uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge Mtambile: Amani ndio tunu yetu. Syria na Libya walijaribu kutafuta demokrasia leo hii wanahangaika mpaka kesho

    Mgombea ubunge wa Mtambile, Zanzibar, Mohamed Abdallah Kassim amewaomba wananachi kutunza amani kwa sababu ni tunu muhimu ya taifa ambalo wanapaswa kuilinda ili kufanikisha maendeleo na ustawi wa kila mmoja. Amesema hayo leo, Septemba 27, 2025, wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za CCM za...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Muheza: Tukishinda vijana laki 3.5 mtapata ajira na kila mmoja atapewa bodaboda

    Wakuu, Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Muheza mkoani Tanga ambaye sasa ni Mbunge Mteule wa Viti Maalum Vijana wa CCM Zanzibar, Zainab Abdallah, amewaomba wananchi wa Jimbo la Mtambile, Mkoa wa Kusini Pemba, kumpa kura za kishindo mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CCM, Mohamed Abdallah Kassim...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM wana hofu gani? Magari yote haya huko Arusha ni kwa faida ya nani na wanajua "watashinda" Uchaguzi?

    Wakuu, Nimekutana na video hii ya magari ikiwemo mabasi na maland cruiser yakiwa na picha za Makonda na Samia huku yakiwa yamerembwa na rangi za CCM Lissu yuko gerezani, Mpina kapigwaa stop kugombea na the so called Tume na CHADEMA wenyewe hawashiriki kwenye Uchaguzi. In reality CCM iko...
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Mbunge Viti Maalum CHADEMA Felista Njau: Wavuvi mpeni kura Samia. Huyu mama anatuwazia mema

    Wakuu, Mbunge wa Viti Maalum mstaafu kupitia Chadema, Felista Njau, amefanya ziara maalum kwenye jamii ya wavuvi wa Ziwa Natron mkoani Manyara, akiwahimiza wajitokeze kwa wingi kumpa kura Rais Samia. Akizungumza katika kata ya Eshkesh, Njau amesema “Wavuvi twendeni tukampe kura za kutosha...
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hapa kuna Uchaguzi kweli? Huyu hapa mgombea wa Urais wa ADC "akinadi" sera zake kwenye viwanja vya Tanganyika Packers

    Wakuu, Kwa picha hizi mwaka hakuna Uchaguzi kabisa yaani ni maigizo tu. Mgombea wa urais kupitia Chama cha ADC, Wilson Elias akinadi sera zake katika mkutano wa chama hicho uliofanyika leo Jumamosi, Septemba 27, 2025 katika viwanja vya Tanganyika Peckars jijini Dar es Salaam. Picha na Michael...
  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu: Nikishinda barabara ya Uyole tutaijenga

    Mgombea urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameahidi endapo atachaguliwa kuwa Rais katika uchaguzi wa Oktoba 29, atafanya uboreshaji mkubwa wa Uyole, mkoani Mbeya, kwa kujenga kituo cha kimataifa kitakachokuwa lango la biashara kwa nchi za Kanda ya Kusini mwa...
  7. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe ataka mdahalo na washindani wake kwenye jimbo la Kigoma Mjini

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe awaomba Wazee wa Kigoma kuitisha mdahalo baina yake na washindani wake katika jimbo hilo kisha kila mmoja aeleze yale aliyoyafanya katika jimbo hilo. Ameyasema hayo Septemba 26, 2025 kwenye mkutano wake wa...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mdahalo wa wagombea urais 1995: Kwanini siku hizi inashindikana? Samia anaweza?

    Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 1995, wakati tayari Tanzania ilikuwa imeshabadili mfumo wa chama kimoja kuwa mfumo wa vyama vingi, kulifanyika mdalaho wa wagombea nafasi ya Urais wakati huo kutoka katika vyama vinne vilivyoshiriki uchaguzi, yaani CCM, NCCR Mageuzi, UDP pamoja na CUF CCM mgombea...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa ndo watu ambao hawamkubali Samia. Sisi wengine Mungu atupe nini?

    Ukiona mtu anamchukia Samia ujue hana kazi, anafanya biashara ambazo hazina sehemu ya kupigia mapene, hana njia za kupiga pesa, hajichanganyanyi na biashara za Kinondon, Ilala na Kijitonyama. Mimi kiukweli nisiwe mnafiq. Hakuna kipindi nimepiga madeal makubwa makubwa kama hiki. Yaani...
  10. blogger

    JamiiForums Tanzania Hivi Ndugu zangu Watanzania mnajua huku mtaani hakuna vibe la uchaguzi . Mshaurini Rais aahirishe

    Uzi huu sio wa chuki na siandiki kama mpinzani. Ila nawaambia ukweli mtaani kwa watanzania weengii masikinii kwanza hawajui kama kuna uchaguzi. Si kwamba hawampendi Mama, ila hawaoni sababu ya kuenda kwenye uchaguzi. Hiviii wanaenda kuchagua nini!? Ilhali Lissu yupo jela. Hii kura ya ndio au...
  11. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 PICHA: Rais Samia ni nuru. Hakuna kiongozi amewahi kupata mapokezi ya aina hii Mtwara tokea kuumbwa kwa Dunia

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Kama Nuru na Mwanga Gizani, ni Tumaini la Watanzania, ni kipenzi cha watu. Anakubalika ,kupendwa na kuaminika utafikiri Nabii mwenye Kibali cha Mungu mkononi pake. Upendo anaopewa na kuonyeshwa na watanzania ni upendo wa kipekee,ni zaidi ya...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 JKT kuja na mafunzo mapya kukuza uzalendo wa vijana mitandaoni

    Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele amesema jeshi hilo litaanzisha masomo ya uzalendo wa kidigitali kutokana na ukweli kwamba vijana wengi hupatikana kwenye mitandao ili kuwajengea na kukuza uzalendo katika mambo wanayofanya wakiwa kwenye mitandao ya kijamii. Meja...
  13. 100 others

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni muda sasa kuzungumza siasa vijiweni, migahawani, vyombo vya Usafiri, sehemu za biashara na sehemu zote zenye mikusanyiko

    Ni muda muafaka sasa kuanza kuzungumza siasa vijiweni, vijiwe vya kahawa, sehemu za biashara, migahawani, kwenye vyombo vya usafiri na hata kwenye mikusanyiko. Huu upuuzi wa kuogopesha Watanzania kila siku mpaka lini? Huu utaratibu ni mzuri, kama mtu ana hoja ya kupinga uongozi uliopo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Albert Msando: Ni kweli Ufisadi upo nchini lakini Rais Samia anapambana nao

    Mkuu wa wilaya ya Ubungo Albert Msando akizungumza kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba ameeleza kuhusu kuwepo na mapambano dhidi ya ufisadi nchini “Ni kweli ufisadi upo Nchini lakini Rais Samia anapambana nao, na anakereka na...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Media kupiga kelele raia kugomea maandamano, Serikali na CCM wamepaniki kuwa safari hii Watanzania wapo serious?

    Wakuu salam, Vuguvugu la maandamano lilianza miezi michache iliyopita baada ya CHADEMA kuja na kampeni ya "No Reforms, No Reforms" huku Lissu akisema watawashawishi watanzania waingie barabarani siku ya uchaguzi na kupinga uchaguzi huo kufanyika mpaka pale mabadiliko ya sheria na katiba...
  16. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Padre aliyedai ametekwa, hakutekwa. Alisafiri mwenyewe kwa basi na kwenda Mbeya

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia padre Jordan Kibiki wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mafinga, kwatuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa na watu wasiojulikana. Kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa, SACP Allan Bukumbi, amethibitisha kukamatwa kwa padre huyo na kueleza kuwa uchunguzi wa...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 Peter Msigwa: CCM kinaweza kuongoza nchi. Upinzani hawana sera

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mch. Peter Msigwa amewaomba wananchi kukichagua kwani ndicho chama chenye sera za ukombozi kwa ajili ya maendeleo ya wananchi tofauti na vyama vya upinzani. Msigwa ameyasema hayo leo Septemba 23 wakati wa mkutano wa kampeni, Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huyu bodaboda aliyejitolea kubeba watu bure siku ya Uchaguzi ni bodaboda kweli?

    Hivi ni bodaboda gani anaglow hivi wakuu? ================= Rajab Mvita Ally ambaye ni Mwenyekiti wa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) kijiji cha Nakapanya amesema siku ya Uchaguzi atajitolea kuwasafirisha watu bure watakaokuwa na nia ya kwenda kupiga kura. Amesema shauku yake ni kuhakikisha...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi aina hii ya kampeni ni Tanzania tu au na nchi nyingine pia hali iko hivi? Viuno vya Kangi Lugola kwenye kampeni

    Wakuu, Huyu hapa Kangi Lugola akiwa anatoa burudani kwenye kampeni zake huko Jimbo la Mwibara Aina hii ya kampuni utakutana nazo Tanzania tu
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiliba wa TAHLISO: Ni muhimu kufanya maamuzi ya kuchagua viongozi walio bora bila kujali hisia na mihemko

    Wakuu, Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewataka vijana nchini kutambua nafasi yao katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, akisema matokeo ya uchaguzi huo yatakuwa na mchango mkubwa katika mustakabali wao. Akizungumza katika kipindi cha...
Back
Top Bottom