Viongozi mbalimbali wa dini mkoani Rukwa wametoa wito kwa waumini wao juu kuwapuuza watu wanao shawishi kupitia mitandao ya kijamii ili kufanya vurugu na maandamano wakati wa uchaguzi mkuu na badala yake wajitokeze kutimiza haki yao ya kikatiba kwa kuwachagua viongozi wanao wataka kwa maslahi ya...
Mgombea Ubunge Jimbo la Serengeti mkoani Mara kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Catherine Ruge amedai kuvamiwa na kuletewa vurugu kwenye baadhi ya mikutano yake ya kampeni huku pia akidai Jeshi la Polisi halilindi mikutano yake ipasavyo.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye...
Dkt. Shaimaa Mohamed kutoka London Hospital iliyopo mkoani Dar es Salaam, katika Kongamano la Wanawake wa Dar es salaam, linalofanyika leo Oktoba 26, 2025, katika ukumbi wa mikutano wa DYCCC, Chang'ombe, ameelezaa kuwa hatua ya kutaka kufanya maandamano siku ya kupiga kura ni ishara ya kuwa...
Ofisi ya Mufti Zanzibar, imeeleza sababu za kutofunga madrasa wakati wa kuelekea uchaguzi mkuu ili kuondosha hofu na kujenga taharuki kwa wananchi kwamba hakuna amani
Pia, imewatahadharisha waandishi wa habari kuzingatia weledi na kuacha kuandika habari zitakazoleta taharuki na kusababisha...
TUKIRI TUMEKOSEA KISIASA; NA TUKUBALI TUNAHITAJI SULUHU ISIYO YA MAZOEA
“Mawazo hayapigwi rungu, mawazo yanashindwa na mawazo yaliyo bora zaidi”-Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.
Usuli
Katika kipindi cha wiki nne za mwisho za kampeni ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, tumeshuhudia kitu tofauti...
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, Naibu Kamishna wa Polisi ,(DCP) David Misime ameeleza kuwa jukumu la kulinda amani ni la kila Mtanzania, kwani vitendo vya uhalifu na uvunjifu wa amani vinafanywa na watu waliopo katika jamii
Misime amebainisha hayo katika Kongamano la Wanawake wa Dar es...
Mwenyekiti wa Jumuiya wa Wanawake wa Kiislamu Tanzania (JUWAKITA), Mariam Mtambo, amesema wanawake katika jamii ni kundi kubwa ambalo lina nguvu ya kuamua au kutoamua juu ya ufanyikaji wa maandamano, akiwataka wanajamii kujitokeza kupiga kura ili kuchagua viongozi wanaowataka badala ya kufanya...
Wakuu,
Huyu mbona kama kalipwa afanye promo, nakataa hii siyo akili ya Kenya
-------------
Watangazaji wa kipindi cha Maaskani cha Radio47 nchini Kenya, Billy Miya na Mbaruk Mwalimu, walitoa onyo kwa wananchi wa Tanzania wanaotaka kuandamana, wakikumbusha kuwa Polisi wa Tanzania hawana huruma...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga, amewahakikishia wananchi Mkoani humo kuwa Mkoa wa Songwe upo salama, wenye utulivu na amani
Akizungumza na askari wa Jeshi la Polisi walioungana na majeshi mengine ya vyombo vya ulinzi na usalama...
Akizungumza katika kipindi cha radio Gospel Traxx Clouds FM Apostle Nick Shaboka ametaka Watanzania kwa pamoja kuilinda amani kwani Tanzania ni muhimu kuliko kupigania matakwa au ndoto za mtu mmoja hasa katika kipindi hiki ambapo kumekuwepo kwa taarifa nyingi, ushawishi mwingi na kampeni...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Watanzania waishio nchini China Alawi Abdallah amesema Watanzania wote walioko nje ya nchi ambao wamekuwa wakilalamikia mifumo ya uchaguzi na demokrasia nchini Tanzania wamekuwa hawana dhamira ya dhati ya kutaka mabadiliko bali wamekuwa wakiongoza na maslahi binafsi na...
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amewakikishia usalama wananchi wa mkoa huo na kuwataka kushiriki kikamilifu katika zoezi la uchaguzi Mkuu wa mwaka huu linalotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba, 2025 kote nchini
Pia alisema, Kamati za Ulinzi na Usalama pamoja na vyombo vya dola...
POLISI WANA JUKUMU LA KULINDA WAANDAMANAJI NA SIO KUWAPA VITISHO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Kupiga kura ni haki na kuandamana ni haki.
2. Kama wapiga kura watalindwa basi hata waandamanaji wana haki ya kulindwa.
3. Madai ya waandamanaji mengi yanahoja na yanahitaji kufanyiwa kazi...
“Kila mtu akapige kura ili tumpate tunayemtaka; tusiwekewe tusiyemtaka.
Kwa sababu kuchagua kiongozi anayefaa huo ni mchango wa kusaidia kuleta wema na kufanya wema.
Akiwepo ambaye hapendwi katika viongozi, uovu utakuwepo.
Ili tusaidie uovu usiwepo, lazima sote tumchague yule tunayemtaka —...
Sheikh wa Mkoa wa Singida, Sheikh Issa Nassoro, amewataka viongozi wa dini nchini kuwa waaminifu na kuacha kutumia nafasi zao kuchochea taharuki au migogoro ya kisiasa, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakihusika katika matukio ya udanganyifu ikiwemo kujiteka wao wenyewe kwa maslahi binafsi...
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewaonya makarani watakaotoa taarifa za uchaguzi na kuwataka kusimamia viapo vya utunzaji wa siri katika kipindi chote cha uchaguzi.
Onyo hilo limetolewa na Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Njombe Mjini, Samson Meda wakati wa mafunzo kwa makarani waongozaji...
Taasisi ya Tanzania Jumuishi (TAJU) inayotetea haki za watu wenye ulemavu nchini imetoa wito kwa Watanzania kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani na utulivu bila kujihusisha na vurugu na machafuko.
TAJU imetoa wito huo hii leo jijiji Dar es Salaam zikiwa zimesalia siku chache kuelekea siku ya...
Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Sheikh Mustafa Rajab, amesisitiza kwamba maandamano yanayokubalika ni yale ya wananchi kwenda kwenye vituo vya kupiga kura na kurudi nyumbani, akiwahimiza Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Soma pia: Sheikh Alhad Mussa...
Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewakamata baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa tuhuma za kuhusika na kupanga mikutano na maandamano kinyume cha sheria.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Brasius Chatanda, amethibitisha kukamatwa kwa viongozi hao na kueleza...
Mgombea Urais wa Chama cha AAFP, Kunje Ngombale Mwiru, amesema amechoka na simu za vitisho na amepanga kuvunja kampeni, "endeleeni na Chifu Hangaya wenu, niuwe leo, wewe utakufa kesho", alisema jijini Dodoma alipokuwa akijinadi kuwania nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.