uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Shikamoo Wajumbe, hii Shikamoo ni ya Kura haihusiani na Umri

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ambaye hivi karibuni aliteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kugombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini ameendelea na mchakato wa kujitambulisha kwa wajumbe wa Chama kwa kutembelea Kata mbalimbali ndani ya Jimbo hilo. Akiwa katika kata ya Olasiti...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge wa CCM: Nimekuta Nati za Matairi ya Gari langu zimefunguliwa tukiwa njiani kwenda kwa Wajumbe

    Gari la Mgombea Ubunge kupitia Chama cha CCM Jimbo la Mwanga Mkoani Kilimanjaro, Shabibu Badi Mruma, limefunguliwa Nati Nane za Matairi yake wakati yeye na wenzake wakijitambulisha na kujinadi kwa Wajumbe. Tukio hilo limetokea baada ya kutoka Kata ya Mgagau kuelekea Kata ya Kirya ambapo baada...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kumburu ateuliwa kugombea ubunge Viti Maalumu Wasomi Vyuo Vikuu na jimbo Moshi Mjini

    CCM Ina wenyewe kwa kweli. Mtu mmoja, kateuliwa: 1. Kugombea ubunge Jimbo La Moshi Mjini 2. Kateuliwa kugombea ubunge viti maalum Mkoa wa Kilimanjaro 3. Kateuliwa soma hapo kwenye picha yake. Vituko sasa,uliza mume wake anaitwa nani au anakaa wapi utadondoka. Uliza ana umri Gani na watoto wako...
  4. Bibianna

    JamiiForums Tanzania GE2025 Balozi Dkt. Batilda Salha Burian: Tanga tunakarabati bandari kwa TZS. Bil 429.1 ikiwa ni sababu ya wananchi wa Tanga kumtaka tena Rais Samia Oct 29

    Bandari ya Tanga, ambayo ni bandari ya pili kwa ukubwa nchini Tanzania, imeendelea kushuhudia mageuzi makubwa ya kiutendaji na kimazingira kufuatia uwekezaji mkubwa wa Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA). Kwa muda mrefu, bandari hii ilikuwa ikifanya kazi chini ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Musiba: Inasikitisha CCM kinachoangaliwa zaidi ni kujuana, wanaachwa watu wenye maono mazuri na kupitisha watu bila kupingwa

    Akizungumza na wanahabari Julai 31, 2025 Kada wa Chama cha Mapinduzi Cyprian Musiba ameeleza kuwa mchakato wa kuchagua watia nia ubunge unafanywa hasa kwa kujuana ndani ya chama hicho akidai ili uchaguliwe ni lazima uwe unajuana na mtu au uwe mtoto wa waziri ndipo uchaguliwe Pia amehusia baadhi...
  6. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, wimbo mpya wa Zuchu ni njia ya kufifisha mjadala wa kauli za Polepole?

    Wadau watia shaka mwingiliano wa matukio ya kisiasa na burudani nchini Dar es Salaam, 1 Agosti 2025 – Kuzinduliwa kwa wimbo mpya wa msanii maarufu wa Bongo Fleva, Zuchu, umeibua mjadala mitandaoni huku baadhi ya wachambuzi wakitafsiri tukio hilo kama njia ya kufifisha taharuki ya kisiasa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kitila abanwa mbavu na Wajumbe CCM, wakumbusha ahadi ya ujenzi wa ukingo wa Mto Gide

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Ubungo, wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam wamehoji kwa sauti moja hatua za Mbunge wa jimbo hilo anayemaliza muda wake, Profesa Kitila Mkumbo, kuhusu utekelezaji wa ahadi zake mbalimbali ikiwamo ujenzi wa ukingo wa Mto Gide ambao...
  8. I

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kufungwa kwa mitandao kuelekea uchaguzi mkuu je hii ndio demokrasia tunayoipigania kama nchi?

    Kwa muda mrefu tumeshuhudia kuzorota kwa ufanisi wa network katiak social media ikiwa lengo la kudhibiti utoaji wa uhuru wa maoni katika majukwaa mbalimbali kama Twitter, ClubHouse, na sasa kwenye YouTube hasa pale watu wanapotaka kujadili hali ya siasa nchini Hali hii sio tu inakiuka katiba...
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtangazaji wa Clouds TV "Kijah Yunus" aliyemchapa Maswali ya Uchonganishi Lissu mpaka wakazenguana, ateuliwa viti Maaalumu Lindi

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotajwa katika taarifa hii, waliteuliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, iliyoketi Jumatatu, tarehe 28 Julai 2025. Majina yao yalisahauliwa kutangazwa katika orodha iliyotolewa mapema leo na kusomwa mbele ya waandishi wa habari...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole amezungumzia suala nyeti sana kuhusu Makamu Rais Mpango na Waziri Mkuu kutokuendelea na Uongozi Serikalini

    Mods ,tafadhali msiiunganishe Huu Uzi. Hii ni Hoja Nzito sana ambayo katika yote inaendelea kutulia Uzito wa Kwanini Samia hatakiwi kua Rais Tena !!. Mh Polepole akigusia kuhusu Mzee Mpango kujiuzulu , anasema alishangaa inakuaje Makamo Urais kutangaza kujiuzulu kabla ya muda kuisha? Anasema...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Rais mstaafu Kikwete anasema uchaguzi uliopita (2020) Ridhiwani Kikwete hakuwa na mpinzani ndani ya CCM

    Ndugu mstaafu kikwete amedanganya umma kuwa hata awali ridhiwani alipita bila kupingwa Si kweli. Ridhiwani alipingwa na ushindani ulikuwa mkubwa tu wa kutosha mwaka huu kubadili matokeo. Na huu hapa ni ushahidi. Si vizuri kwa mtu wa umri wake kusema amedanganya. Mila zetu haziruhusu. Ila mtu...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polepole: Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya Zimamoto 'Fire'

    Humphrey Polepole amesema "Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya 'Fire', tunataka mtu ambaye anchukizwa na ulegelege huu"
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Musiba: Wajibu wa Kiongozi ni kutenda mema kwa Raia wake, kusikiliza na kutatua shida zao

    Mwanaharakati huru na mwanachama wa CCM, Cyprian Musiba, amesema "Wajibu wa Kiongozi ni kutenda mema kwa Raia wake, kusikiliza na kutatua shida zao"
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Cyprian Musiba: Ndani ya CCM lazima wawepo wanaokosoa, hamuwezi wote kuwa Chawa

    Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, akizungumza kupitia Jambo TV amesema, "Ndani ya Chama Cha Mapinduzi lazima kuwe na Wanakosa, hamuwezi wote kuwa Chawa, sasa kitakuwa ni Chama hicho? Kwamba asilimia 99 uwe Chawa wewe ndio uwe Chama Cha Mapinduzi?
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Ni tatizo kuiruhusu CCM iendelee kuiongoza nchi hii, ni kuua nchi hii

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche amesema Kesi zinazo wakabili ni Kesi za Kisiasa baada ya kushindwa kudhiti hoja ya 'No Reforms No Election', "Alikamatwa Lissu wakasema ooh! Chama kita-'Paralysis', tukaendeleza Moto ule, sasa ndio wameibuka na hayo mambo. Zuia wasitambue Uongozi, kwamba...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI | Paul Makonda: Ukiniweka kwenye Kaburi mimi nitafufuka tu!

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Mtia nia nafasi ya Ubunge Jimbo la Arusha Mji aliwahi kusema, "Kama Mungu aishivyo, mimi ukiniweka kwenye Kaburi nitafufuka tu!"
  17. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msemaji wa Polisi David Misime: Hatutawavumilia waliojipanga kuvuruga amani wakati wa uchaguzi mkuu 2025

    Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime, amesema jeshi hilo limekuwa na utaratibu wa kujiweka tayari kila Uchaguzi Mkuu unapokaribia, huku likiwajengea uwezo askari wake kuhakikisha nchi inabaki salama. DCP Misime ameyasema hayo leo Julai 30, 2025, jijini Dodoma, wakati wa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wapiga kura ambao wamejiandikisha lakini majina yao hukosekana kwenye orodha ya wapiga kura, ni mkakati wa kuwazuia wasichague viongozi wanaowataka?

    Wakuu! Nimekuwa nikisikia kuhusu dhana hii inayotokana na changamoto ambayo imekuwa ikijitokeza hasa katika Uchaguzi, ambapo baadhi ya Wananchi wamekuwa wakikumbwa na kero ya kutoona majina yao katika orodha ya Wapiga Kura na kuwakwamisha Kupiga Kura. Hali hii iliwafanya baadhi kususia...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtia nia wa udiwani CCM akiomba kura akiwa amepiga magoti kwa unyeyekevu mkubwa

    Mtiania wa Udiwani kata ya Zingiziwa, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam, Maganga Maige akiwaomba kura wajumbe wa mkutano mkuu Kata ya Zingiziwa. Watia nia wa ubunge na udiwani leo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanapita katika kata mbalimbali kuomba kura.
  20. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea UWT Singida agalagala na kuambulia kura 12 kwa wajumbe

Back
Top Bottom