitia CCM anatarajiwa kutua ndani ya Mwanza Mjini kwa ajili ya kufanya mkutano mkubwa wa kampeni. Ambapo mpaka sasa Mwanza Mjini imesimama na...
Back
Top Bottom