Shirika la Vijana na wanawake Tanzania (TAFEYOKO) limesema limefanya utafiti katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani ambao umeonesha asilimia 64 za wanawake na asilimia 36 za wanaume wamesema wakishamaliza kupiga kura watarejea nyumbani.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Cuthbeth ametoa onyo kwa wananchi wanaopanga kupanga kufanya maandamano siku ya Oktoba 29 akisema:
"Kama serikali tunawajibu wa kukemea mapema, yeyote ama kundi linalopanga kufanya vurugu kwa kujishawishi mwenyewe ama kushawishiwa kwa makusudi ama kwa bahati mbaya...
Wiki kadhaa zilizopita niliwataja Mange Kimambi, Humphrey Polepole na Luhaga Mpina kama watu ambao sijaamini dhamira ya maneno na matendo yao ya kisiasa. Haya maneno niliyasema siku kadhaa kabla taarifa za kupotea kwa Polepole hazijatoka.
Niliwahi kusema master plan ya siasa za CCM ni kuwa...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia wimbo mpya wa msanii wa Hip Hop, Roma Mkatoliki, uliopewa jinala “Teremsha Bunduki”, ikiwa ni siku chache tangu ulipotoka rasmi.
Taarifa ya BASATA ya leo Oktoba 21, 2025, imesema wimbo huo umevunja kanuni za Baraza, na kwa hivyo umezuiliwa...
Mgombea urais kupitia Chama cha Ada Tadea, Georges Busungu amesema endapo atachaguliwa kuongoza nchi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano Oktoba 29, 2025, serikali yake itahakikisha magereza yote nchini yanaboreshwa na kila mfungwa anapata stadi za maisha pamoja na posho ya kila mwezi...
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita, amewatoa hofu wananchi wa mkoa huo kuhusu hali ya usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa mkoa uko salama na hauna tishio lolote la kiusalama.
Akizungumza katika kikao na waandishi wa habari...
Wakuu,
Nimekutana na habari hii ikiwa imepambwa na kupendezeshwa kwa grafiki nzuri na caption ya kupendeza kweli.
Yaani hiki nacho ni kitu cha kushukuru wakuu? Wakati China wanajenga madaraja ya kilomita 20 na, Marekani inajiandaa kwenda Mars na nchi nyingine za Afrika zinajiandaa kuanza...
Hii imethibitika dunia nzima. Maandamano ya wananchi waliochoka kuibiwa na kuteswa na madhalimu yana nguvu ya kuiangusha serikali dhalimu kuliko hata Mizinga na vifaru.
Mapinduzi ya ya Tunisia na Misri mwaka 2010 yanatupa mfano hai.
Ndio maana watawala wa kiafrika wanaogopa sana maandamano...
Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia wengine wasipige kura?
Tuna siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025. Uchaguzi huu umegubikwa lindi la kukosa uhalali pengine kuliko uchaguzi mwingine wowote Tanzania.
Hata mgombea wa CCM ameshutumiwa na mpaka kufunguliwa kesi kuwa kajipitisha bila...
Kesi inayomkabili Mhe. Lissu itaendelea leo Mahakama Kuu kanda ya DSM, Mawakili wa Serikali wataleta utetezi wao baada ya upande wa Mshtakiwa kupinga Vielelezo vilivyoletwa Mahakamani kama Ushahidi kupokelewa na Mahakama kutokana na kutofuata utaratibu wa mwanzo wa ukabidhi.
---
Upande wa...
Ramso ni msanii wa vichekesho na mtoto wa pekee kwa mama yake, ambaye inasemekana ametekwa na watu wasiojulikana baada ya kuposti video akimtaka Rais Samia ajiuzulu kwani hakuna anayemtaka.
Mama yake ametoka hadharani kuomba msaada wa mwanaye kupatikana ikiwa ni wiki mbili toka mwanaye...
freedom of speech
maandamano oktoba 2025
maandamano oktoba 29
uchaguzi2025
uhuru wa kujieleza
uhuru wa maoni
utekaji tanzania
utekaji vijana wakosoaji
watu wasiojulikana
Wakuu,
Kumekuwa na hizi assumption kutoka pande mbalimbali kwamba Samia yupo tu kama geresha na nyuma yake ndio kuna mtu ambaye hasaaa ameshika usukani na kuamrisha kete zipelekwe kule ambako anataka yeye zifike!
Hivi ni kwanini tunafikiria haya, kwanini tunaona kama Samia hawezi kuwa...
Wakuu,
Hapa hata kama unakuwa huelewi matamko makubwa makubwa, sijui maandiko marefu, hapa unaelewa! Ujumbe unafikishwa kama utani lakini ndio umefika hivyo, na unakaa akilini vizuri.
Kama wanavyotumia sanaa kuhamasisha watu kuachana na maandamano, amani bila haki, na propaganda za kipuuzi...
Wakuu,
Kwani jamaa kasema uongo hapa Wakuu? Jezi za Simba zilizoandikwa MO 29 maana yake ni
M - Maandamano
O - October
29 - Hii haitaji hata tafsiri inajieleza, siku ya tar 29 ndio yenyewe!
Simba wameupiga mwingi kuhakikisha Watanzania hata wa Nanjilinji wanapata taarifa kuhusu maandano...
Askofu Ruwa'ichi akizungumza katika Misa ya Takatifu ya Hija ya UWAKA kuwategemeza Masista wa Shirika la Dada Wadogo Visiga Pwani, jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam amesema kuwa utekaji mbalimbali unaotokea nchini unaendeshwa na kikundi Maalum mpaka wananchi kufikia kujiuliza iweje kikundi hiki...
“Wanaohamasisha maandamano kwa kutumia akaunti feki wasifikiri hawawezi kutambulika, watatambulika tu, Watanzania wengi ambao ni wema wanaoipigania amani watatuambia tu huyu siyo.
“Tukio kama hilo lilishawahi kutolewa siku za nyuma na walitambulika na wakachukuliwa hatua.”
Hiyo ni kauli ya...
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) David Misime, akihojiwa na Kituo cha UTV, leo Jumanne Oktoba 14, 2025 amesema:
“Sheria ipo wazi wanaotaka kuandamana kinyume cha Sheria watachukuliwa hatua, Jeshi la Polisi tupo imara na tupo tayari kuwalinda Watanzania wema kwa...
Wakuu,
Yaani sielewi hiki kitu kabisa, mtu anapotoa tuhuma za jambo fulani kazi yake inakuwa imeisha, sasa ni kwa polisi na/au mamlaka husika kwenye tukio hilo kufanya uchunguzi na kuthibitisha kama jambo husika ni kweli au lah. Na ndio maana mtu anakuwa hana hatia mpaka pale itakapothitishwa...
Akizungumza katika mahojiano na Kituo cha UTV, leo Jumatatu Oktoba 13, 2025, Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa anasema:
‘Watanzania wawe na amani, kila kitu kitu kinaenda swa, Oktoba 29 waende wakapige kura, kwa sasa wasikilize wagombea ili ikifika siku hiyo wakafanye maamuzi sahihi.’
Kuhusu...
Wakuu
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Lazaro Nyarandu amewataka wananchi kujitokeza kusikiliza sera za wagombea katika nafasi mbali mbali huku akiwaomba wananchi kumuombea mgombea urais wa CCM Samia Suluhu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.