uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Oktoba 28 hakutakuwa na Kampeni naoa, nitauliza serikali kama watu wangu kula wali na nyama siku ya harusi yangu ni Rushwa?

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo amesema kuwa Oktoba 28, 2025 siku kabla ya Uchaguzi atafunga ndoa na Mkewe hivyo hakutakuwa na Mkutano wa Kampeni na kudai atauliza Serikali kama watu wake wa Jimbo hilo kula wali...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zungu aongoza waaumini wa Kiislamu kuombea uchaguzi mkuu 2025

    Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu katika Kata ya Ilala, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 12, 2025 wamefanya dua maalum kuiombea Tanzania amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29. Akizungumza katika dua hiyo, Mbunge wa Ilala aliyemaliza muda wake ambaye pia ni anagombea tea...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma kufanyika tambiko la kuombea Uchaguzi Mkuu

    Kiongozi wa Machifu wa Mkoa wa Dodoma, Chifu Yasin Bilinji amesema kuwa kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, tambiko limeandaliwa mkoani Dodoma kwa lengo la kuombea uchaguzi huo ufanyike kwa amani. Amesema kuwa kufanyika kwa amani na utulivu kwa uchaguzi huo ni mojawapo ya njia...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais ADA-Tadea: Amjibu Samia, "asema wapinzani wanaweza kuongoza nchi"

    Naona huyu mzee kaamua kumjibu bi mkubwa. Baada ya kutoa kauli yake ya kwamba vyama vya upinzania aviwezi kuonga nchi ila CCM ndicho chama chenye uzoefu. =============== Mgombea Urais wa chama cha ADA-Tadea, Georges Bussungu, amewabeza wanaodai wapinzani hawana uwezo wa kuongoza nchi Kwa kudai...
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ole Sendeka: Wafanyabiashara waliokosa zabuni Serikalini ndio wanaofadhili vijana na Vyombo vya Habari kuichafua Serikali

    Aliyekuwa Mbunge wa Simanjiro kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole Sendeka, amewataka Watanzania kuwapuuza watu wanaoeneza propaganda dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, akidai kuwa wengi wao ni wafanyabiashara waliokosa zabuni za Serikali. Akizungumza na waandishi wa...
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ole Sendeka: Vyama vya upinzani havina mipango madhubuti ya kisiasa, na ukosefu wa ukomavu wa kisiasa

    Kiongozi na mwanasiasa mkongwe nchini, Christopher Ole Sendeka, amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vimeshindwa kujijenga kisera na kiitikadi tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992. "Katika uchaguzi wa mwaka 2020, vyama vya upinzani ulikosa kura ulipata ushindi mdogo mno...
  7. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud: Watawala acheni vitendo vya mauaji na utekaji wa watu, Tutauana hadi lini?

    Mgombea urais wa ACT Wazalendo visiwani Zanzibar, Othman Masoud, ameibua mjadala mkali baada ya kutoa matamshi yenye uzito kuhusu hali ya kisiasa na kijamii nchini. Akizungumza katika kikao cha ndani cha chama chake, Othman alitaka watawala kuacha vitendo vya mauaji na utekaji wa watu, hasa...
  8. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ole Sendeka: Wanasiasa acheni kutumia vibaya mitandao ya Kijamii, tumieni kulinda misingi na umoja

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na aliyekuwa Mbunge Wa Simanjiro mkoani Manyara Bw. Christophar Ole Sendeka amewataka wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa ambao hawakupata nafasi za kuteuliwa kugombea nafasi za Urais ubunge na udiwani kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarahe 29...
  9. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waandishi wa Habari Mtwara wapatiwa mafunzo ya uandishi wa Haki na Weledi kipindi hichi cha Uchaguzi Mkuu 2025

    Waandishi wa habari mkoani Mtwara wamepewa mafunzo kuhusu namna ya kuripoti kwa kuzingatia haki, usawa na weledi katika kipindi chote cha mchakato wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025. Mafunzo hayo ya siku moja yameandaliwa kwa ushirikiano kati ya Kampuni ya Media Brains ya Dar...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Vijana tukalinde Amani, tusikubali kushawishiwa kuharibu Amani yetu

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni leo Oktoba 12, 2025, Runzewe, Mkoa wa Geita amesema; "Nchi inayoitwa JMT iko moja peke yake, na toka nchi hii imeundwa tumepigana vita moja tu na Idi Amin na kwasababu...
  11. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutajenga viwanda vya kuchakata maziwa Bukombe

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Samia Suluhu kwenye kampeni Bukombe ameahidi kuwa; "Tunakwenda kuinyanyua sekta ya maziwa [Bukombe] lakini pia kuweka viwanda vitakavyochakata maziwa ili maziwa yawe bidhaa na wafugaji wale waweze kuuza bidhaa fedha iingie mfukoni na maisha yaendelee. Hiyo...
  12. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais SAU atembelea Kaburi la Baba wa taifa, aweka shada la maua

    Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara Jana Oktoba 11, 2025, amezuru kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere eneo la Mwitongo Butiama mkoani Mara na kuweka shada la maua. Kyara amezuru kaburini hapo akiambatana na Mgombea mwenza...
  13. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutajenga soko la kisasa na maghala ya chakula Mbogwe

    gombea wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa ikiwa wananchi watampa ridhaa miaka mitano ijayo, Serikali yake itajenga maghala ya kuhifadhia mazao pamoja na soko la kisasa Wilayani Mbogwe mkoani Geita, ili...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Kila dereva Boda boda ukibeba abiria mwambie naomba Kura kwa ajili ya Samia

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda, akihutubia mkutano wa kampeni leo, Oktoba 12, 2025, katika Wilaya ya Bukombe, Mkoa wa Geita, amewaomba maafisa usafirishaji kumwombea kura Samia kwa kila abiria watakayembeba. "Boda boda wote ambao mmeshuhudia mapenzi ya Dkt...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Regina Mikenze: Hatutaki kumpoteza kijana hata mmoja katika maandamano, tunawaomba mkaitunze amani ya Tanzania

    Mgombea ubunge viti maalum kupitia CCM, Regina Henry Mikenze, akiwa kwenye kampeni Bukombe, Geita, leo Oktoba 12, 2025, amesema: "Serikali ya Samia imewekeza sana kwa vijana; iwaje leo wakalipize kwa kufanya vurugu katika nchi. Naomba niongee na vijana Wanawake wa Mkoa wa Geita, tunawaomba...
  16. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 TAKUKURU mnasema tumchague mgombea asie toa rushwa na yule asietoa rushwa yupo gerezani, sasa tumchague nani? Hatutaki hizo meseji zenu

    Tuna mgombea aliegawa pikipiki nchi nzima, tuna mgombea aliegawa baiskeli nchi nzima, yupo na mnamuona alafu mnanitumia messeji kwamba rushwa ni adui wa maendeleo, mchague mgombea asietoa rushwa alafu yule asietoa rushwa yupo gerezani sasa nimchague nani? Nyie TAKUKURU hampo serious? Sitaki tena...
  17. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutafanya utafiti mkubwa wa Madini Mbogwe

    Mgombea wa Urais wa JMT kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema endapo atapewa ridhaa ya kuunda Serikali katika kipindi kijacho cha miaka mitano, moja ya vipaumbele vyake vikuu itakuwa kufanya utafiti mkubwa wa maeneo yenye madini nchini ili kuongeza mchango wa sekta hiyo...
  18. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge wa Chama cha MAKINI Arusha awaonya Heche na Maria

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Makini Mkoa wa Arusha ambaye pia ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Simon Ngilisho, amewatoa angalizo kali baadhi ya wanasiasa na wanaharakati anaodai kuwa wanatengeneza matukio yenye lengo la kuharibu taswira ya amani ya Tanzania. Soma pia: Mpina...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Malisa awafungulia Kesi Rais Samia na IGP Wambura Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) The Hague

    Aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godfrey Malisa, amefungua rasmi kesi Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) iliyoko The Hague, Uholanzi akiwashitaki Rais Samia Suluhu Hassan na Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Camillus Wambura, kwa madai ya uvunjaji wa haki za...
  20. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge wetu mtarajiwa Godfrey wa kawe

    Pongezi kwako mbunge mtarajiwa tunaomba barabara ziwekwe lami ila kwa kuanzia zichongwe na greda tunakufa na barabara mbovu sana . Wenzetu wote mitaa yao imechongwa hata salasala magengeni amahoro kumechongwa. Maeneo haya ya mbezibeach B hayachongwa kabisa tunashanga tatizo ni nini. Mtafanya...
Back
Top Bottom