uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwinyi ahahidi kutoa fidia kwa wananchi waliotoa maeneo yao kujengwa mji wa Fumba

  2. sanalii

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Samia hana deni kwa "Wananchi" Anagombea akatimize nini?

    Nimeona mnufaika mmoja wa selikari dhalimu ya Samia akionesha bango kua mama hana deni, maana yake Huduma za kijamii zote mambo safi na wao "wananchi" Wameridhika. Sasa swali langu, huyu mama anagombea aende kufanya nini kama ameshakamilisha na hana deni kwa wananchi?
  3. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiliba: Tumeshuhudia Nepal na Madagascar vijana wameiua nchi yao wenyewe

    Mwenyekiti wa Kampeni ya Kitaifa ya Mama Asemewe Bw. Geofrey Kiliba amesisitiza umuhimu wa kila mmoja kuwajibika kulinda amani ya Tanzania, akitaka pia wale wote wenye maoni na hisia tofauti kutumia njia rafiki za kutaka mabadiliko badala ya maneno ya kichochezi na yenye kuhatarisha amani na...
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea wa ACT- Jimbo la Ukonga, Bakari Shingo, avamiwa na Kundi la Vijana Inayodaiwa kuwa Wafuasi wa CCM

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ukonga kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Bakari Shingo, amevamiwa na kundi la watu vijana wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), tukio lililotokea katika eneo la Pugu Mpakani, wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam. Tukio hilo, ambalo limetokea katika...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkeka Oktoba 29: Nani atatamba na odds zake?

    Wakuu, Ikiwa zimebaki siku 15 Watanzania tuamue jinsi tutakavyosonga mbele, bado hakuna anayeweza kusema kwa 95% kuwa jambo fulani ndio litajiri. Wanaoingia kwenye uchaguzi hawana uhakika, kwa upande mwingine mwanga unaonekana ila bado pia kusema kwa for sure jambo litakuwa hivi. ile tar 29...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama watoto wanakusanywa kwenye kampeni, basi waruhusiwe kupiga kura

    Haya sio mawazo yangu, ni mawazo ya mdau mmoja ambaye ni mwanaharakati wa watoto, ameshangazwa na baadhi ya vyama kukusanya watoto kwenye mikutano ya kampeni zao. Watoto hawa hukusanywa kama mafungu ili kuweka wingi kusikiliza ahadi za wagombea lakini hawana uwezo wa kuuliza maswali wala...
  7. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wazee wa Bukoba Watoa Wito kwa Vijana Kulinda Amani Kipindi cha Uchaguzi

    Wazee wa Bukoba mkoani Kagera wamewataka vijana nchini kuilinda amani ya Tanzania na kuepuka kushawishiwa kuingia katika vitendo vya uvunjifu wa amani, hususan katika kipindi hiki cha uchaguzi. Wazee hao wamesema hawatamani tena kushuhudia machafuko au vurugu nchini, wakieleza kuwa wao kama...
  8. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania itapitia kipindi kigumu ambacho haijawahi kupitia tokea iumbwe

    Niwape pongezi ndugu zangu watanzania, kwa uvumilivu, busara na hekima nyingi tulizo barikiwa, hivi karibuni nililala nikaota...! Nimeota kuwa dunia ipo kwenye kipindi cha mabadiliko hii ni kweli kabisa ni kama vile msimu wa kiangazi, masika nk. Hivi ndivyo ilivyo kwa msimu tuliopo...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tumetimiza ndoto na maono ya Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali yake ya awamu ya sita kwa kushirikiana na ile ya awamu ya tano zimefanikiwa kutekeleza kwa vitendo maono na fikra za Baba wa Taifa...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Afande Sele: Vijana acheni mihemko ya maandamano

    Mwanamuziki wa Hiphop, Selemani Msindi Afande Sele amewataka Watanzania hususani vijana kuacha kuwa na mihemko ya kushiriki maandamano badala yake washiriki Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa kutoshiriki ni kujinyima haki ya kikatiba. Akizungumza na JAMBO TV...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi: Bora Niendelee Kuuza Njegere kuliko kupiga kura, Sina Imani na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)

    Mgombea wa ubunge Jimbo la Uyole, jijini Mbeya, kupitia chama cha CHAUMMA, amekutana na tukio lisilo la kawaida alipokuwa akipita Soko la Uyole kuomba Kura kwa wananchi. Wakati akikatiza Sokoni hapo, mgombea huyo alimkaribia mama mmoja aliyekuwa akiuza Njegere na kumwomba Kura yake kwa ajili ya...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 RPC Kilimanjaro awasihi wananchi kutunza amani kwa maslahi ya nchi

    Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa amewasihi Wananchi kutunza amani kwa maslahi ya nchi na vizazi vijavyo ili kuleta maendeleo katika Taifa. Kamanda Maigwa ameyasema hayo alipokuwa akitoa elimu ya umuhimu wa amani kwa Watumishi wa Serikali na Wananchi katika ukumbi wa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Masanja Kadogosa: Vijana mjue amani ya nchi hii imejengwa kwa gharama kubwa lazima tuilinde

    Mgombea ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Bariadi vijijini mkoani Simiyu, Masanja Kadogosa amewasisitiza wakazi wa Kata ya Masewa hasa kundi la vijana kulinda amani ya nchi iliyopiganiwa na waasisi wa Taifa la Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abed Amani...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigaila kuhusu nani aliwagongea muhuri wabunge 19 wa CHADEMA?

    Benson Kigaila (aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA), kuwa ni nani aliyewateua wabunge 19 wa viti maalum akiwemo mke wa Kigaila na kugonga muhuri wa chama hicho bila ruhusa ya chama mwaka 2020?
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigaila alipoulizwa kuhusu kwanini wengi waliokimbia CHADEMA kutokuwahi kushinda uchaguzi?

    Majibu ya Naibu katibu mkuu bara wa CHAUMMA na mgombea ubunge jimbo la Kivule Benson Kigaila juu ya wengi waliohama CHADEMA kushindwa katika uchaguzi amesema watulie wasuburi matokeo ya sasa. Kigaila ameyasema hayo wakatia akifanya mahajiano na Wasafi Tv.
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri: Uchaguzi upelekwe mbele kwa wiki moja kuepusha vuguvugu la maandamano siku ya uchaguzi

    Salaam! Tukubali, au tukatae, aliyebuni wazi la Kutangaza maandamano siku ya uchaguzi, aliwaza mbali mno, Tunaona hivi sasa Hali ya kuchanganyikiwa kimkakati Katika namna Bora ya kuzuia maandamano wakati huo huo kuondoa hofu ya watu kujitokeza kupiga kura kufanikisha zoezi la uchaguzi. Na...
  17. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watanzania tusiandamane nenda ka tick 29 Oct au kaa nyumbani kwa usalama wako

    Ndugu wa Tanzania nchi yetu imetoka safari ndefu sana nchi yetu ina siri nzito na mikakati mizito kule tuna elekea. Tuna Mungu wa wa Tanzania Mungu wa Tanganyika. Naomba niwashauri kwa upendo na kwa unyenyekevu nenda kapige kura kwa amani 29.10.2025 au usiende kupiga kura baki nyumbani au nenda...
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais ADA- TADEA: Tunataka Jeshi imara na silaha imara, kila Mkoa Polisi wapewe Helikopta

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha African Democratic Alliance (ADA - TADEA), Georges Bussungu amenadi sera za chama hicho kwa wakazi mkoa wa Tabora, akiahidi kuimarisha ulinzi na usalama wa nchi na kudhibiti matukio ya uhalifu ikiwemo utekaji kwa kununua...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gerson Msigwa: Watu kupotea ni michezo na hii haikuanza leo

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, anasema kumekuwa na michezo ya watu kujifanya wamepotea lakini baada ya uchunguzi wa mamlaka za usalama zinabaini hakuna ukweli ni michezo tu.
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tamko la baraza la maaskofu kupitia kamati ya haki na amani Hali ya nchi juu ya haki ya uhai tunapomkumbuka baba wa taifa 2025

    Askofu Jude Thadeus Ruwa'ichi akizungumza leo Oktoba 14, 2025 katika Misa ya Takatifu ya Hija ya UWAKA kuwategemeza Masista wa Shirika la Dada Wadogo Visiga Pwani, jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam ametoa tamko la baraza la maaskofu kupitia kamati ya haki na amani kuhusu uchaguzi mkuu 2025 na...
Back
Top Bottom