uchaguzi kenya

Uchaguzi is a joint initiative spearheaded by Ushahidi in 2010 to monitor the Kenyan constitutional referendum. Ushahidi collaborated with the Hivos Foundation, the Constitution and Reform Education Consortium (CRECO), INFONET, and the Canadian International Development Agency (CIDA) to develop an ICT platform, which enables citizens, the civil society, election observers, law enforcement agencies and humanitarian response agencies to monitor election incidents of significance using any technology at their disposal.
The initiative has since successfully been implemented in the 2010 Tanzanian general elections, the 2011 Zambian general elections and in the 2013 Kenyan general elections.

View More On Wikipedia.org
  1. JF Analyst

    Viongozi wa Tume ya Uchaguzi Kenya wanapatikanaje? Je, Rais ana nguvu kiasi gani?

    Je, Umewahi kujiuliza jinsi viongozi wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) wanavyopatikana? Jaji Mkuu Martha Koome (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na wajumbe wa Jopo la Uteuzi la Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) baada ya kuapishwa Januari 27, 2025 Katika taifa ambapo uchaguzi ni...
  2. MamaSamia2025

    Huwezi kuzungumzia machafuko ya mwaka 2007 - 2008 baada ya uchaguzi Kenya bila kumtaja Martha Karua

    Ni kwa nia njema ya kuwajulisha wasiomjua Martha Karua hasa upande wake wa uovu. Mwaka 2007 hadi mwanzoni mwa 2008 kulitokea machafuko ya baada ya uchaguzi yaliyosababisha vifo vya zaidi ya watu 1500, ubakaji wa zaidi ya wanawake 3000 huku watu zaidi ya 300,000 wakipoteza makazi yao. Ulikuwa ni...
  3. funaku

    CDM ina mpango wa kushiriki uchaguzi Kenya?

    Naona ina wafuasi wengi kutoka kenya kuliko Tanzania
  4. Lady Whistledown

    Waangalizi wa Uchaguzi wataka Ripoti ya IEBC iwekwe wazi

    Waangalizi wa Uchaguzi nchini Kenya (Elections Observation Group – ELOG) wameonesha wasiwasi wake kuhusu hatua ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), kuwasilisha ripoti ya mchakato wa Uteuzi wa viongozi wake kwa Rais William Ruto pekee bila kuifanya kuwa ya Umma. Kupitia taarifa yao ya Mei...
  5. C

    Kinashindikana nini Kenya kuitisha uchaguzi mpya?

    1. Kila siku wanamkaribia Mheshimiwa Dkt. Commander in Chief Ruto (PhD) maana Mheshimiwa pamoja na kuwamwaga mizigo wa mwizi (Baraza la Mawaziri) baharini Ila bado wanae tu. 2. Nini kinachelewesha Mheshimiwa kuitisha Uchaguzi mpya ili Kupunguza joto la kisiasa Kenya? **Ruto pia ahakikishe...
  6. Allen Kilewella

    Kesi ya Uchaguzi Kenya siku 14, ya kina Mdee siku zaidi ya 400!

    Ukiangalia ukubwa wa uchaguzi wa Kenya na hoja zilizowasilishwa kwenye Mahakama ya Kenya. Bila ya shaka utagundua kwamba mahakama ya Kenya ina utendaji kazi uliotukuka kuliko mahakama yetu Tanzania. Kwenye mahakama ya Tanzania kuna kesi ya kina Halima Mdee na wenzake, ambayo kwa zaidi ya mwaka...
  7. BARD AI

    Uchaguzi Kenya: Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya Usalama kwa raia wake

    Wakati Mahakama Kuu ikisubiriwa kutoa uamuzi wa kuidhinisha au kubatilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais Jumatatu Septemba 5, 2022, Ubalozi Marekani umeweka vizuizi vya watu kusafiri kwenye mji wa Kisumu, eneo analotokea Raila Odinga Taarifa ya Ubalozi imenukuliwa ikisema mara kwa mara Kenya...
  8. R

    Swali magumu uchaguzi Kenya

    Tarehe 5 ndiyo siku ya Ruling. Nakumbuka uchaguiz wa 2017 hukumu ilikuwa na page kama 500 hivi. sasa kuanzia kesho wata deliberate submissions za pande zote na kuandika hukumu ? Ku analyse ushahidi wote and make sense out of it, Just sense and not a matter of sense! Siku kama 3 hivi.....
  9. R

    Nafuatilia uchaguzi Kenya: It seems baba will suffer again!

    Inaonekana wajibu maombi wanakazia kuwa Raila hajatoa ushahidi wa aliyoyasema kama mapungufdu katika uchaguzi. Mfano ametaja kuwa mifumo ya seva ya IEBC iliingiliwa lakini hajatoa ushahidi uliingiliwa vipi na kama kuingiliwa huko kulisabisha kura kwenda ndivyo sivyo na hivyo kumpa ushindi...
  10. BARD AI

    Kenya2022 Uchaguzi Kenya: Masanduku 9 kati ya 15 ya Kura zilizoagizwa kuhesabiwa upya hayana hitilafu

    Uchunguzi wa kundi la kwanza la masanduku 9 kati ya 15 ya kura zilizoagizwa kuhesabiwa upya na Mahakama ya Juu haukuweza kuonesha hitilafu zozote za wazi katika matokeo ya uchaguzi wa Urais. Wakati wa kuchapisha, ni masanduku tisa pekee kati ya 15 ya kura yalikuwa yamefunguliwa, kuchunguzwa na...
  11. BARD AI

    Kenya2022 Maswali na Majibu yote kutoka Mahakama Kuu kuhusu Pingamizi la Matokeo ya Urais

    Githu Muigai: Waangalizi wote walirudi na hitimisho moja. Huu ulikuwa uchaguzi wa wazi na wazi. Githu Muigai: Ningekuhimiza uwaulize mawakili ikiwa wanafurahia uchaguzi wao wenyewe. Ikiwa wamefurahi, basi inakuwaje uchaguzi huu una dosari? Githu Muigai: Katika mahakama hii, kuna magavana...
  12. The Palm Beach

    Video: Tathmini ya Tundu Lissu ya Uchaguzi mkuu Kenya Agost 9, 2022; Ausifu na kueleza aliyoyaona na ambayo hakuyaona yakifanywa na tume - IEBC

    Niseme nini hasa? Tundu Lissu ni miongoni mwa wanaharakati, wanasheria na wanasiasa brilliant wanaojua kuelezea jambo kwa lugha rahisi, iliyonyooka na kueleweka na yeyote... Ni wazi kuwa huyu jamaa kasoma kweli na ameelimika pia na anajua mambo mengi sana... Hapa anaeleza maoni na mtazamo...
  13. J

    Afisa wa Tume ya Uchaguzi Kenya afariki dunia baada ya kuugua ghafla

    Chanzo: Mwananchi Nairobi. Msimamizi wa uchaguzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya kwenye jimbo la Gichugu, Geoffrey Gitobu amefariki dunia jana Jumatatu Agosti 22, 2022 baada ya kuanguka ghafla. Meneja wa Uchaguzi wa IEBC kaunti ya Kirinyaga, Jane Gitonga amethibitisha...
  14. BARD AI

    Kenya2022 Afisa wa Tume ya Uchaguzi Kenya alinyongwa, Ripoti ya Madaktari yaonesha

    Ripoti ya uchunguzi wa Madaktari imeonesha kuwa Daniel Musyoka, mfanyakazi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) aliyepatikana akiwa amefarki, alinyongwa hadi kufa Timu ya Madaktari Bingwa watano waliofanyia upasuaji mwili wa Afisa huyo, pia wamepeleka Nairobi baadhi ya vielelezo kwa ajili...
  15. BARD AI

    Kenya2022 Madaktari kuchunguza mwili wa Afisa wa Tume ya Uchaguzi Kenya

    Madaktari wa Uchunguzi wataufanyia uchunguzi mwili wa afisa wa IEBC, Daniel Musyoka aliyekutwa amefariki baada ya kutoweka kwenye kituo cha Kura. Mchunguzi wa serikali pamoja na Daktari aliyeteuliwa na familia watafanya shughuli hiyo ili kubaini sababu za kifo cha Afisa huyo aliyetoweka kwa...
  16. Roving Journalist

    Kenya2022 IEBC: William Ruto ameshinda Urais kwa 50.4% dhidi ya 48.8% za Raila Odinga

    Tume ya Uchaguzi Huru na Mipaka (IEBC) imemtangaza aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto (55) kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano kwa tiketi ya Chama cha UDA kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, 2022 Tume imesema Ruto amepata Kura 7,176,141 sawa na asilimia 50.49 huku akifuatiwa na Raila...
  17. Mbaga Jr

    Kenya2022 Uchaguzi wa Kenya: Mkutano wavurugika kwa fujo, watu wapigana

    Inasikitisha sana wakuu
  18. Marathon day

    Kenya2022 Uchaguzi wa Kenya ulianza vizuri ni nini kimeusibu?

    Mbona huu uchaguzi wa Kenya walianza vizuri, watu tukajua ndani ya siku Moja mbili tutamjua Rais , lakini sasa ni takribani siku ya nne mambo bado, kunani tena?
  19. R

    Baada ya kuona kinachoendelea uchaguzi Kenya, thinking ya UCHAWA CCM nilitegemea ibadilike, kuondoa mawazo ya utwana na utumwa wa kumuona Rais Mungu

    Tuna mengi sana ya kujifunza Kenya na uchaguzi wao. 1. Uwazi 2. Uhuru wa media zao 3. Incumbent president Uhuru hana kauli yoyote kuhusu uchaguzi 4. Katiba yao inaruhusu haya yanayotokea 5. etc etc etc Summary nzuri ameifanya Askofu Bagonza kama ilivyo hapa chini! UCHAGUZI MKUU KENYA...
  20. MK254

    Kenya2022 Rais mstaafu Dkt. Kikwete asifia uwazi uliodhihirishwa na Tume ya Uchaguzi Kenya

    Asifia utendaji wa polisi walivyohakikisha usalama bila kuingilia zoezi, pia asifia tume ilivyo onyesha uwazi na kuhakikisha matokeo ambayo hayakuchakachuliwa. Mataifa ya Afrika mna mengi ya kuiga kutoka Kenya. Election observer missions to Kenya have lauded the electoral commission for...
Back
Top Bottom