uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zanzibar: Serikali yatoa Tsh 209 milioni kama mikopo ili kuwezesha vijana wa Kizanzibari kujiajiri

    Wakuu, Kama hivi haya ndo maandalizi ya Uchaguzi au nini? ====================================================== Serikali imetoa Sh209 milioni kwa vikundi 18 vya vijana ili kusaidia ujasiriamali na biashara kupitia asilimia 10 ya mapato ya Serikali za mitaa. Vikundi hivyo, vyenye wanachama...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kurudishwa kwa January Makamba ni dalili tosha kwamba Rais Samia ameanza kuliogopa kundi linalompinga ndani ya CCM!

    Labda uwe mtu poyoyo sana wa kufikiri ndio hutaelewa hii move ya Raisi Samia ya kuanza kusema anawarudisha kina January Makamba kwa mama. Hii sio bure, na kama January anafikiri kwamba anachofanyiwa na Raisi Samia ni hisani, basi yeye ni one of the most naive, pathetic and disgusting politicians...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha NLD champongeza Rais Samia kuteuliwa kuwa mgombea Urais CCM. Viongozi waipinga "No Reform No Election" ya CHADEMA

    Wakuu, Chama cha National League for Democracy (NLD) kimesema kitaendelea kushiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 licha ya changamoto za kisiasa. Akizungumza Februari 23, 2025, jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa NLD, Doyo Hassan Doyo, alieleza kuwa chama hicho hakijaunga mkono kauli ya Mwenyekiti wa...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Jumanne Sagini: Kampeni ya msaada wa Kisheria (Samia Legal Aid) itafikia mikoa yote mpaka Mei 2025

    Serikali imezindua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Pwani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhakikisha haki inapatikana kwa wananchi wote, hususan wale wenye changamoto za kisheria lakini wasio na uwezo wa kugharamia huduma hizo. Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika leo...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani Arusha: Madiwani wa Arusha tunakuomba msamaha Mkuu wa Mkoa kwa kumchagua Mbunge asiyejitambua

    Diwani wa Kata ya Themi wilaya ya Arusha mjini Mkoani Arusha Petro Lobora wakati wa kikao cha Baraza la madiwani bajet ya halmashauri kwa mwaka 2025-2026 alisimama na kuzungumza kwa niaba ya madiwani kwamba Mbunge walio nae Mrisho Mashaka Gambo hatoi ushirikiano kwa madiwani pindi anapohitajika...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 utafanyika kwa amani na utulivu sana, CHADEMA hawataambulia kitu chochote, wapuuzwe tu!

    October ya mwaka huu 2025, ndio mwezi wa uchaguzi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba. Ni wasaa muhimu sana kwa vyama vya siasa kote nchini kujiandaa vizuri kisera na kwa hali na mali ili hatimae kushiriki kikamilifu tendo hilo muhimu la kidemokrasi kwa mujibu wa katiba. Vipo vyama mbalimbali vya...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Diwani amwaga machozi mbele ya kikao akitaka Paul Makonda agombee Ubunge Arusha Mjini

    Madiwani wa jiji la Arusha wamemuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ikimpendeza muda utakapofika achukue fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini ambalo kwa sasa lipo chini ya Mrisho Mashaka Gambo. Wakizungumza Naibu Meya wa jiji la Arusha, Abraham Mollel na Diwani wa kata ya...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 PPR News Analysis : Kurejeshwa kwa Makamba ina maana kuna watu wamepwaya! Bado Nepi na Konda Boy!

    Wanabodi Mimi ni story teller, from time to time, nitakuwa nafanya short sessions za News analysis ambazo zitaitwa "PPR News Analysis". Nichukue fursa hii kuelimisha kidogo hii news analysis ni nini. News analysis ni uchambuzi wa habari, kwa kuwaita manguli kuichambua habari fulani na ina...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Wananchi kajiandikisheni ili mpate sifa na mpate haki ya kupiga kura

    Wakuu, Rais Samia amewahasa wananchi wa Korogwe na Tanga kwa ujumla kwenda kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura, mchakato ambao unasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi ukiwa unaendelea kwa sasa huko mkoani Tanga. Rais Samia alisema: "Niwakumbushe kile kijambo chetu cha mwezi wa...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Kwa wale wasiojua, baba yangu alikuwa mwalimu, kwa hiyo nayajua mazito ya walimu!

    Wakuu, Huko Korogwe mkoani Tanga, Rais Samia akiwa anazungumza na wananchi amegusia na maslahi ya walimu ambapo alisema kuwa anaelewa vizuri changamoto za walimu kwa sababu pia baba yake alikuwa ni mwalimu "Mi mwenzenu walimu nawapenda sana. Na ninawapenda kwa sababu wanasaidia kuelimisha umma...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa CCM Kinondoni yatoa mafunzo kwa viongozi 1200 kuelekea Uchaguzi Mkuu. Kuna nini nyuma na haya mafunzo?

    Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Ndugu Shaweji Mkumbula, amefungua semina maalum ya mafunzo ya uongozi iliyoandaliwa na UVCCM Wilaya ya Kinondoni kwa zaidi ya viongozi 1,200 wa Kata na Matawi. “Vijana mnapaswa kuelekeza nguvu zenu katika kuimarisha CCM na UVCCM, siyo kushiriki katika...
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Haya maandamano ya kuzindua Samia Legal Aid Campaign mkoani Mbeya yalikuwa na umuhimu gani?

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ameongoza maandamano kutoka eneo la Mafiati hadi Viwanja vya Stendi ya Kabwe panapofanyika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) katika mkoa huo. Kampeni hiyo inaratibiwa na Wizara ya Katiba na Sheria.
  13. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo: CCM siyo chama cha siasa tena. Zamani ilikuwa inatumia dola ili kuiba uchaguzi, sasa Dola inaitumia CCM kuiba uchaguzi

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, ndugu Ado Shaibu amejibu kauli ya Ally Hapi kuwa Dola iwashughulikie wanaotaka kuzuia uchaguzi, ambapo amesema kuwa CCM siyo chama cha siasa tena, kwasababu sifa ya chama cha siasa ni lazima kiwe na uwezo wa kuleta ushindani. CCM hii ya sasa siyo ile tuliyokuwa...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mjumbe Halmashauri ya Kuu CCM: Vijana wa CCM wanaowatukana viongozi kwenye magroup ya Whatsap hatutawapa nafasi za uongozi

    Wakuu, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka Mkoa wa Geita, Evarist Gerves, amekemea vikali tabia ya baadhi ya vijana wa chama hicho kuwatusi viongozi na watu wanaotangaza nia ya kugombea kwenye uchaguzi mkuu kupitia makundi ya WhatsApp. Alisema tabia hiyo ni kinyume cha maadili ya CCM...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira: Demokrasia haipimwi kwa asilimia ya ushindi bali kwa watu kupiga kura kwa uhuru

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wassira amesema uwepo wa demokrasia haupimwi kwa asilimia ya ushindi wa chama kinachopata bali inasimamiwa kwa watu kupiga kura kwa uhuru huku akisisitiza kushinda au kushindwa ni demokrasia pia. Soma pia: Pre GE2025 Special Thread...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT - Wazalendo: CCM haipo tayari kwa mabadiliko, ni lazima sasa tuyadai kwa njia ya mapambano

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeonyesha dalili zote kuwa hakipo tayari kwa mabadiliko ya kimfumo ya uchaguzi hivyo kwa sasa wanahitaji kudai mabadiliko kwa njia ya mapambano. Akizungumza Februari 23 kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchakato wa uandikishaji wa wapiga kura kwa awamu ya pili waendelea Zanzibar. Changamoto "ndogondogo" zajitokeza!

    Wakati awamu ya pili ya uandikishaji wa daftari la kudumu la wapigakura ikianza mikoa ya Unguja, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imewataka wananchi wenye sifa kujiandikisha ili wapate uhalali wa kuwachagua viongozi wanaowataka. Akizungumza baada ya kutembelea vituo vya uandikishaji Wilaya ya...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Buchosa Erick Shigongo: Watanzania mna Rais bora. Shida tunasifiaga watu wakishakufa

    Wakuu, CCM muwe mnachagua watu wa kusemea mambo yenu. Watu wa imani wakisema huu ni uchuro kwa Rais, mtakataa. Yaani mnasifia hadi mnaboa. ================================== Mbunge wa Jimbo la Buchosa Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Eric Shigongo, jana katika mkutano wake na Wana habari...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Geita: Wapinzani wanatetemeka. Tunaenda kwenye uchaguzi, nyie jiandaeni. Asiwatishe mtu!

    Wakuu, Yaani hii sera ya No Reforms No Elections inaonekana inawatesa sana hawa CCM. Huyu ni Mwenyekiti wa UVCCM huko Geita. Hapa alikuwa anazungumza kuhusu kaulimbiu ya CHADEMA ya No Reforms No Elections. Lissu piga hapo hapo! Wapinzani wanatetemeka. Ndio maana No Reforms No Election. No...
  20. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Katibu Mkuu wa UVCCM Jokate Mwegelo aongoza matembezi wa Wana CCM kumkaribisha Rais Samia Tanga

    Wakuu, Wananchi wa Wilaya ya Tanga Mkoani Tanga wamejitokeza kwa wingi kushiriki matembezi ya pamoja yaliyoongozwa na Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kumpokea Rais Samia anayetarajiwa kuwasili mkoani humo leo Februari 23,2035 kwa ziara ya kikazi...
Back
Top Bottom