uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mmasai kwenye kampeni: Hatuna sababu ya kukupa kura ya kutiki kwa sababu tunaitambua kazi yako.

    Wakuu, Wamasai nao wameunga tela kumsifia wagombea wa CCM na kuichagua CCM Huyu hapa Mmasai akiwa anamnadi Samia kwenye kampeni “Hatuna sababu ya kukupa kura ya kutiki kwa sababu tunaitambua kazi yako. Bila ya beach boy au bila ya Mmasai hakuna utalii kwa sababu wao hawawezi kujua mpaka...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 James Mbowe: Mkinichagua kila mmoja atanufaika na Mlima Kilimanjaro

    Wakuu, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai kupitia CHAUMMA, James Mbowe amesema endapo atachaguliwa kuwa Mbunge wa Hai, atahakikisha vijana wa kata zote 17 za Jimbo hilo wananufaika moja kwa moja na fursa zinazotokana na Mlima Kilimanjaro. Ameeleza kuwa atatenga fedha za asilimia 10 za Halmashauri...
  3. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania GE2025 Movement for change ingefanya kazi kubwa mno kipindi hiki cha Nywi nywi ,nywi, Lowasa angebeba nchi kiwepesi sana

    Nikikumbuka mbilinge mbilinge za kipindi kile cha movement for change (M4C) na jinsi presha ya uchaguzi ilivyokuwa juu, nina thubutu kusema laiti kama mheshimiwa Edward Lowasa angekuwa hai basi hiki kilikuwa kioindi sahihi zaidi cha yeye kuongoza nchi. Mpaka sasa sijaona mtu sahihi ambaye...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wahitimu JKT Wahimizwa kujiepusha na Matumizi mabaya ya Mitandao ya Kijamii hasa wakati wa uchaguzi

    Wameona mambo ni mengi sana Mtandaoni wananchi wanakabia juu kwa juu, sasa kazi ni kufanya brain washing kwa vijana wanaotoka kambini na kurejea mtaani Natumai mmewaambia namna ya kuja kupambana na mafisadi wanaorudisha nyuma maendeleo ya nchi yao --------------- Vijana kote nchini Pamoja na...
  5. Chamoto

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Tarehe 29 sitaonekana kwenye kituo chochote cha kupiga kura kwa sababu hakuna Uchaguzi ni kiini macho

    Anaandika Humphrey Polepole kupitia ukurasa wake wa Instagram: "Ukiona ukiwasikiliza ndani ya moyo wako hawakupi amani ya moyo, ukiona wanatumia nguvu kubwa kukushawishi hata kwa mambo ya kawaida na bado unahisi na kuona kutokuwaamini, ukiona wakitajwa unahofia usalama wako, ukiona hauwezi...
  6. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania GE2025 TLS wanahitaji support ya Umma ila kwa ujinga wetu tumekaa kimya, watu wako busy kujadili Kocha wa Simba

    Kitendo cha TLS kutangaza maandamano ya amani ncni nzima pale pale ilikuwa umma utoe sapoti ya kutosha, ila haipo hio sapoti. Ofisi zao kule Dar zimevamiwa hakuna Keybord worrior hata mmoja alioko frontline kutoa sapoti. Hakuna raia wanao sema watoke wakaone kuna nini pale hakuna.TLS wameachwa...
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama tutafanikiwa kuiondoa kijani ni nani anatazamiwa kushika kijiti? Au tutajua siku kipofu akiona jua?

    Wakuu nimejaribu kuwaza mbali, tusije tukaishia kutoa mapepo na kumuingiza shetani! Itakuaje sasa, kwa mfano tukawatoa kijani, tumeshawaza ni nani tutakayempa dhamana ya kuwa mbeba maono wa kutufikisha Kaanani? Tukishasafisha njia, tukaziba mashimo yote na kutoa miba na mawe njiani, kukawa...
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutajenga reli ya kilomita 1,000 ambayo itapita kwenye maeneo ya Liganga na Mchuchuma

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema serikali ya awamu ya sita imeanza mpango wa ujenzi wa reli ya zaidi ya Kilomita 1,000 kutoka Mtwara mpaka Mbamba Bay mkoani Ruvuma. Akizungumza na wananchi wa Wilaya ya...
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea wa Urais NLD: Mkinichagua barabara zenu zitajengwa kwa zege na sio lami

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NLD, Mhe. Doyo Hassan Doyo, akiwa katika ziara za kampeni Wilaya ya Serengeti, aliwahutubia wakazi wa Mji wa Mugumu. Katika hotuba yake, Mhe. Doyo alisema kuwa ni fedheha kwa wananchi wa Serengeti kukosa miundombinu bora ya...
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salim Bimani: Wagombea wetu wote ACT ni halali. CCM mkome kuwafuata fuata

    Salim Bimani amewataka viongozi wa CCM waache kuwafuatafuata wanachama wa ACT WAZALENDO na kuwarubuni kwa pesa kwani wanachama hao hawawezi tena kudanganywa na kurubuniwa kwa pesa.
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu: Vijana wenzangu najua mnavyohustle. Nipeni kura msela mwenzenu tukatusue

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, akiwa katika Kata ya Guruka, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma, ameahidi kuwa serikali yake itaweka nguvu katika kupambana na umaskini kwa kuanzisha viwanda vya kuongeza thamani ya...
  12. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waziri Stergomena Tax: Maafisa Usafirishaji nyie ni watu muhimu sana. Mna mchango mkubwa katika kutunza amani

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa JKT, Mhe. Dkt. Stergomeana Tax, amewataka maafisa usafirishaji kwa njia ya pikipiki (bodaboda), kote nchini kuwa mabalozi wazuri wa kulinda amani ya nchi, hususani katika kipindi hichi cha kuelekea uchaguzi mkuu wawapo katika shughuli zao kwani...
  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Mchagueni Samia. Yuko tayari kutumia juhudi binafsi kuleta maendeleo

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira miongoni mwa sababu za Watanzania kymchagua Mgombea urai wa CCM Dk. Samia Suluhu Hassan ni pamoja na uwezo wake kutumia juhudi binafsi kuleta maendeleo ya Watanzania. Aidha, kupitia CCM chini ya Dk. Samia, Watanzania...
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Iwepo sheria, Kigezo cha mtu kupiga kura kisiwe umri bali TIN number. Kama hulipi kodi direct marufuku kupiga kura

    Wakuu, The reason Tanzania watu wengi hawataki kuandamana na hawataki kushiriki kwenye siasa ni kwa sababu mfumo hauwagusi direct. Yaani mtu ana barber shop yake. Halipi kodi. Yeye ananyoa tu watu. Habugudhiwi na mfumo kwa hiyo anaona kila kitu ni sawa NA majority ya hawa watu ndio wanajaza...
  15. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Mkituchagua tutamaliza tatizo la umeme hafifu

    Kuna muda unasikiliza sera za CCM unaweza kudhani kuwa kwa miaka 60 iliyopita nchi ilikuwa chini ya CHADEMA au chama kingine Sasa suala la umeme ===================== Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan ameahidi kuwa ndani ya miaka mitano ijayo ikiwa watanzania watampa...
  16. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ilani ya CCM inasemaje kuhusu utekwaji na kuuliwa kwa watanzania?

    Mh Rais Samia ilani ya ccm inasemaje kuhusu utekwaji na kuuwa kwa vijana wa kitanzania? Lejea mdude, SOKA shyrose na wenzake? Je vijana msio na ajira mtampa ajira Samia Suluhu hassani?
  17. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Nikishinda Ubunge nitamleta Schwarzenegger mwaka mpya Arusha

    Hivi hawa viongozi wanatuonaje kwa mfano. Na hao wananchi wako tu hapo wanasikiliza na kupigia ujinga makofi. Ni kwamba kero zote Arusha zimetatuliwa au? ================ Mgombea Ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema katika kusherehesha shamrashamra za...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Kenya ni Nchi kiongozi kwa Demokrasia na mahakama huru

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa Kenya ni miongoni mwa mataifa yenye demokrasia nzuri na mahakama huru akieleza kuwa nchi hiyo haipo tena kwenye vita ya kuteka na kuua raia bali wapo kwenye vita ya kiuchumi. Ameyasema hayo leo Septemba 19,2025 wakati akizungumza kwa njia ya...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zijue nchi za Afrika zinazofanya uchaguzi 2025

    Chaguzi 2025 Barani Afrika: Orodha Hizi ndizo chaguzi zijazo kwa muundo wa orodha. Januari 2025 12 Januari 2025: Comoro – Bunge la Muungano Februari 2025 2 Februari 2025: Togo – Seneti [imeahirishwa] Februari 2025: Togo – Rais Machi 2025 5 Juni 2025: Burundi – Bunge la Taifa Agosti...
  20. JF Analyst

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wagombea Urais kupewa magari na INEC na ZEC inaleta taswira gani kwa wapiga Kura?

    Katika mchakato wa Kidemokrasia, Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) na Tume huru ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) inachukuliwa kama nguzo kuu ya uaminifu wa wananchi. Lakini hatua ya Tume kuwapatia wagombea wa Urais magari kwa ajili ya kampeni inaleta maswali mazito kuhusu mustakabali wa Demokrasia na...
Back
Top Bottom