uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tumedumisha amani, demokrasia na uhuru wa kutoa maoni

    Katika Kipindi cha miaka mitano iliyopita, serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Samia Suluhu Hassan imetajwa kuendelea kuweka mazingira mazuri ya kudumisha amani, demokrasia na utawala bora nchini kwa kuimarisha na kukuza uhuru wa vyombo vya habari pamoja na kuimarisha uhuru wa asasi za...
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aunty LULU ahimiza amani na kukemea maandamano

    Huyu alikua kinara yeye pamoja na sativa kuhamasisha maanadamano, dakika zajioni kabisa ametema bungo. Namna gani pale!
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makarani wa Uchaguzi Sumbawanga mjini wala Kiapo Mbele ya Msimamizi wa Uchaguzi

    Makarani Waongozaji Wapiga Kura wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, wala Kiapo cha Kutunza Siri na Tamko la Kujitoa Uanachama wa Chama cha Siasa, mbele ya Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Jimbo la Sumbawanga Mjini Fortunatus Conrad Lyapa leo Oktoba 25, 2025 katika Ukumbi wa Sumbawanga Sekondari. Ikiwa...
  4. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Joseph: Tuendelee kudumisha amani hata baada ya uchaguzi

    Mwenyekiti wa Baraza la Makanisa ya Kikristo Tanzania (CCT) Mkoa wa Dodoma, Askofu wa Kanisa la Mennonite Tanzania (KMT) Joseph Mtolela, ametoa wito kwa wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu baada ya uchaguzi, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu misingi ya utulivu wa taifa. Soma: Viongozi...
  5. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tatizo la Watanzania ni Uwajibikaji hata aje Rais kutoka wapi bado atalaumiwa

    Watanzania sisi ni watu wa kupenda kulaumu kuliko Kuwajibika nafikiri hili linaweza kua ndio tatizo kubwa sana la wananchi wa Tanzania. Mfano alikuepo Magufuli lawama zilikua kama zote hata ambao hawakumpigia kura malalamiko yalikua mengi sana. Rais Samia huyu hapa malalamiko kama yote. Ila...
  6. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wamwambia Zitto: Tulikugomea, baadaye tukajuta, tumehenyeka sana

    Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa na mgombea udiwani kata ya Gungu wa chama hicho, walipokuwa wakiomba kura kwa wakazi wa kata hiyo katika soko la masanga, wamekutana na kilio cha wananchi hao juu ya uboreshwaji wa soko hilo. Mmoja wa wananchi...
  7. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waislamu na Mashekhe wafanya Dua maalumu Dar kuombea Uchaguzi Mkuu

    Waislamu kutoka maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam asubuhi ya leo Oktoba 25, wamefika katika Msikiti wa Nurul-Hikma ulioko Mtaa wa Yombo, karibu na Mwembe Yanga, Temeke kwa ajili ya Kongamano la Amani na Dua Maalumu ya Kuliombea Taifa. Mkurugenzi wa Al-Hikma Foundation, waandaaji wa dua na...
  8. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakuu wa vyombo vya habari wahimiza amani kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

    Wakuu wa vyombo vya habari na wahariri waandamizi nchini Tanzania wamekutana leo oktoba 25, 2025 katika jengo la Millenium Tower Jijini Dar es Salaam na kuzungumza na watanzania kupitia vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu oktoba 29, 2025. Tukio hilo lilikuwa na dhumuni la kuwakabidhi...
  9. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais NLD, Doyo: Watanzania msithubutu kuandamana mtachafua nchi

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo amewasihi Watanzania kufanya uchaguzi kwa amani na kutoshiriki maandamano. "Nchi inapokuwa na watu welevu, inakuwa na kelele. Rai yangu kwa Watanzania wasithubutu kutoka kuandamana; watachafua nchi."
  10. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maofisa na Askari wa Polisi washiriki matembezi ya Ukakamavu kuimarisha ushirikiano

    Picha mbalimbali zikiwaonesha Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba wakishiriki katika matembezi ya ukakamavu yaliyoshirikisha vyombo vya ulinzi na usalama Mkoa wa Kaskazini Pemba. Katika matembezi hayo maofisa wa Polisi, wakaguzi pamoja na...
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Wakristo mnatuwakilisha vizuri sana kwenye mwendokasi hasa katika kipindi hiki ambacho taifa linahitaji ukombozi

    Wakristo mna mbingu yenu nyie watu, Umeakua mwendelezo Taifa likielekea kukombolewa, wakristo wamekuwa ni watu wa kuimba tenzi kila wanapopanda magari ya mwendokasi na tenzi hizo zinaendana na kipindi ambacho Taifa linapitia.
  12. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 DCP Mutafungwa: Tumepokea magari 6 ya kisasa kukabiliana na Wahalifu

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limepokea magari mapya sita ya kisasa kwa ajili ya kuimarisha ulinzi na usalama kwa wananchi pamoja na mali zao. Akizungumza na waandishi wa habari kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza DCP Wilbroad Mutafungwa amesema ujio wa magari hayo ni mwendelezo wa vifaa...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mchungaji wa KKKT, Elieth Mtaita ametekwa usiku wa Oktaba 24 na Watu wasiojulikana

    Usiku wa Oktoba 24, Mchungaji Elieth Eliawaha Mtaita wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Boay katika Jimbo la Babati Vijijini, mkoani Manyara, ametekwa na watu wasiojulikana. Soma: Albert Machumu wa CHADEMA adaiwa kutekwa leo asubuhi akiwa kazini kwake Taarifa...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huyu ndie Asajile Mwanjala aliechukuliwa usiku wa jana na Afande Ally wa kituo cha Ifunda

    Huyu ndie Asajile Mwanjala aliechukuliwa usiku wa Leo na Afande Ally wa kituo cha Ifunda Kibaoni Jimbo la Karinga pamoja na Afande Lazaro wa Central Iringa mjini. Soma pia: Asajile Mwanjala amechukuliwa na Afande Ally polisi wa kituo cha ifunda
  15. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa Dini Mbulu waliombea Taifa Amani na Utulivu kabla ya Uchaguzi Mkuu

    Viongozi wa dini mbalimbali wilayani Mbulu, mkoani Manyara, wamejitokeza kuliombea Taifa amani na utulivu, kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu, huku wakiwataka wananchi kujitokeza kupiga kura. Soma: Mufti Mkuu awataka Watanzania kuhubiri na kulinda Amani
  16. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Muliro awaonya wanaotaka kuandamana oktoba 29

    Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amewaonya wale wote wanaopanga, kuratibu ama kutaka kushiriki kwenye uvunjifu wa amani ikiwemo kufanya vurugu na maandamano Oktoba 29, 2025, akisema Jeshi hilo limekula kiapo kulinda nchi pamoja na raia na mali zao. Soma...
  17. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 DC Mwaipaya aongoza Wananchi na Vyombo vya Usalama katika matembezi ya miguu

    Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Abdallah Mwaipaya, Oktoba 24,2025 ameongoza vyombo vya ulinzi na usalama, wananchi na vikundi mbalimbali vya Jogging na hamasa katika matembezi ya miguu kuzunguka maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Mtwara Mikindani. Matembezi hayo ya miguu yalihudhuriwa na Kamanda wa...
  18. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Zimamoto na Uokoaji Tanga wapewa magari manne mapya

    ZIMAMOTO NA UOKOAJI TANGA WAPEWA MAGARI MANNE MAPYA Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Burian, amekabidhi magari manne mapya kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani humo, huku magari mengine manane yakitarajiwa kufika hivi karibuni ili kukamilisha idadi ya magari 16 yatakayoongeza...
  19. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vyombo vya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Lindi vyafanya mazoezi ya pamoja

    Huko Lindi - Oktoba 24, 2025. Vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoa wa Lindi vimefanya mazoezi ya kutembea (Route March) ya pamoja iliwa ni kawaida kwao kufanya hivyo. Mazoezi hayo yakiwa na lengo la kudumisha ushirikiano na mshikamano baina ya vyombo hivyo sambamba na kuimarisha afya ya mwili kwani...
  20. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Koplo Agness: Epukeni makundi yasiyo kuwa na faida kwenu

    Wananchi wa Kijiji cha Makasini, Wilaya ya Kilindi, Mkoa wa Tanga, wametakiwa kuepuka makundi yasiyo na faida na badala yake kujikita katika shughuli na mienendo inayojenga tabia njema, hususan kuelekea siku ya kupiga kura. Wito huo umetolewa, jana Oktoba 24, 2025, na Koplo wa Polisi Agness...
Back
Top Bottom