Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, Septemba 24, 2025 aliwasimulia wananchi wa Mtama, mkoani Lindi, namna alivyoingia Kamati Kuu ya chama hicho baada ya kukutana na baba yake Nape Nnauye.
“Lakini mama huyu ana mwanawe anaitwa Nape Nnauye… ngoja niwapeni...
Ni jambo la kushangaza na kusikitisha kuona Watanzania wengi wakilalamika kuhusu wimbi la jumbe zinazotumwa kila siku zikiwa na ujumbe wa “Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025 kumchagua Rais, Wabunge na Madiwani. Kura yako ni haki yako.”
Wengi wanasema ujumbe huo, unaoonekana kama...
Mgombea Urais wa Chama Cha Ukombozi wa Umma, Salum Mwalim amesema akipewa ridhaa ya kuongoza Tanzania ataboresha miundombinu ya masoko ya vyakula Dar es Salaam na kujenga masoko ya kisasa ili kusaidia wafanyabiashara kukuza mitaji yao
Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
Mgombea ubunge wa jimbo la Arusha mjini kuptia chama Cha Mapinduzi CCM Paul Makonda amemhakikishia Mgombea urais kupitia cha hicho kuwa Oktoba 29 hakuna maandano na atapewa kura zakutosha.
Makonda amesema " Wananchi wa vijiweni wameniomba kwamba sasa hivi achaneni na habari ya kutokupiga kura...
Wakuu,
Safari hii polisi karibu kila siku wanaonekana barabarani wakifanya 'mazoezi' na kujiweka fiti, yote haya ni kujiandaa kukabiliana na wananchi watakaoandamana siku hiyo, pamoja na kuwatisha ofkoz, kuwa msisubutu kwani tutakuwepo barabarani kuwakabili.
Wakati polisi wakiendelea na...
Kampuni ya Mawasiliano Tanzania ya Vodacom, iimewataka wananchi ambao hawataki kutumiwa meseji za Uchaguzi, waende kushitaki au kulalamika TCRA.
Meseji utake usitake utapokea tu. Huna uhuru wala haki yoyote ya kuamua wala kuchagua kwa mtakwa yako.
Pumzika kwa amani Alfonce Mawazo. Muda huu...
GT.
Mimi nashuhudia maajabu tu. Hakuna sera ni vitisho tu aha ha ha ha 😂 😆 🤣 nyie maCCM nani kawaambia sisi tunapiga kura.
Kazi mnayo mwaka huu. Uchaguzi wenu ni wa mchongo. Haukubaliki duniani na mbinguni hatuji, kupiga kura..
Hamna sera mmebaki kutisha tisha watu hovyo bure kabisa.
Kuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi
Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais Samia
Lakini leo tarehe 8 October kuna video hii inasambaa kuwa kijana anatafutwa, haonekani alipo...
GT
Haya sasa mapambazuko yanaendelea, watanzania tunaonekana kwa sasa ni viumbe hatari tusioaminika huko duniani.
================
KUHUSU UAMUZI WA SERIKALI YA MAREKANI KUIWEKEA TANZANIA MASHARTI YA DHAMANA YA VIZA (VISA BOND)
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapenda kuuarifu umma...
Wakuu,
Jamaa kaelezea kwa lugha rahisi huku ukiwa unaona jinsi watu wanavyoweza kukudaka ukiwa umeachia sehemu ya location kutumika kwenye mtandao Instagram. Fuata maelekezo, jilinde.
Mbali na hili, tofauti na biashara acha kupenda kupost maeneo unayopenda kutembelea au unapopoa mara kwa...
Ameandika Chawa wa CCM na Mwenyekiti umoja wa vijana wa UVCCM Mohamed Kawaida Kupitia ukurasa wake wa Instagram.
My take
Taifa lina kijana kama huyu ambaye uwezo wake wakufikiria umeishia hapa hakika mwisho wake sio mzuri.
"Inaelekea Polepole ameamua kuichezesha familia yake filamu...
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Aman Golugwa akiongea na Wanahabari leo Oktoba 07, 2025 nje ya Mahakama Kuu kanda ya Dar Es Salaam amewasihi wananchi na wananchama wa chama hicho kujitokeza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wao wa Taifa, Tundu Lissu.
Sambamba na hilo Golugwa awaonyesha...
Nasikiliza kampeni za Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan akiwa jijini Mwanza. Kuna mgombea wa Buchosa akiwa anatetea ugali wake nimemsikia akimpamba sana Mama Samia na kufikia kusema anastahili tuzo ya Nobel.
Vipi mnakubaliana naye?
Wakuu,
Aprili 7, 2017 Bashe aliandika haya kupitia ukurasa wake wa Twitter (X), "Sote tusimame tuseme hapana kwa mfumo huu unaoanza kuota mizizi. Kama mtu ana makosa ufatwe utaratibu wa kisheria kumkamata sio utekaji."
April 10 akiwa bungeni aliweka hoja mezani akiomba bunge liahirishe...
Aloooo,
Kama ulikuwa hujali wala huumizwi na matukio ya utekaji, na kuona hayajuhusu nadhani hilo limebadilika kuanzia jana.
Nimepita mtandaoni maoni yanafanana, watu tumeshindwa kulala, usingizi unakuja wa mang'amung'amu, moyo unauma kama vile aliyetekwa ni mtu wako wa karibu.
Unajikuta...
gen z kuandamana
humphrey polepole
humphrey polepole atekwa
polepole atekwa na mafwele
uchaguzi2025
ukatili wa polisi
utekaji tanzania
watu wasiojulikana
Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kiwani (CCM) Hemed Suleiman Abdulla amewaonya wanaomfuatafuata jimboni kwake kwenda kuwashawishi wananchi wake wakatae maendeleo ikiwemo magorofa.
Hemed ametoa onyo hilo wakati akizungumza na wananchi katika muendelezo wa mikutano yake ya kuomba kura kuomba katika...
Wakuu
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu, amemkosoa vikali Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kwa kile alichokiita kupuuzia mauaji yanayoendelea katika mgogoro kati ya wakulima na wafugaji wilayani Tunduru.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara...
Kabla ya mtu kuhukumiwa hupata nafasi nafasi za kurekebisha alipoteleza na kurudisha vitu kwenye kwenye mstari. Baadhi huelewa haraka, akipata onyo mara moja ajirudi haraka, wengine ni mpaka ashtuliwe mara tatu nne, na kuna wale sikio la kufa ambao hushupaza shingo mpaka mwisho na kuanguka.
Kwa...
Sina maneno mengi.
Jeshi la Wananchi wa Tanzania nyie ndiyo wenye last action juu ya ulinzi wa kila kitu kilichopo ndani ya nchi hii, chini majini au juu ya uso wa dunia ndani ya mipaka ya taifa letu.
Inafahamika, nyie hamuegemei popote.
Ila kwa wanayoendelea sasa hakika kwa heshima na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.