Msanii na mwanaharakati maarufu, Steve Nyerere, amemjibu aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia matamshi yake ya kumkosoa Rais Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Steve Nyerere amesema kauli za Polepole hazioneshi...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo, amesema vijana wanapaswa kuendeleza misingi ya ujamaa, amani, upendo na mshikamano hata baada ya kukamilika kwa uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu ndani ya jumuiya hiyo.
Ametoa wito kwa vijana wa CCM kutambua kuwa...
Mtia Nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini ndugu Salim Kikeke amesema kuwa atasaidiana na wadau mbalimbali kutafuta soko na kuongeza thamani ya Nguruwe katika Jimbo hilo ikiwa pamoja na kuvutia wawekezaji na hatimaye mfugo huo upate soko la Kimataifa.
Soma > Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa...
Vijana wawili wa jamii ya kimasai Mkoani Arusha wamepigwa faini ya Dume moja badala ya kuchapwa fimbo 70 baada ya kumkashifu Rais Wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika eneo la kata ya Elerai Mkoani Arusha.
Akizungumza katika Mkutano wa Mila ulioitishwa ili kulaani kitendo hicho Kiongozi wa...
Aliyekuwa mtia nia wa ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Mvomero mkoani Morogoro, Dkt. Albanie Marcossy, amejitokeza na kumtaka hadharani mwanachama wa chama hicho, Humphrey Polepole, kupuuzwa na wanachama wengine kwa madai kuwa kauli zake za hivi karibuni zimejaa "vihoja...
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Temeke, Holle Makungu, amesema kuwa katika kipindi cha Aprili hadi Juni mwaka huu, taasisi hiyo imewahoji na kuwaachia kwa dhamana watia nia wawili wa nafasi ya Ubunge katika Majimbo mawili tofauti kwa tuhuma za kushawishi na...
Mgombea wa Nafasi ya Ubunge Viti Maalumu Kupitia UVCCM Vijana ( Jasmine Mumbi ) akipiga Magoti Kuwaomba Kura za Ndio Wajumbe wa MKUTANO Mkuu Maalumu wa UVCCM Taifa .
Wajumbe kutoka wilaya ya Kibaha mkoani Pwani wamesusia mkutano wakiwa na lengo la kuwakataa watia nia wa udiwani na kudai ya kuwa ni wazee. Tukio hilo limefanyika leo agosti 1, 2025 likionyesha wajumbe wakiwa barabarani wakitoa maneno ya kuwakataa watia nia wa udiwani.
Soma pia: CCM mlione...
Mtia Nia ya Ubunge wa Jimbo la Rufiji, Mohamed Omary Mchengerwa ambaye ndiye Mbunge anayemaliza muda wake, akinadi sera zake mbele ya wajumbe na kuomba kura kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Mbwara iliyopo katika Jimbo hilo lililopo Mkoa wa Pwani, ameeleza kuwa kutokana na Maendeleo...
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa 2025 unakaribia kwa kasi, lakini bado Watanzania wanaoishi nje ya nchi wanaendelea kutengwa na mchakato wa kidemokrasia. Pamoja na miaka ya mijadala na ahadi kutoka kwa viongozi wa kisiasa kuhusu mageuzi ya uchaguzi, hakuna hatua madhubuti zilizochukuliwa kuwezesha...
Mgombea Ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la Vijana, Jesca Magufuli (29), ameomba kura mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, akiwani nafasi mojawapo kati ya sita zinazogombewa upande wa Tanzania Bara.
Jesca ni msomi mwenye Shahada ya...
Mgombea Ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la Vijana, Lightness Greyson Kihombo (23), ameomba kura mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, akiwania mojawapo ya nafasi sita kwa upande wa Tanzania Bara.
Lightness, ambaye ni mgombea mwenye...
Tume ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema imezifanyia kazi changamoto mbalimbali mawakala katika chaguzi zilizopita na kuwa hazitatokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Jumatano, Oktoba 29, 2025.
Hakikisho hilo limetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Kailima Ramadhani leo Ijumaa...
Mgombea wa Nafasi ya Viti Vya UBUNGE Viti Maalumu CCM Kupitia Vijana tokea Mkoani Geita, Jesca John Magufuli akijitambulisha Mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa UVCCM Leo Dodoma
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza kwenye ufunguzi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo, leo tarehe 1 Agosti, 2025 amesema;
"Mhe. Rais, wewe unagombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, sisi vijana wako tunakuombea kila la heri na...
Wajumbe Mbalimbali wa Mkutano Mkuu Wa UVCCM hapa Mtumba Dodoma, Kwenye Mkutano Mkuu Maalumu , ambapo Leo Vijana wa Chama Cha Mapinduzi wanapiga kura kuchagua Wabunge wa Viti Maalumu watakaowakilisha Vijana wa Chama Hicho
Mwenyekiti wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa Jackobs Mwambegele, wakati akizungumza na Wahariri wa vyombo vya Habari Jijini Dar es Salaam amesema hakuna sheria inayoruhusu Diaspora Kupiga Kura katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu.
Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema hakuna sheria inayoruhusu kura za mapema kupigwa kwa upande wa Tanzania bara katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu.
Kura hiyo ni ile ambayo itapigwa Zanzibar na baadhi ya watu, ambazo siku ya uchaguzi watakuwa na majukumu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.