uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Magige, Swai waangukia pua Arusha, Martha Gido na Chiku Athman waibuka vinara kura za UWT

    Ndoto za waliokuwa wabunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Catherine Magige na Zaytun Swai, kurejea bungeni zimeingia doa baada ya kushindwa kushawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) mkoani humo katika kura za maoni zilizofanyika mjini Arusha. Katika uchaguzi huo...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Debora Joseph Tluway chaguo sahihi 2025-2030

    Ndugu Mjumbe wa Mkutano Mkuu UVCCM Taifa, Naomba Kura Yako Ya Ndio, Mungu Akubariki Sana Safari ya Uongozi. Moyo wa Jamii na DIRA NJEMA KWA VIJANA. Tazama maisha, dhamira, na mchango wa DEBORA JOSEPH TLUWAY kiongozi kijana, mzalendo, na sauti ya mabadiliko. Kutoka Katavi hadi dunia, hii ni...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA yamsimamisha Odero Charles kupisha uchunguzi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kaskazini kimemsimamisha Katibu wa Kamati ya Sheria na Haki za Binadamu wa chama hicho, Odero Charles Odero kupisha uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili. Odero ambaye alikuwa miongoni mwa wagombea wa nafasi ya uenyekiti ndani ya Chadema...
  4. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Wakili Nassoro Katuga asema 'Samia ndio anayetoa maelekezo kwetu ili Tundu Lissu asiachiwe mpaka uchaguzi uishe'

  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA yapinga ongezeko idadi ya wapiga kura

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi Mwl. John Pambalu kimeipinga taarifa ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inayoonyesha ongezeko la idadi ya wapiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge, Madiwani unaotarajiwa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkojani amwaga machozi akililia laki 5 ya fomu ya Ubunge baada ya jina lake kukatwa

    Wakuu! :D:D sasa hii ndio kazi yako Mkojani, endelea kuchekesha Watu tu! Mwigizaji na mchekeshaji Abdallah Mohamed Nzunda, maarufu kama Mkojani, amemwaga machozi akidai kufadhaishwa na matokeo ya kura za maoni za Ubunge Jimbo la Temeke kupitia CCM. Adai Wajumbe walimtia moyo sana kuwa atatoboa
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Kibaha, viongozi mkoa, wilaya wadaiwa kuchakachua majina ya walioteuliwa udiwani

    Hali si shwari katika Halmashauri ya Mji wa Kibaha, baada ya watiania wa udiwani zaidi ya 10 kutoka hadharani na kuwalalamikia baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa mkoa wa Pwani na wilaya ya Kibaha, kuchakachua majina ya waliopitishwa na Kamati Kuu ya CCM ili kupigiwa kura na...
  8. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pindi Chana, Rebecca Nsemwa waibuka kidedea UWT Njombe, wawashinda wagombea 6

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, Rebecca Nsemwa wameibuka kidedea katika kura ya maoni ya kumtafuta mwakilishi wa Umoja wa Wanawake (UWT) mkoa wa Njombe kwa nafasi ya ubunge wa viti maalum CCM. Wawili hao wamepata kura 700 na 588 mtawalia...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Ni utamaduni wa CCM kumwongezea muda Rais anayefanya vizuri

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Stephen Wasira amesema, vyama vingi vya siasa ulimwenguni vina utamaduni wa kuwaongezea muda viongozi ambao wanafanya vizuri kwenye uongozi wao kwa maana ya kutowapinga ndani ya chama wanapogombea kipindi kingine cha uongozi. Amesema...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: "Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya 'Fire'

    Wakuu! Humphrey Polepole amesema alijiuzulu Ubalozi wa Cuba ili awe huru kuzungumza kwamba kuna tatizo kubwa katika Taifa letu na sio dhambi kujirekebisha. Sasa leo saa 2:00 usiku usikae mbali nami hapa nitakuletea kila atakachokizungumza. Updates... Polepole Utamaduni, desturi na katika ya...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe Arusha wafanya yao kura za maoni viti maalum, Catherine Magige atupwa nje

    Ndoto za waliokuwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kurejea bungeni huenda zikakwama baada ya kushindwa kuwashawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha. Wabunge hao amao wamapata kura pungufu, sasa watasubiri huruma ya Kamati Kuu ambayo ndiyo itatoa...
  12. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtoto wa Celina Kombani apeta Kura za maoni

    Mtoto wa Celina Kombani, Lucy na Mkurugenzi wa zamani wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, Sheila Lukuba wameibuka kidedea katika kura za maoni za Jumuiya ya Wanawake UWT Mkoa wa Morogoro baada ya kupata kura 1,314 na 597 mtawalia. Lucy Kombani na Sheila waliwagaragaza wagombea wengine saba...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wa Muze, Sumbawanga wazuia msafara wa CCM kupinga uteuzi wa mgombea

    Wananchi wa Kijiji cha Muze, Kata ya Muze, katika Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga Vijijini mkoani Rukwa, wamezuia msafara wa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa wilaya hiyo wakilalamikia mchakato wa uteuzi wa majina ya wagombea wa udiwani katika kata hiyo. Tukio hilo limetokea baada ya...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aida Khenani: Kiburi cha utawala mwisho wake ni mauti

    Wanachama 11 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) walioshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa wameachiwa kwa dhamana Jumanne jioni Julai 29, 2025. Wanachama hao ni wale ambao Jeshi la Polisi mkoani Rukwa Julai 28, 2025 lilithibitisha kuwashikilia kwa madai ya kufanya mkusanyiko...
  15. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Cyprian Musiba atupwa nje mchujo Ubunge Mwibara

    Mwanaharakati huru Cyprian Musiba ameshindwa kupenya katika mchujo wa wagombea walioteuliwa kupigiwa kura za maoni kuwania Ubunge wa Jimbo la Mwibara, mkoani Mara kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia...
  16. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Robert Andrew Mhando aleta Mbio za Udiwani Kata ya Kivukoni

    Mkurugenzi Mkuu Wa Kampuni ya Media Tree Company Ltd na Mchumi wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam Ndg. Robert Andrew Mhando ni Miongoni Mwa makada Wa Chama Cha Mapinduzi CCM walioteuliwa na Chama hicho Kushiriki kura za Maoni Kwa Nafasi ya Udiwani Wa Kata ya Kivukoni.
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Ni utamaduni wa CCM kumwongezea muda Rais anayefanya vizuri

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Stephen Wasira amesema, vyama vingi vya siasa ulimwenguni vina utamaduni wa kuwaongezea muda viongozi ambao wanafanya vizuri kwenye uongozi wao kwa maana ya kutowapinga ndani ya chama wanapogombea kipindi kingine cha uongozi. Amesema...
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Bongo Plus na Uchaguzi Mkuu 2025: Wanatafuta Historia ya Vijana wa Kale na Vijana wa Leo Katika Siasa

    Leo Maktaba ilitembelewa na Mtangazaji Victor Madaha wa Bongo Plus kutafuta historia ya vijana katika siasa kuanzia kudai uhuru wa Tanganyika hadi leo. Victor anasema kasukumwa kwa kuona wimbi kubwa la vijana kuingia kwenye kinyang'anyiro kuwania nafasi za uongozi katika taifa kwenye uchaguzi...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya Makada wa CCM kunduchi wavamia Ofisi kulalamikia kukatwa kwa jina la Michael Urio

    Viongozi wa matawi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka Kata ya Kunduchi Wilayani Kinondoni wamefika katika ofisi ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam kwa kile walichodai kukatwa kwa jina la mtiania wa kata hiyo, Michael Urio. Hata hivyo majina ya watiania ya udiwani ambayo yalipita kamati...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aendelea kugawa Bahasha za Maokoto, Msaga Sumu aokota huko Namtumbo

    Wakuu! Bahasha zinatembea, beat likipigwa! :oops: Rais samia ameendelea na "desturi" ya kugawa bahasha za Maokoto kwa Wasanii kila wanapotumbuiza kwenye shughuli zake na leo Msaga Sumu hakusalimika, kapokea zake huko Namtumbo wakati wa uzinduzi wa Kiwanda cha majaribio cha uchenjuaji wa madini...
Back
Top Bottom