Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha African Democratic Alliance (ADA - TADEA), Georges Bussungu amenadi sera za chama hicho kwa wakazi mkoa wa Tabora, akiahidi kuimarisha ulinzi na usalama wa nchi na kudhibiti matukio ya uhalifu ikiwemo utekaji kwa kununua...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, anasema kumekuwa na michezo ya watu kujifanya wamepotea lakini baada ya uchunguzi wa mamlaka za usalama zinabaini hakuna ukweli ni michezo tu.
Askofu Jude Thadeus Ruwa'ichi akizungumza leo Oktoba 14, 2025 katika Misa ya Takatifu ya Hija ya UWAKA kuwategemeza Masista wa Shirika la Dada Wadogo Visiga Pwani, jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam ametoa tamko la baraza la maaskofu kupitia kamati ya haki na amani kuhusu uchaguzi mkuu 2025 na...
Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), amesena anaziona dalili za CHAUMMA kushinda urais wa Tanzania kwasababu Watanzania wameichoka CCM
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amewahakikishia wananchi kuwa jeshi hilo limejipanga kikamilifu kuhakikisha amani na usalama wakati wa uchaguzi mkuu. Amesema wananchi wanapaswa kwenda kupiga kura bila hofu kwani kila hatua ya mchakato imetiliwa mkazo katika kulinda usalama...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, kwa sauti ya mamlaka akemea vikali wanaovunja sheria mtandaoni, kwa kuchapisha matusi na jumbe nyingine zisizojenga kwenye jamii.
Wakuu,
Wameona safari hii wananchi waharudi nyuma, walichobakiza ni vitisho tu, tutawashughulikia, mara mimi ni amiri jeshi mkuu, mara msithubutu....... lakini unajua nini, sasa yamebaki kuwa maneno tu bila uzito wowote! Watanzania wanataka amani ya kweli inayobebwa na haki, wanataka wezi wote...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema mkoa wa kigoma umekuwa nyuma katika shuguli za maendeleo na hata kutetewa kwa wananchi wa mkoa huo kutokana na kukosa viongozi sahihi wa kuongoza mkoa huo.
Kauli hiyo ameitoa, Oktoba 13, 2025 wakati wa mkutano wa kampeni...
Kuhama tu Chama ndo anaanza kutoa na taarifa kuhusu mikakati ya CHADEMA hadharani
-----------
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Victoria, Mbunge Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho Ezekia Dibogo Wenje ametangaza kukihama Chama hicho na kujiunga...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akijibu Kapteni Tesha baadaya video yake kusambaa mitandaoni, amesema, Watanzania tusithubutu kucheza na maswala yanayohusu Jeshi letu la Ulinzi hiki ni chombo chetu nyeti, ndiyo taasisi yetu ya mwisho ya kuhakikisha mipaka yetu, na sisi tuko salama.
Soma...
"Tunataka hata sisi mtu mwenye 'Masters' akaongoze Kata, ndio tutakuwa tumefikia kwenye climax ya maendeleo yetu, tusiwe kama kule nyuma kazi fulan Fulani ni za watu wa elimu Fulani"-Balozi Mstaafu Brigedia Jenerali Francis Bernard Mndolwa
Kitendo cha kupiga kura oktoba 29 ni jambo muhimu na hatua muhimu ya kuelekea uhuru kamili wa Tanzania.
Kwa miaka mingi Africa imekumbwa na migogoro inayosabsbishwa na vita baridi na vita kivuli(proxy war) baina ya mataifa makuu mawili yaani Mmarekani na mrusi.
Leo hii ukichunguza kwa kina na...
"Ndugu Mgombea Urais nyumbani kwako ni Kizimkazi na dhahabu nyumbani kwao ni Geita. Katika maduhuli ya serikali ya shilingi trilioni moja tunayoyakusanya asilimia 30 inatoka Mkoa wa Geita na ulitoa maelekezo katika Mkoa wetu tutoe leseni kwa wanawake, Vijana na wenye ulemavu na wapo akinamama...
"Umadhubuti wa Chama chetu na hasa umadhubuti wa uongozi wako Dkt. Samia Suluhu Hassan katika vipindi ambavyo dunia imetikiswa, si Tanzania peke yake, tumepigwa na korona, kuna mabadiliko ya tabia nchi, kuna vita ambavyo vinatikisa uchumi wa dunia lakini pia kumezuka siasa za kujitambulisha kwa...
Samia kwenye kampeni zake zote akumtaja na kumeeleza vyema hayati Magufuli kama alivyofanya leo wakati yupo huko Chato!
Unafiki wa kura unaendelea
=======================
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amemkumbuka na...
Wakuu,
Yaani sielewi hiki kitu kabisa, mtu anapotoa tuhuma za jambo fulani kazi yake inakuwa imeisha, sasa ni kwa polisi na/au mamlaka husika kwenye tukio hilo kufanya uchunguzi na kuthibitisha kama jambo husika ni kweli au lah. Na ndio maana mtu anakuwa hana hatia mpaka pale itakapothitishwa...
Katika pitapita zangu najiuliza mbona hatuoni Mama Samia akiwa na mgombea mwingine wa Urais kutoka upinzani wakijibizana kwa Hoja... Radio, TV, Mitandao Yote ni kumtangaza mgombea Urais mmoja tu...
Nchi yenye wasomi na watu wenye Akili wengi wameshindwa kugombea Urais tukapata wapinzani
Mgombea ubunge wa Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Peter Serukamba amesema, Rais Samia Suluhu Hassan alifanya uamuzi sahihi kumteua Dk Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea wake mwenza wa urais.
Serukamba amesema Dk Nchimbi atakuwa msaidizi sahihi wa Rais Samia mara baada ya uchaguzi...
Mgombea urais kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo ameahidi kuwa endapo wananchi watampa ridhaa ya kuongoza Taifa, atapitia upya mikataba ya uwekezaji katika sekta ya madini nchini ili kuhakikisha kila Mtanzania ananufaika na uwepo wa rasilimali za madini.
Amesema mchakato huo utafanyika...
Huyu jamaa anaongea kwa vitisho sana! tusubiri tuone nguvu ya wanachi
-==============
Serikali Itahakikisha Tarehe 29 Oktoba Hakuna Mtu Atakayewazuia Watu Kwenda Kutimiza Haki Yao Ya Kupiga Kura.
Msemaji Mkuu Wa Serikali Na Katibu Mkuu Wa Wizara Ya Habari Sanaa Na Michezo Gerson Msigwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.