Neno la Mungu (Biblia) linaonya kusema;
Mithali 29:1 SUV
"...Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa..."
Rais Samia na wenzako serikalini na ndani ya chama chako - CCM msione aibu, kubalini kuwa mmekosea, hamtapungukiwa wala kupoteza chochote...
Mungu...
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X (zamani Twitter) Mwanaharakati Maria Sarungi ameandika kuhusu tukio la kukamatwa kwa kijana anayedaiwa kuwa muumini wa dini ya Kiislamu akiwa amevalia mavazi ya Kipadre wa Kikatoliki kwenye kampeni.
"This is very low! In Mbeya a Muslim man was caught...
Wakuu,
Mwananchi anahoji kwanini Samia anasaidia matajiri wakati kuna watu kibao wa hali chini wanaohitaji msaada huo zaidi? Anakaa kutoa hela kwenye goli la mama, mara kumwaga hela kwa wasanii na kuacha watanzania wakifa kwenye umasikini wa kutupwa! Kwa namna hii hakuna Rais anayeitwa Samia...
Walimu wametakiwa kuzingatia sheria na taratibu za utumishi wa umma na kuacha kujihusisha na masuala ya siasa kinyume cha miongozo, vinginevyo hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao.
Kauli hiyo imetolewa leo Jijini Dodoma na Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), Paulina Nkwama, wakati...
Kampeni za mwaka huu hazina mvuto ukilinganisha na miaka iliyopita," anasema mchambuzi wa siasa za ndani, Mohamed Issa, akieleza hali ya kisiasa inavyoendelea nchini Tanzania mwezi mmoja tangu kuanza rasmi kwa kampeni za uchaguzi mkuu Agosti 28, 2025.
Kwa sasa, picha kubwa inayoonekana ni chama...
Wakuu,
Mliona jinsi polisi walivyoanza kuvaa kiraia na kujaza nafasi kwenye kesi ya Lissu ili kuzuia wananchi na wanachama wa CHADEMA kuhudhuria kesi hiyo huku wakifuatilia kwa ukaribu mazungumzo ya wananchama hao? Mara tukaona na mpiga picha wa polisi akiwa na nguo kabisa za kipolisi...
Wakuu,
Wananchi mmeoana vile nguvu yenu inayoweza kufanya! Kidogo tu wametema bungo, Murilo anaongea kistaarabu kama anaongea na wananchi wa Tanzania😂🤣🤣. Raia hawakuogopa kitu jana, polisi hata baada ya kupiga risasi moja juu, walijua nini kinaenda kutokea baada ya raia kudinda, wameona...
Wakuu,
Hii inashangaza! Chalamila alipoenda kutembelea mwendokasi jana Oktoba 1 asubuhi media zote zilipost,na uchawa wa kutosha kwenye maigizo na maagizo yaliyotolewa! Sawa, walitimiza wajibu wao, wananchi tukahabarika.
Mambo yakageuka wananchi walipogomea mwendokasi na kufanya vurugu...
Kutokana na kero ya usafiri na uhaba wa mabasi ya mwendo kasi, wananchi wenye hasira kali wamevamia ofsi za tiketi na mabasi ya mwendo kasi na kuanza kupasua vioo na kuumiza wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Fujo zimezuka usiku huu, polisi Bado hawajafika
Wanasiasa endeleeni kujidanganya ati...
Wakuu,
Kuna tamthilia imeanza kurushwa Septemba 30, 2025 ambapo waliachia episode ya kwanza. Tamthilia hiyo inaitwa Hatua na kama kawaida wasanii chawa ndio waliyoipamba tamthilia hiyo.
Kwenye episode ya kwanza wanaonesha maendeleo yaliyofanywa kwenye sekta ya kilimo, na jinsi wakulima...
Wakuu,
Mwananchi katika jimbo la kigoma mjini ambaye pia ni mjumbe wa balozi CCM amefunguka kuwa timu ya watu wa ACT walimtembelea nyumbani kwake kwaajili ya kumuomba kura lakini wakaondoka na simu yake kitendo ambacho kimetafsiriwa kuwa ni wizi.
Tukio hilo limetokea tarehe 25 mwezi September...
NIDA (Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa) ni chombo chenye wajibu wa kutoa huduma za utambuzi ambazo zinatambulika kitaifa na kimataifa. Chombo hiki hutoa vitambulisho kwa Watanzania na wageni wakaazi wa Tanzania na kutunza Daftari la Utambuzi kwa kengo la kuimarisha Usalama na Amani kiuchumi na...
andrew massawe
andrew wilson massawe
arnold kihaule
arnold kihaule nida
dickson maimu
esmaily hassan rumatila
james kaji
modestus kipilimba
uchaguzi2025
viongozi nida
Namheshimu sana na mno Kaka Andrew Nyerere na nimeuheshimu Mchango wake ila sikubaliani nae kwa 100% kumzuia Rais Samia asiende Kuzuru Kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Ni kweli kabisa kuwa Demokrasia kwa sasa nchini Tanzania iko mahututi ICU na Serikali ya CCM chini ya Rais Samia...
Kwa wanaofuatilia vimbwanga kuelekea uchakachuaji ujao, watakubaliana nami kuwa pesa ndefu inatumiwa tena watoto wa makapuku ambao hawajafanya kazi muda mrefu.
Je wanaipata wapi au ni bwimbwi kama siyo ya kutupiga kwa wale waliowahi kushika nyadhifa kama yule wa Arusha. Je wananunua nini na...
Wakuu,
Gazeti la The Citizen ilichapisha katuni hizi kwa nyakati tofauti kuonyesha mazingira ya uchaguzi nchini. Kwenye katuni ya kwanza inaonesha mnara ulianza kusoma freshi kuelekea box la kupiga kura lakini kadri jamaa anavyolikaribia box la kura mnara unashuka na hatimaye kupotea kabisa...
Wakuu,
Wananchi wa toka sehemu mbalimbali wameonyesha kufurahishwa na mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Samia jinsi anavyojitoa kuwasikiliza na kuwatatulia matatizo yao pindi wanapokubwa na kero mbalimbali katika sehemu zao za kazi.
Au wanasema uongo Wakuu, yaani wanasema Samia ndio...
"Kijana ambaye ni mpenda rushwa, mwizi, fisadi, tapeli, mvivu, mtumia madawa ya kulevya, asiyejifahamu, nk, aina hii ya vijana wana mchango mdogo sana katika taifa na hata kwenye chama." - Magufuli
Hii ndio aina ya vijana waliojaa CCM na CCM-B zote, chawa wasio na maana wanaouza wenzao ili...
Wakuu,
Binti huyu anayefahamika kwa jina la Frida Mikoroti, amekuwa akikosoa kampeni za uchaguzi mkuu zinazoendelea wakati huu kupitia kurasa za mitandao yake ya kijamii, akiwachana CCM kutokuwa na mpinzani wa kweli lakini pia kutoa ahadi za kipuuzi katika mambo ambayo walipaswa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.