uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Itutu: Tunaiomba Serikali itoke hadharani ikemee utekaji

    Mgombea Ubunge Jimbo la Ilemela kupitia Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC), Shabani Itutu ameitaka Serikali itoke hadharani kukemea matukio ya utekaji yanayoendelea kuripotiwa nchini Akizungumza na wananchi kwa nyakati tofauti kwenye ziara ya kampeni ya mtaa kwa mtaa katika kata ya...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikwete: Jitokezeni kwa wingi kupiga kura

    Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, leo amemnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Welezo, Zanzibar, Bi. Asma Mwinyi, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Uwanja wa Hawaii, Jimbo la Welezo, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi. Dkt. Kikwete, ambaye alikuwa mgeni rasmi...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji Zacharia: Mungu wabariki Watanzania wote wakakipigie Kura CCM kishinde kwa kishindo

    Si walitulikubaliana haitakiwi kuchanganya siasa na dini, imekuaje tena Mchungaji anapiga kampeni kabisa? Mchungaji Zacharia Samsoni, baada ya kupewa nafasi ya kuombea katika mkutano wa kampeni wa Mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, leo Oktoba...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Abdul Nondo: Zitto ana uwezo wa kupambana na Mafisadi

    Abduli Nondo ambaye ni Meneja Kampeni wa Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma mjini, Zitto Kabwe. Amewaomba wananchi kumrejesha bungeni ili akapambane na ufisadi kulingana na historia yake katika kupambana na vitendo hivyo. Nondo ametoa kauli hiyo wakati akimnadi mgombea huyo katika mkutano wa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jenista Mhagama: Tutajenga vyumba vya Madarasa zaidi ya 255 kupitia Ilani ya Uchaguzi CCM

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kitaendelea kusimamia ubora wa elimu katika Jimbo la Peramiho na kuongeza miundombinu ya vyumba vya madarasa 255 ili kuwezesha wanafunzi kupata elimu katika mazingira bora zaidi Hayo yamebainishwa na Mgombea Ubunge Jimbo la Peramiho, Bi. Jenista Mhagama...
  6. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ridhiwani: Zaidi ya watu 1,200 wenye ulemavu wameajiriwa Serikalini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Ridhiwani Kikwete, amesema serikali ya awamu ya Sita imefanikiwa kufungua milango ya ajira kwa watu wenye ulemavu ambapo zaidi ya watu 1,213 wameajiriwa katika taasisi mbalimbali za umma Amesema ajira hizo...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Wanaombeza Samia hata kwenye familia zao wana Migogoro, Rais anapaswa kuombewa

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Arusha Mjini Poul Makonda amesema kuwa wanaombeza Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan watakuwa na Matatizo hata na familia zao Makonda ameyasema hayo Leo Oct 13,2025 Katika Uwanja wa maonesho wa Dkt. Samia Geita Mjini Mkoani Geita...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Mtu asiyepiga kura anafanana na mwanaume asiyetoa hela ya matumizi

    Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameendelea na kampeni zake kwa kuzungumza na wananchi mbalimbali mkoani Geita katika Stendi Kuu ya Mkoa na Kijiwe cha Kahawa akiwahamasisha kumpigia kura Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan. Leo Jumatatu...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutajenga tawi la (JKCI) hapa Geita ili mpate matibabu ya moyo

    Mgombea urais kupitia chama C ha Mapinduzi CCM Samia Suluhu Hassan ameahidi ujenzi wa tawi kama la Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete JKIC mkoani Geita ili kuhakiksha watu wa Geita wanapata matatibu ya moyo bila kutoka nje ya mkoa huo. Rais Samia ameyasema hayo leo Oktoba 13, 2025 katika...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ole Sendeka: Rais Samia hata ukimuangalia usoni kwa moyo wa upendo alionao hawezi kuhusika na Utekaji, ni kiongozi mwenye upendo wa dhati kwa nchi

    Mwanasiasa mkongwe na Mbunge wa zamani wa Simanjiro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole Sendeka, amepinga vikali matukio ya utekaji yanayoripotiwa kutokea nchini, akiyataja kuwa ni vitendo vya hovyo na visivyokubalika katika taifa linalothamini haki na utu wa binadamu Akizungumza...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Bina: Wanaotaka kuandamana Oktoba 29, Samia usiwahuruhusu, walegezwe kidogo, ningepewa hata unaibu IGP ningewavunja asubuhi tu!

    Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Nchini (FEMATA), John Bina, amemwomba mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, kuchukua hatua dhidi ya watu wanaodaiwa kupanga maandamano Oktoba 29, 2025, siku ya Uchaguzi Mkuu. Bina ametoa kauli hiyo leo, Oktoba 13...
  12. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paresso: Samia ana sifa za kutosha kuongoza nchi

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso amewaomba wananchi wa jimbo la Kakonko kumchagua Mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kile alichoeleza kuwa mgombea huyo ana sifa zote za kuiongoza nchi. Paresso ameyasema hayo Oktoba 12 alipokuwa akizungumza na...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais wa Wachimbaji Madini: Napendekeza moja ya madini tuyabadilishe jina yaitwe 'Samia Suluhu Hassan'

    Rais wa Wachimbaji wa Madini Tanzania, John Wambura Bina, kwenye mkutano wa kampeni leo Oktoba 13, 2025, Mkoa wa Geita, amependekeza kwamba moja ya madini nchini yabadilishwe jina na yaitwe “Samia Suluhu Hassan” kama ishara ya kutambua mchango mkubwa wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kuendeleza...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gerson Msigwa: Vyombo vya dola vimejiandaa ili uchaguzi ufanyike kwa amani

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema vyombo vya dola vimejiandaa kuhakikisha uchaguzi wa Oktoba 29 unafanyika kwa hali ya utulivu, haki na amani huku akiwataka wananchi kujitokeza kwa wingi bila woga kuwachagua viongozi wanaowataka.
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dorothy Semu: Ndani ya siku 100 ACT-Wazalendo itahakikisha inaunda Tume ya Kijaji kuchunguza nani anahusika na Matukio ya Utekaji

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu kuwa chama hicho kikipata ridhaa ya kuongoza nchi kitahakikisha ndani ya siku 100 kinaunda tume ya kijaji ili itoe majibu ya matukio ya nani wanaohusika kupoteza na kuteka watu nchini Ametoa kauli hiyo Oktoba 12, 2025 akiwa Kata ya Pasua na...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 TAKUKURU yawahamasisha wenye ulemavu kupiga kura

    Kwani TAKUKURU wamemaliza jukumu lao la kupambana na Rushwa? hadi kuhamia kwenye jukumu la kumasisha watu kupiga kura ------------- Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 wa kuwachagua Madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
  17. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Coaster Kibonde atembelea familia ya Mwalimu Nyerere, aweka shada kaburini

    Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Makini, Coaster Kibonde ametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere na kuzuru kaburi lake. Akiwa nyumbani hapo Kibonde ametoa shukrani kwa familia ya Nyerere yake kwa mapokezi huku akisema njia pekee ya kumuenzi mwalimu Nyerere ni...
  18. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulinzi mkali wa Polisi Mahakama Kuu Dar, Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kusikilizwa leo Oktoba 13, 2025

    Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumatatu, Oktoba 13, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, wakati kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Tundu Lissu ikitarajiwa kusikilizwa leo.
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ole sendeka: Kuna watu ndani ya CCM wamenuna na wanaendelea kufadhili kampeni na Propaganda kubomoa heshima ya Mgombea Urais CCM

    Mbunge wa zamani wa Jimbo la Simanjiro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole Sendeka, amewaonya vikali wanaCCM wanaoshiriki kubomoa heshima ya Nchi na heshima ya Mgombea Urais wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan kwasababu ya kutokuteuliwa na Chama kugombea nafasi mbalimbali za uongozi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kitila: Rais Samia ameonyesha uimara wa kutosha katika kuongoza nchi

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo Professa Kitila Mkumbo, amewasihi watanzania kumpigia kura Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, akieleza kuwa Mgombea huyo anasifa zote za Kiongozi mkuu wa Nchi, ikiwemo uimara ‎ ‎Ameeleza hayo leo Oktoba 12, 2025 alipokuwa katika...
Back
Top Bottom