Wakati zoezi la kuomba kura za maoni ndani ya CCM likiendelea katika Majimbo mbalimbali Nchini ili kumpta mtu mmoja atakaye peperusha bendera ya chama hicho kwa kila Jimbo, Charles Kimei ambaye anatetea kiti chake kwenye Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, amekabiliwa na maswali kuhusu ahadi zake...
Katibu Mkuu Mstaafu wa Wizara ya Ujenzi, Archtect Elius Mwakalinga leo amehitimisha safari ya kuomba kura kwa Wajumbe wa Kata mbalimbali ndani ya Jimbo la Kyela Mkoani Mbeya anakotarajia kugombea Ubunge endapo atapata ridhaa ya wajumbe kumpitisha.
Zoezi hilo lilianza baada ya majina yao...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Same Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatuma Kange, amewataka wananchi wa jimbo hilo kufanya mabadiliko ya kihistoria kwa kumchagua mwanamke mwenye maono, uthubutu, na dhamira ya kweli ya kuleta maendeleo kwa watu wote.
Akizungumza katika mikutano ya...
Biteko, “Mimi sitaweka mawakala katika vituo vya kupigia kura kwa sababu sina mashaka na nyinyi watu wema wa Bukombe bali mawakala wangu mtakuwa ninyi wananchi wenyewe wa Bukombe”.
Doto Biteko ambaye pia ni mbunge wa Bukombe aliyemaliza muda wake na Naibu waziri mkuu, amesema hayo leo Agosti 3...
Mtia nia wa ubunge wa jimbo la Makambako Deo Sanga,akizungumza na wajumbe wa kata ya Makambako akiwaomba wamchague, zikiwa zimesalia saa chache kwa wajumbe kuchagua watakao beberusha bendera ya chama cha mapainduzi CCM kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Chanzo: Elolama Fm
Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Moshi vijijini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri anayemaliza Muda wake Morris Makoyi amejikuta akizomewa na wananchi wa Kata ya Mabogini katika zoezi la Kujinadi lililomalizika jana Jioni
Chanzo: Bongo 5
Zikiwa zimebaki saa chache kabla ya wajumbe kufanya uchaguzi wa kupitisha jina moja la kuwania ubunge katika majimbo yote hapa nchini, katika jimbo la Siha mvutano umekua mkali baada ya mke wa aliyekua mbunge wa jimbo hilo kuvamiwa na kupigwa huku gari lake likivunjwa kioo.
Akizungumza leo na...
Saa chache kabla ya kufanyika kwa zoezi la Uchaguzi wa Madiwani, vurugu zimetokea katika Kata la Upanda Magharibu Jijini Dar es Salaam ambapo mmoja wa Watia Nia amedaiwa kwenda kufanya vurugu kwa mpinzani wake.
Video inayosambaa Mtandaoni inamuonesha Mgombea Udiwani Khallil Karim akiwa anadaia...
Mtia nia nafasi ya Ubenge Kigoma Mjini kupitia CCM, Clayton Revocatus Chipando almaarufu kama Baba Levo amesema wananchi wa Kigoma Mjini wanajisikia raha sana linapotajwa jina la Rais Samia kwani kuna vitu vingi amewafanyia wananchi hao na kusema kuwa yupo tayari kumsemea kwa mambo...
Sikilizeni hii wakuu,
Mtia nia nafasi ya ubunge Jimbo la Makambako kupitia chama cha mapinduzi jimbo la Makambako Deo Sanga akijibu swali la katibu wa mtaa wa bwawani umoja wa wanawake Grolia Nyaluke.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (#INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele anafafanua kuhusu Kura ya Mapema wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kusema:
“Sheria ya Uchaguzi Zanzibar inaeleza kuwa kuna Watu wanaruhusiwa kupiga kura mapema siku moja kabla ya Uchaguzi...
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mufindi anatuhumiwa kuhusika katika mipango ya kuiba kura za maoni kuelekea uchaguzi wa ndani wa chama hicho unaotarajiwa kufanyika Agosti 4, 2025, ili kumuwezesha Mbunge aliyepo madarakani, Jimbo la Mufindi Kusini Davidi Kihenzile, kuendelea...
Wakati watiania wanane wa ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Kibamba wakiendelea kunadi sera zao, ameibuka mtiania Alphonce Temba aliyeahidi kuwapeleka wajumbe Afrika Kusini kwa ajili ya kujifunza masuala ya bima ya kifo.
Amesema wataenda kupata elimu ya bima ya kifo itakayosaidia...
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju amewataka majaji na Mahakimu kote nchini kumaliza kwa wakati mashauri yote ya kikatiba yanayohusiana na mchakato wa uchaguzi, ili kuimarisha imani ya wananchi kwa Mahakama na kuwapa uhakika walioshtaki kuhusu hatua za uchaguzi.
Jaji Masaju ametoa kauli hiyo...
Wakuu!
:D:D Watia Nia naona wanataka kuonewa huruma siyo Sera ndio ziwabebe
Mtia nia wa ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Nguvu Chengula maarufu kama Sauti ya Simba, alipiga magoti na kutishia kulia machozi mbele ya wajumbe wa CCM Kata ya Kihesa, wakati...
Mjumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya chama cha Mapinduzi(CCM)Taifa Bw. Mohamed Abood, amesema Chama hicho hakitaki viongozi ambao watakuwa chanzo cha migogoro ndani ya chama na nchi kwa ujumla.
Abood amebainisha hayo jijini Dodoma wakati akifungua mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa...
Mtiania wa ubunge wa Tarime Mjini, Mkoa wa Mara, Esther Matiko akijitambulisha kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jana Ijumaa, Agosti 1, 2025 kabla ya kura za maoni.
Matiko amewahi kuwa mbunge wa Viti Maalumu na mbunge wa Tarime Mjini kupitia Chadema. Kwa sasa anawania breathe hiyo mdani...
Msimamizi wa uchaguzi wa Viti Maalum kupitia kundi la UVCCM Bara na Zanzibar watakaowakilisha Vijana kwenye Bunge la Tanzania, leo asubuhi ya August 2 2025, ametangaza matokeo ya kura zilizopigwa usiku wa kuamkia leo ambapo kwa Tanzania Bara wamepatikana Wagombea sita.
1. NG’WASI KAMANI - KURA...
Wajumbe amani iwe kwenu.
Katika maisha ya kawaida, huenda ulishawahi kutokewa na hii hali hasa katika hali ya msongamano wa watu au magali. Mtu anakuwa mbele yako, anatembea kwa kujivuta, au anaendesha chombo taratibu sana ilhali wewe una haraka zako na hataki umpite! Binafsi huwa nachukia sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.