uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 JWTZ: Tunafuatilia kwa ukaribu hali ya ulinzi na usalama kuelekea Oktoba 29

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa tamko rasmi likieleza kuwa linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya Ulinzi na Usalama nchini katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 na 29 Oktoba 2025, kama ilivyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa...
  2. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hesabu chini - zimebaki siku 13! kufika Oktoba 29

    JE, UKO TAYARI Dokezo! Ujumbe kwa nafsi yako ✍🏿 1. Madikteta kwa kawaida hukamata taasisi zifuatazo za serikali, polisi, mahakama, jeshi, vyombo vya habari na tume ya uchaguzi n.k. hizi hutumika kama nyenzo za kutekeleza utawala wao wa muda mrefu na kuficha ukatili, dhuluma, dhuluma...
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kijana wa UVCCM aomba ulinzi wa jeshi la Polisi, adai kutishiwa uhai wake

    Chief Annex ameomba video hii imfikie Mkuu wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam. Amesema kwa sasa anapokea vitisho vya kutekwa na hata kuuawa, baada ya kuonekana akisifia Chama cha Mapinduzi (CCM) na kumsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa heshima na usalama wake...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiliba: Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini watangaza kuwa mabalozi wa amani

    Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu nchini Tanzania wametangaza kuwa mabalozi wa amani na usalama wa Tanzania wakati huu ambapo Taifa linajiandaa kushiriki kwenye Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ili kila Mtanzania apate haki ya kumchagua Kiongozi wamtakaye bila ya hofu ama wasiwasi kuhusu usalama na...
  5. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ezra Chiwelesa: Kuandamana ni kuwanyima wengine Haki ya Kikatiba

    Mgombea Ubunge wa Biharamulo Mhandisi Ezra Chiwelesa amesema kuandamana siku ya kupiga kura ni kosa kisheria maana huko ni kuzuia uchaguzi na pia jambo hilo litafanya kuwanyima wengine haki ya Msingi ya Kupiga Kura.
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Kesho tutawaambia namna ya kupiga kura ya urais

    Kamati ya Uongozi wa Chama cha ACT Wazalendo inatarajiwa kukaa kikao cha dharura usiku wa leo Oktoba 15, 2025 ili kujadili na kuamua ni namna gani wanachama wa chama hicho watapiga kura ya Urais au watampigia nani. "Usiku wa leo kamati ya uongozi wa chama chetu chini ya kiongozi wetu wa chama...
  7. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Said Miraj: Athari za kususia Uchaguzi ni kubwa. Sijui kama CHADEMA wamejaribu kutazama faida na hasara zake

    Mchambuzi wa siasa na mwanasiasa mkongwe Said Miraj amesema kuna athari kubwa sana kwa chama cha upinzani CHADEMA kususia Uchaguzi Mkuu ujao, akitaja mifano kadhaa ya makosa kama hayo yaliyowahi kufanywa na chama chake cha zamani, CUF. “Ni Uchaguzi wenye sura tofauti. Chaguzi nyingi zilizopita...
  8. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rajab Nyangasa: Wanao hamasisha maandamano ni washamba na wana Roho mbaya

    Watanzania wamechoshwa na yanaendelea ndio maana wanatafuta haki na maisha mazuri kwa njia ya maandamano. So wewe unapambania maslai yako kama wa Tanzania wanavyopambania. So na wewe acha ushamba na uchawa ============= Kada Wa Chama Cha Mapinduzi Rajab Nyangasa Akiwaonya Wanao hamasisha...
  9. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kailima: Ni kosa kisheria kuhamasisha watu wasipige kura

    Mkurugenzi wa Uchaguzi Bwa. Kailima Ramadhani amesema kwa muujibu wa sheria kifungu cha 129 cha sheria uchaguzi wa Rais, Ubunge na Madiwa Mtu ambaye kwa dhairi au kwa kificho yeye mwenyewe au mwingie kwa niaba yake anatumia au kutishia kutumia nguvu, vurugu au kizuizi au anasababisha au...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Umoja wa Mafundi Magari Kinondoni tutampigia kura Samia Suluhu

    Kipindi hichi ndio nimefahamu kwamba Tanzania kuna makundi yenye umoja, maana hati umoja wa mamalishe Tanzania nimeufahamu kipindi cha Samia ============== Umoja wa Mafundi Magari Kinondoni Dar Es Salaam umetoa wito kwa mafundi wengine nchini kumpigia kura mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bashungwa: Uongozi wa Rais Samia, Karagwe imekuwa kama Switzerland kutokana na ujenzi wa miradi mikubwa

    Bashungwa acha uongo wewe! Hiyo Switzerland unajua vizuri kweli! Uchawa unakusumbua sana Vumbi limejaa pale, wakazi wengine hata maji hakuna ====================== Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Karagwe Mkoani Kagera na Waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania Innocent Bashungwa amesema...
  12. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya Vijana wa Karagwe wafunga Mitaa kwa hamasa wakimsubiri Samia

    Vijana wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Karagwe, wakiongozwa na Mwenyekiti wao Alexius Sylivester, wamefanya hamasa kubwa ya kumkaribisha Mgombea Urais wa CCM, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye anatarajiwa kuzungumza na wananchi na wanachama wa CCM katika mkutano...
  13. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wenje: Kiongozi aliye tayari kufa ni Kiongozi aliyekata tamaa

    "Biblia inasema Mungu hafanyi kazi na watu waoga wanaoogopa ushindani. Sasa watu waoga wanaokimbia uchaguzi licha ya mapendekezo na maombi yao kufanyiwa kazi ni hodari na shujaa? Ni hatari sana kuwa na Kiongozi wa Chama Cha Siasa anayesema yupo tayari kufa. Kiongozi aliye tayari kufa ni Kiongozi...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Albert Chalamila: Nimesoma mitandaoni kuhusu fujo Oktoba 29, ndugu zangu mji wenu uko salama

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kumekuwepo na baadhi ya maandiko mbalimbali mtandaoni kuwa Vijana na Makada wa Vyama vya siasa wanahamasisha maandamano siku ya Uchaguzi Mkuu Octoba 29, 2025 ambapo amewaonya wanaotaka kujaribu kufanya vitendo hivyo kwani hawatofanikiwa. Chalamila ameyasema...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda Muliro kuelekea Oktoba 29, tumejipanga kwa kila tishio la kiusalama

    Jeshi la Polisi nchini limesema litaendelea kufuatilia kwa kina, kuzuia, kubaini na kutanzua matishio ya Usalama siku ya Oktoba 29, huku likitoa rai kwa Wananchi kujitokeza kushiriki ili kutimiza haki na wajibu wao wa Kikatiba bila ya kuwa na hofu yoyote. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es...
  16. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Muliro: Oktoba 29 mkajitokeze kupiga kura bila Hofu

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kupitia Kamanda Oktoba 15, 2025 Jummane Muliro, ameeleza kuwa kila Mtanzania ana haki ya kupiga kura hivyo Oktoba 29 wajitokeze kwenda kupiga kura bila hofu.
  17. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wamiliki wa "Online TV" zilizorusha maudhui ya Polepole wakamatwa na Polisi

    Wakuu, Watu wanne waliokuwa wanamiliki akaunti za mtandao wa Youtube za Wispoti TV, T.Media Two na Costa Tv wamekamatwa kwa madai ya kuendesha akaunti hizo bila ya kuwa na leseni. Akaunti hizo ni kati ya zile zilikokuwa zikirusha press za Polepole kila alipokuwa akizitoa. Kumbuka Polepole...
  18. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makalla: Kila mmoja atapiga kura kwa amani, na atakayeshinda atatangazwa kwa haki

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla, amewahakikishia wazee na wananchi wa mkoa huo kuwa serikali imejipanga vizuri kuhakikisha kuwa siku ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, itafanyika katika mazingira ya amani, utulivu na usalama kwa kila mwananchi. “Kupiga kura ni haki ya...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mafisadi matumbo joto: Kuwatishia Wananchi hakutawasaidia. Ondokeni kwa amani tuijenge nchi yetu kwa mikono ya jasho

    Mmegeuza nafasi za kisiasa kama vijiwe rasmi vya kujikusanyia utajiri wa kufuru mkichota kodi za Watanzania masikini kwa faida zenu na familia zenu. Mnafanya haya huku Watanzania tukiishi maisha magumu ya umasikini na tulikosa huduma za msingi kama matibabu hospitalini, maji safi na salama, dawa...
  20. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Tukipata wabunge wengi ndani ya bunge tunaenda kushughulika na CCM

    "‎Wamezuia mgombea wetu na kesho(leo Oktoba 15,2025) tunakwenda mahakamni kupata uamuzi, lakini kwa maamuzi yoyote yale bado nyinyi mna maamuzi ya kufanya." Aidha amesisitiza endapo Mpina asipopitishwa na Mahakama, wananchi wawachague Wabunge wa ACT Wazalendo "tukipata wabunge wengi ndani ya...
Back
Top Bottom