Polepole: Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya Zimamoto 'Fire'

Polepole: Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya Zimamoto 'Fire'

Mental health is real

Hakuna kipindi Tanzania Ilikua kamq idara ya zimamoto kamq enzi Za magu

Dogo is confused
Afadhali ya Magu alitawala kwa mkono wa chuma lakini angalau tuliona uelekeo wake wa kuliletea neema taifa, lakini siyo kwa huyu mama leo hata mwanao huwezi kumwambia kile sa100 kafanya hata dira yake haijulikani zaidi ya kutamba na miradi ya Magu.
 
Back
Top Bottom