uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri mkuu: Mpango wetu CCM ni kuhakikisha wagombea wetu watakapopita kwenye maeneo yetu wasipate kazi kubwa kueleza miradi ya maendeleo

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akiwa ni mgeni rasmi kwenye mkutano Mkuu Maalum Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Itilima, mkoani Simiyu Februari 15, 2025 amesema mpango wa Chama hicho ni kuhakikisha kwamba...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ujumbe wa Rais Dkt Mwinyi kwa waliokuwa wakidhani wana nafasi ya kugombea kupitia CCM, asema basi watambue hawana wasubiri 2030

    "Nimekuja kutoa shukrani kwa kuteuliwa kuwa mgombea pekee wale waliokuwa wanadhani wana nafasi basi watambue hawana wasubiri 2030 ndio waje" Dkt Mwinyi ameyasema hayo wakati wa hafla ya Mapokezi ya mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Kiwani, Kusini Pemba Soma pia: Pre...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Samia anaposema kazi iendeee maana yake kazi ya Magufuli iendelee. Hakutakuwa na Uchaguzi bila mabadiliko

    Tazama mapokezi ya Lissu Ikungi akielekea kufanya mkutano mkubwa nyumbani kwao Ikungi Singida Lissu Leo anapokelewa nyumbani kwao Singida ambapo atafanya mikutano kuanzia Manyoni, na kusalimia wananchi njiani Kisha mkutano mkubwa wa mapokezi ataufanya Stendi ya Ikungi. Kesho atapokelewa rasmi...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Wazee wa kimila Singida wamteua Tundu Lissu kuwa shujaa wa Kinyaturu. Wamvika nguo za kimila ikiwemo kaniki na ngao

    Wakuu, Huko Singida leo, Lissu alisimamisha mkoa wote baada ya wazee wa kimila la Kinyaturu kumtawaza Lissu kama shujaa wa Kinyaturu Wamempa ngao na kaniki kama nembo ya heshima yao kwa Lissu Nimepata maswali mengi sana baada ya kuona hili tukio.
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ummy Mwalimu awahimiza wakazi wa Tanga kwenda kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura

    Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Mwalimu amewahimiza wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, ili kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Mhe. Ummy ametoa wito huo, Februari 14...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Haya mashindano yaliyopewa jina la Samia Cup, Rais anayafahamu kweli? Tukisema CCM wameanza kampeni huwa mnakataa nini?

    Wakuu, Hivi tukisema kwamba CCM wameanza kampeni kuelekea Uchaguzi mkuu nitakuwa nimekosea. Naanza kuamini kuna watu ambao wanajifanyia tu vitu wakidhani wanamsaidia Rais lakini kumbe wanamharibia tu. Sidhani kama Rais kutokana na majukumu mengi aliyokuwa nayo atakuwa na muda kupendekezo...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Usambazaji wa Maji ya Bomba Musoma Vijijini

    USAMBAZAJI WA MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI Jimbo la Musoma Vijijini lenye vijiji 68 linayo miradi ya usambazaji wa maji ya bomba ndani ya vijiji vyote 68 - tunaishukuru sana Serikali yetu Mradi wa Kata za Busambara & Kiriba: Tenki la ujazo wa lita 500,000 limejengwa Kijijini Mwiringo kwa...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Kama CCM hawataki kuleta mageuzi kwa hiyari wataleta mageuzi kwa shuruti. Tujiandae kuzuia Uchaguzi

    Wakuu, CCM mna ujumbe hapa kutoka kwa Tundu Lissu. Akiwa anazungumza huko Manyoni siku ya leo, Tundu Lissu amesema kuwa kutokana na CCM kugoma kufanya mabadiliko kwa hiyari basi wataleta mabadiliko kwa shuruti Lissu amedokeza kuwa CHADEMA iko tayari kufanya mabadiliko kwa shuruti na kwamba...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti BAWACHA Mwanza: Uchaguzi ukiwa huru, CHADEMA tunachukua nchi

    Wakuu CHADEMA inaonekana kama wako serious sana na huu Uchaguzi Msikilize hapa Mwenyekiti wa BAWACHA Mwanza Hosiana Kusiga: Safu ya uongozi kwa Chama chetu imeshakamilika na tuna uhakika kama uchaguzi mkuu utafanyika kwa uhuru na haki basi CHADEMA tunachukua nchi na ndio maana tunasema (No...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Aliyenishauri niingie kwenye kilimo cha parachichi hapa Njombe aliniingiza chaka, nimepoteza fedha na muda

    Nimekuwa mkulima wa parachichi kwa miaka mingi, lakini sijawahi kuona pesa inayosemekana ipo kwenye zao hili. Kila mwaka nakutana na sababu zile zile za changamoto za soko. Baada ya kutafakari kwa muda mrefu, nimeamua rasmi kufyeka parachichi na kubadilisha mwelekeo wa kilimo changu. Nitatumia...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania John Heche anapokelewa nyumbani kwao Tarime muda huu

    Tazama live mapokezi ya John Heche, Makamu Mwenyekiti Chadema nyumbani Tarime Endelea kukaa karibu na uzi huu ili upate updates ya kinachojiri https://www.youtube.com/live/7OJyurWyWTM?si=7W8P31TYXlSoapMT
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Innocent Bashungwa naye atinga mtaani kula kwenye mgahawa pamoja na wananchi. Tunamshukuru Rais Samia!

    Wakuu, Kuonesha kwamba yeye ni kiongozi humble na ambaye ana maisha sawa na wananchi, Bashungwa ametinga mtaani na kwenda kula kwenye mgahawa mmoja maarufu Nimpongeze Bashungwa kwa kwenda kula na wananchi wa hali ya chini, maana watanzania wote tunajua hapo ndio sehemu yake anayoenda kula kila...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rasmi: CHADEMA imepevuka kustahili kupewa dola

    Hiki Chama ama kweli kimenivutia. Hiki chama kweli kimeshakuwa na sasa kinaonesha ni chama kinastahili kuwaongoza Watanzania. Walianza kwa kuwaonyesha Watanzania namna gani Uchaguzi huru na haki unapaswa kuwa kupitia uchaguzi wao wa Viongozi. Sasa Watanzania wote tunajua namna uchaguzi huru na...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baba Levo atangaza kuzunguka nchi nzima kukagua miradi ya Samia kwenye kampeni ya "Mama Hana Deni". CCM ndo mmeishiwa kiasi hiki?

    Wakuu, Zamani CCM ilikuwa Ina think tanks ambao pia walikuwa ni mouthpiece za chama, sijui nini kimetokea mpaka wakachange gear na kuanza kumtumia mtu kama Baba Levo kwenye mambo yao. Baba Levo kwa sasa anazunguka mikoa yote kuonesha miradi aliyofanya Samia. Ni Baba Levo huyu huyu ambaye...
  15. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: Mzee Wasira ameletwa kuhamisha ajenda za msingi badala yake tujadili hoja zake za kitoto, tumpuuze

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira, ni mbinu ya kimkakati ya chama hicho ili kuzuia mijadala kuhusu Katiba Mpya. Akizungumza Februari 10, 2025 wilayani Mkuranga mkoani Pwani, alipokuwa akihitimisha ziara yake katika mkoa wa...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasanii wa Injili wakiongozwa na Mwamposa wajipanga kukutana Mlimani City kumuombea Rais Samia!

    Wakuu, Tunaposemaga kwamba CCM wameishiwa mbinu huwa tunaamanishaga mambo kama haya. Kwa hiyo sasa hivi hadi wasanii wa Gospel na wenyewe wanaenda kuunga mkono juhudi. Hizi ni dalili za chama ambacho kipo ni decline. CCM mbinu kama hizi hazitawasaidia, badala ya kutafuta think tanks na...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!

    Wakuu, Akiwa anaongea siku ya leo, Heche ametaja kiwango ambacho mbunge analipwa kwa mwezi Heche anasema nchi hii inaibiwa na imedumaa Soma, Pia: Martin: Wabunge wanalipwa posho zaidi ya TSh. Milioni 86 kwa siku Bungeni Dodoma. Ama kweli Siasa ni Mchongo!
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chaumma inaweza kupata kura nyingi zaidi za urais kuliko chama kingine chochote cha upinzani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

    Kasumba ya kushughulikiana na kukomoana hususan ndani ya vyama vya upinzani nchini itaendelea hadi kwenye sanduku la kura za jumla uchaguzi mkuu wa October 2025. Kuna wagombea watakomolewa na wafuasi wa vyama vyao, hawatapigiwa kura kwasasababu tu ya midomo yao, makelele yao, hila zao...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyefukuzwa CCM baada ya kupinga Rais Samia kupitishwa mgombea pekee urais agoma kuondoka CCM

    Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Godfrey Malisa amesema hatambui uamuzi uliofanywa wa kumfukuza uanachama kwa kile alichodai hakuvunja Katiba ya CCM hivyo maoni aliyoyatoa kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee wa Urais yako sahihi. Soma: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wafadhili (Donors) wakatae kuipa Tanzania misaada kama hakutakuwa na mdahalo wa wazi nafasi ya Urais Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu, Kama ambavyo tuliona mdahalo wa CHADEMA mwezi Januari, nadhani kama watanzania tunahitaji pia kuona wagombea wa Urais wakichuana kwenye mdahalo kipindi cha kampeni. Tumechoka kuona scripted speeches. Tunataka kuona watu watakaochuana kwenye Urais wakiwa on stage wakitetea hoja zao...
Back
Top Bottom