Wakuu,
CCM muwe mnachagua watu wa kusemea mambo yenu.
Watu wa imani wakisema huu ni uchuro kwa Rais, mtakataa.
Yaani mnasifia hadi mnaboa.
==================================
Mbunge wa Jimbo la Buchosa Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Eric Shigongo, jana katika mkutano wake na Wana habari...
Wakuu,
Yaani hii sera ya No Reforms No Elections inaonekana inawatesa sana hawa CCM.
Huyu ni Mwenyekiti wa UVCCM huko Geita. Hapa alikuwa anazungumza kuhusu kaulimbiu ya CHADEMA ya No Reforms No Elections.
Lissu piga hapo hapo!
Wapinzani wanatetemeka. Ndio maana No Reforms No Election. No...
Wakuu,
Wananchi wa Wilaya ya Tanga Mkoani Tanga wamejitokeza kwa wingi kushiriki matembezi ya pamoja yaliyoongozwa na Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kumpokea Rais Samia anayetarajiwa kuwasili mkoani humo leo Februari 23,2035 kwa ziara ya kikazi...
Wakuu,
Huko mkoani Morogoro, wafanyakazi wa Tume Huru ya Uchaguzi wameanza kuingia mtaani na kuandaa events ndogo ndogo kwa ajili ya kutoa elimu ya mpiga kura na kuhamasisha wananchi wajiandikishe kwenye daftari la kudumu la mpiga kura.
Haya ndio mambo tunayotaka kuona.
Sasa hapa tume...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Leo.
Kiukweli kabisa, upinzani Tanzania una hali mbaya sana, uko dholfu bin taaban kwa kukosa watu wa mikakati, hivyo kuendelea kufanya siasa za kiharakati kwa kutumia utopian politics!, badala ya kufanya siasa za kimikakati, matokeo...
Ni kwamba uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliharibiwa na baadhi ya watendaji wa Serikali kiasi kwamba ukaonekana ni hovyo.
Ndiyo maana akina Lissu wanapojenga hoja ya mabadiliko kabla ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 wanaeleweka vema na Watanzania na Jumuiya ya kimataifa.
Na mbaya zaidi hoja ya...
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Japhar Kubecha akiwa ameambatana na Katibu Tawala wa Wilaya ya Tanga Dalmia Mikaya kwa kushirikiana na Taasisi ya Watoto Foundation wamekabidhi madaftari zaidi ya 1000 katika Shule tatu za msingi kwa Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika Jiji la Tanga.
Akiongea wakati...
Rais Samia afunguka ya Moyoni kuhusu kauli za Wahafidhina wa mfumo dume ambao hawakuwa na imani naye wakati anachukua nafasi ya Urais na waliothubutu kusema "Tuna Rais wakuambiwa afanye na mwenye maamuzi ya Kitchen Party" wakati akizungumzia nafasi ya Mwanamke katika Uongozi katika Siasa...
Wakuu,
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche akiongea hivi karibuni amesema kuwa vyombo vya habari nchini Tanzania vinaipendelea CCM na kwamba vyombo vingi vinaripoti vibaya CHADEMA
Akitolea mfano, Heche alisema kuwa:
"Vyombo vya habari angalia coverage wanayofanya, wanafanya coverage ya...
Wakuu,
Kwa hiyo Deus Sangu kachoma mafuta gari ye Serikali aje "kuzindua" kidaraja kama hiki?
Hili daraja si hata fundi Juma anatengeneza? Tumefikaje kama taifa sehemu kama hii where tunashangilia vitu petty namna hii?
Yaani hili daraja ikija mvua ambayo iko serious ni linaenda na maji...
Wakuu,
Jana nilikuwa kwenye ile page ya Tume Huru ya Uchaguzi.
Mpaka sasa hii tume imeshapita Zanzibar, Arusha, Pwani, Songwe, Ruvuma na Rukwa na kuanzia Machi 1 wataanza kuandikisha wapiga kura huko Mkoani Morogoro.
Kwa namna ambavyo nawaona Gen Z (watu waliozaliwa 1997 - 2012) yaani ni...
Wakuu,
Nilikuwa napitia pitia CV za wabunge hapa wakuu.
Hawa ndio wabunge, ambao wana degrees na masters kutokea kwenye hicho chuo cha Open University:
Assenga Abubakar Damian – Mbunge wa Kilombero – Bachelor of Arts in Political Science
Innocent Bashungwa – Mbunge wa Karagwe – Masters of...
Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Jaji Joseph Sinde Warioba, amepongeza hatua zilizoanza kuchukuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mapambano dhidi ya rushwa kwenye uchaguzi.
Jaji Warioba ametoa pongezi hizo akirejea mabadiliko ya Katiba ya CCM yaliyofanywa na...
Wakuu,
Tunaposema kuwa CCM inawaogopa zaidi wazungu kuliko wananchi na vyama upinzani tunamaanisha mambo kama haya.
Swali la kujiuliza, ni kwanini Wasira "anaihakikishia" Marekani Uchaguzi kuwa huru na wa haki?
Shotocan Lucas Mwashambwa naomba msaada kwenye swali langu...
Salam kwenu.
Katika mkutano wake na makatibu matawi na kata katika wilaya ya Dodoma ameweka vipimo mathubuti kuelekea uchaguzi mkuu.
Kwa maelekezo yake thabiti dhidi ya watia nia wote tutarajie haki wakati wa mchakato na uchaguzi wenyewe.
Kuna wahuni walishaanza kutaka kupita bila kupingwa 😂😂...
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka 4 imeendelea na utekelezaji wa Programu ya Taifa ya Kurasimisha Makazi yasiyo rasmi ambapo jumla ya makazi 2,666,218 yamerasimishwa nchini.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store...
Na katika uchaguzi mkuu wenyewe sasa, hujuma zitafanyika wazi wazi kabisa kwa wagombea uongozi wa chadema kama kulipa kisasi cha figisu na songombingo za kabokamchizi wakati wa uchaguzi wa ndani wa chadema.
Kuna maeneo ambayo awali chadema ilikua na ufuasi mkubwa sana, but kwa hujuma na...
Wakuu,
Waziri Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu-Bunge, Sera , Vijana , Kazi na Ajira amesema yafuatayo wakati yuko kwenye kwenye mahojiano pale EATV
"Hoja ya kushiriki uchaguzi mkuu bado hatujaifuta, hakuna kikao ambacho tayari kimekaa kikaja kikafuta kauli ya kwamba hatutashiriki uchaguzi,"
Kamati ya ulinzi na usalama mkoani Mwanza imekanusha tuhuma za kuhusika katika kutoweka kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) Mkoa wa Mwanza, Amani Manengelo ambaye inadaiwa alichukuliwa na watu waliojitambulisha ni maofisa wa polisi.
Manengelo anadaiwa kutoweka Februari 14, 2025...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 19, 2025 atazindua kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika mkoa wa Lindi, kwenye viwanja vya Madini, Ruangwa Mkoani humo.
Lengo la Kampeni hiyo ni kuwafikia wananchi wenye uhitaji na wasio na uwezo wa kumudu gharama za huduma za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.