uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Tanga: Mrakibu Msaidizi wa Polisi Michael Kaniki awataka wananchi kujiepusha na vurugu wakati wa Uchaguzi 2024 na 2025

    Wakuu, Tunazidi kulisogelea jambo letu 2025, tushiriki kwa umoja wetu katika uchaguzi wa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 kuhakikisha tunapata viongozi bora. Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) Michael Kaniki Kaimu Afisa ushirikishwaji Jamii Mkoa wa Tanga amewataka wananchi wa Mkoa wa Tanga...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu NLD ampongeza Rais Samia kwa 4R zilizoleta matumaini kwa vingine vya siasa, awaasa wapinzani kufata sheria wakati wa uchaguzi

    Wakuu, Vyama vya kusindikiza na kukamilisha ratiba. Katibu Mkuu wa Chama Cha National League of Democracy (NLD) Doyo Hassan Doyo amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuleta sera ya 4R ambayo imeleta matumaini kwa vyama vingine vya kisiasa. Akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Korogwe: Wananchi wataka vikwazo vya ushiriki mdogo chaguzi za 2019 na 2020 vishughulikiwe kuongeza ushiriki chaguzi za 2024 na 2025

    Matukio ya wagombea kudaiwa kutoa rushwa, kukosekana kwa elimu ya uchaguzi na kutoaminiwa kwa baadhi ya wagombea na wananchi, kumechangia ushiriki hafifu wa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu uchaguzi wa mwaka 2019 wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Hayo yamebainishwa...
  4. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Albert Chalamila: Inashangaza muislamu safi anakuwa kinara wa kumsema ovyo Rais Samia

    "Sisi waislamu tumepata faida kubwa kwa kipindi hiki kifupi. Dini yetu na Mungu wetu wamesaidia mmoja wa waumini wetu ameshika uongozi wa Nchi yetu. Kama mama huyu asingekuwa ametengenezwa vizuri kwenye imani na dini ya kiislamu yenye mafunzo sahihi dunia isingemuona anafaa kuwa kiongozi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ya Tanzania fanyeni hivi ili kuepuka ya BDP ya Botswana

    Asalaam Aleykum wana jamvi. Taarifa zilizogonga vichwa vya habari wiki hii ni kung'olewa madarakani kwa chama tawala cha Botswana ambacho kimekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 50. Hizi habari si njema sana kwa vyama vilivyoleta uhuru na ambavyo bado viko madarakani, ikiwamo Chama Cha...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Mitandao ya kijamii ni sumu kwa Wanawake Kisiasa

    Baadhi ya wanawake waliojitosa kuwania uongozi wa kisiasa, wamesema walikumbana na udhalilishaji mtandaoni, wakiitaja mitandao ya kijamii kuwa "sumu kwa wanawake kisiasa" Kwa mujibu wa Taasisi ya Kitaifa ya Kidemokrasia (NDI), katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, wanawake waliochaguliwa kwa...
  7. Tea Party

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kilichofanyika Geita Kwenye Zoezi La Kuandikisha Wananchi Ni Matumizi Mabaya Ya Rasilimali Za Umma, Viongozi Wawajibishwe

    Mimi ni mmoja wa makada wa CHADEMA ambao tulikuwa tunasimamia uchaguzi mkoani Geita eneo la NMC Kama moja ya wasimamizi wa uchaguzi huo, mara baada ya majina kubandikwa nimegundua udanganyifu mkubwa uliofanywa ikiwemo uwepo wa wapiga kura hewa takriban 300. Orodha ya wapiga kura...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ampa Sheikh wa Arusha Land Rover Discovery limsaidie kwenye shughuli za kidini. Hii si Rushwa kabisa?

    Wakuu, Nawaacha mtoe mapovu, mambo ndio kama haya, Sheikh amepewa land rover bana likamsadie kwenye kutoa huduma zake.... Hii si rushwa kabisa? Tusubiri 'zawadi' hizi ziendelee kutolewa kwa viongozi wengine wa dini. Tunataka uchaguzi ufanyike kila mtu akiwa na fursa sawa ya kushindana, kwa...
  9. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Mitaa ya kwenu kimeshapita hiki Mdau?

    Wakuu, Kishingo anauliza, mitaa ya kwenu kimeshapita? Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  10. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM itashinda uchaguzi mkuu 2025 kwa kishindo na halali

    Dalili zote zimeshaonesha kwamba hiki Chama cha Mapinduzi kinashinda UCHAGUZI wa mwaka 2025 kwa halali kabisa kwanini nasema halali sababu mwaka huu vyama vya upinzani asilimia kubwa hawajajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura na mwakani itakua hivyo hivyo. Sasa hapo ndio CCM itaibuka...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Geita: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Geita. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mgawanyiko wa Idadi ya Watu kwa Majimbo ya Uchaguzi Mkoa wa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kagera: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kagera. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mgawanyiko wa Idadi ya Watu kwa Majimbo ya Uchaguzi Mkoa wa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lindi: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mada hii itakuwa na 'Updates' za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Lindi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. Ramani ya Mkoa wa Lindi HISTORIA YA MKOA WA LINDI Mwaka 1961 wakati Tanganyika...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Morogoro: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. Ramani ya Mkoa wa Morogoro HISTORIA YA MKOA WA MOROGORO Mkoa wa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtwara: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa PWANI. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. Ramani ya Mtwara HISTORIA YA MKOA WA MTWARA Mkoa wa Mtwara ni moja ya...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dar es Salaam: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa PWANI. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. Ramani ya Jiji la Dar es Salaam HISTORIA YA JIJI LA DAR ES SALAAM Jiji...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa Tanzania 2025 ni vita vya kijasusi ya mashirika makubwa ya Ulaya, Amerika dhidi ya Russia na Mataifa ya kiarabu

    Nimeiona clip ya dokta Tulia alivyojibu Kwa jazba ,nikagundua ndugu yetu huyu hakujua Yale maswali hakuulizwa yeye kama Dr.Tulia Bali msimamo wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuihusu ukraine na washirika wake, akajibu kama anavyowajibu chadema Hapo dodoma mjengoni, kifupi amerusha sandakalawe...
  18. African businesses

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mungu ataikumbuka tena Tanzania 2025, Watanzania wataamua kukiweka chama kipya madarakani

    Leo nimeona niandike kidogo kama sio kutoa ushauri kwa chama kipya kitachopewa idhini na wananchi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania. Kwa ufupi ni kwamba 2025 ni mwaka ambao utalejesha matumaini makubwa kwa watanzania, kwani bahada ya utawala wa muda mrefu wa hiki chama watanzania watahamua...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Rais Samia anapanga foleni ya kujiandikisha ila tunakaa masaa matatu barabarani kusubiri msafara wake upite!

    Wakuu, Kama bado hujaenda kujiandikisha kupiga kura tafadhali tazama picha hii ya Rais Samia na Nyerere kwa nyakati tofauti wakiwa kwenye foleni wanasubiri zamu zao zifike! Sina mengi ya kusema nadhani picha inajieleza. :D :D...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Nchimbi: Acheni kupanga safu, viongozi bora ndio wapitishwe, ni kosa kubwa la kimaadili kiongozi kumkamia mwanachama kwamba atahakikisha anakatwa

    "Acheni kupanga safu, viongozi bora ndio wapitishwe, ni kosa kubwa la kimaadili kiongozi kumkamia mwanachama kwamba atahakikisha anakatwa, kila mwanachama ndani ya chama chetu ana haki sawa na mwingine" . Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akizungumza na viongozi na wanachama wa CCM Wilaya ya Kahama...
Back
Top Bottom