Mgore Miraji ameibuka mshindi kwenye kura za maoni baada ya kuwabwaga wapinzani wake watano aliokuwa akishindana nao katika mchakato wa kumpata mwakilishi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi mkuu ujao katika Jimbo la Musoma Mjini mkoani Mara.
Endapo Mgore atapitishwa na kamati Kuu ya...
Wakuu tujadili hii,
Ni kweli Ukiangalia kwenye madiwani, wabunge wa majimbo na viti maalum wengi wanaoongoza kura za maoni ni standard 7 au wenye elimu za kawaida
Je tatizo ni nini hasa kwa wasomi kupenya nafasi hizi?
Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
Wajumbe katika Jimbo la Moshi Vijijini wametiki na nakumpitisha Morris Makoi nakupita katika kura za Maoni Jimbo la Moshi Vijijini wapi Prof. Ndakidemi?
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi, ameshindwa kutetea nafasi yake ya Ubunge baada ya Moris Makoi kuibuka...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, anaongoza kwa tofauti kubwa katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania nafasi ya ubunge wa Jimbo la Makambako mkoani Njombe. Katika kinyang’anyiro hicho kilichowakutanisha wagombea wawili pekee – Daniel Chongolo na mbunge...
Mtia nia wa nafasi ya ubunge katika Jimbo la Pangani mkoani Tanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jumaa Aweso, ameibuka mshindi kwa kishindo katika kura za maoni zilizofanyika jimboni humo baada ya kupata kura zote za ndiyo katika kata zote zilizopiga kura.
Aweso amepitishwa na wajumbe wote...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV, Haji Manara , ameibuka kidedea katika kura za maoni za kuwania nafasi ya Udiwani katika Kata ya Kariakoo, jijini Dar es Salaam.
Kura hizo za maoni zilifanyika leo Jumatatu tarehe 4 Agosti 2025, chini ya usimamizi wa chama...
Wakili Onesmo Olengurumwa, ambaye ni Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), amesema kuwa tamaa ya kupokea fedha zinazotokana na rushwa wakati wa uchaguzi imekuwa chanzo kikuu cha Taifa kukosa viongozi bora.
Amewahimiza wananchi kuachana na tamaa ya fedha...
Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Ubungo ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza mara baada ya kupiga kura ya maoni leo Agosti 4, 2025 katika kituo kilichopo kwenye ukumbi wa Kibo Park uliopo Ubungo Kibo, ambapo amepongeza zoezi hilo akisema...
Mahakama Kuu imeamuru mashahidi ambao ni raia wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, walindwe kwa maana ya kutoa ushahidi wao kwa kificho (bila kuonekana), majina yao kutokutajwa mahakamani wala...
Katika video inayosamba katika mitandao ya kijamii kuna vurugu ambazo zimetokea katika kivule wakati kura za maoni ndani CCM zikiendelea leo Agosti 4, 2025.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima akizungumza katika Mkutano wa Tume, Wahariri na Waandishi wa Habari, uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Agosti 4, 2025 ambapo amewahakikishia washiriki hao kuwa, ofisi...
Baadhi ya wajumbe wa kupiga kura za maoni Jimbo la Mfenesini wamezuiwa kuingia ndani ya ukumbi kwa kile kilichoelezwa hawakuvaa sare za chama kama walivyoelekezwa
Wajumbe wa jimbo hilo wameanza kuingia ndani saa 3:00 asubuhi kwa ajili ya matayarisho ya upigaji kura za maoni kwa wabunge...
Mtia nia Ubunge wa Jimbo la Isimani mkoani Iringa David Komba amesema toka amezaliwa mpaka amemaliza kusoma Mbunge wa Jimbo hilo amekuwa ni mmoja tu ambapo amesema umefika wakati wa kufanya mabadiliko na kumpumzisha Mbunge huyo.
Mtia Nia ya Ubunge wa Jimbo la Rufiji, Mohamed Omary Mchengerwa ambaye ndiye Mbunge anayemaliza muda wake, akinadi sera zake mbele ya wajumbe na kuomba kura kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi wa Kata za Mupi, Bwawani, Mgomba, Umwe, na Ikwiriri zilizopo Ikwiriri katika Jimbo hilo.
Baada ya mbunge wa Siha aliyemaliza muda wake na mtia nia kupitia chama cha mapinduzi CCM kudai kuwa mke wake amatekwa na gari lake kuchomwa moto mdau ameandika.......
"Leo nimeamka Kwa furaha kubwa Sana. Ndiyo FURAHA haswa. Mke wa Godwin Mollel Dr Mollel ambaye ni Naibu Waziri wa afya...
https://www.youtube.com/watch?v=9D6yvt12c8o
Updates
Ramadhan Kailima: Vyombo vya habari visipendelee chama cha siasa kuelekea Uchaguzi
Akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa wanahabari wa vyombo mbalimbali vya habari leo Agosti 4, 2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)...
Wakati wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata wakijiandaa kupiga kura kwa watiania wa ubunge na udiwani leo Jumatatu, Agosti 4, 2025, hali ni tofauti kwa Siza Mwita, mtiania wa udiwani wa Ganyange mkoani Mara, ambaye zimepita siku saba hajulikani alipo.
Hata hivyo, Jeshi la Polisi mkoani...
Wananchi wilayani Mbulu, mkoani Manyara, wamelalamikia hatua ya baadhi ya watia nia wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbulu vijijini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuenguliwa katika kinyang`anyiro hicho akiwemo aliyekua Mbunge wa Jimbo hilo, Bw. Flatei Gregory licha ya kukubalika na...
Gari la mtia nia udiwani nafasi ya Udiwani Kata ya Igwachanya Wilaya ya Wanging'ombe Anthony Mawata - CCM imechomwa moto na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo.
Wajumbe na mabalozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Njombe Mjini wakiwa tayari kwa ajili ya kupiga kura za maoni kuchagua diwani wa Kata ya Njombe Mjini na Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini.
Leo Jumatatu Agosti 4, 2025 wajumbe wa CCM wanapiga kura za maoni kuwachagua wabunge na madiwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.