uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mwenyekiti wa CCM Dodoma, Kimbisa: Chama chetu kimeishiwa pumzi, haiwezekani tukaenda uchaguzi 2025 tukiwa tumeishiwa pumzi

    Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa, wakati akiomba kura za uenyekiti na kunadi sera zake kwa wajumbe mnamo Novemba 21, 2022. Alidai kuwa CCM mkoani humo kimekata pumzi na hawawezi kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2025 kwa Chama kilichoishiwa pumzi.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 MNEC Mwaselela: Kazi za Rais Samia zinatupa jeuri kwenye uchaguzi 2025

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinaingia kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba, 2025 kikijivunia utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Kimesema kuwa kazi kubwa ya utelekezaji wa Ilani ya CCM, ikiwemo ujenzi wa miradi mikubwa ya kimkakati ambayo kwa sasa imeiweka Tanzania kwenye ramani...
  3. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Uchama kuelekea uchaguzi 2025

    Mwaka huu, 2025, bila shaka tutapiga kura kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani. Tayari wanasiasa wengi wakongwe na wanaoibuka wameshaanza harakati za kusaka bahati yao kuifikia nchi ya ahadi iliyojaa mishahara mikubwa, maposho makubwa, mafao manono, sifa...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025: Wananchi Mkoa Mbeya, wakubaliana na Kauli Mbiu ya Kama hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi 2025

    Katika muktadha wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, wananchi wa Mkoa wa Mbeya, pamoja na wilaya zake zote, wameonyesha hisia za kutoridhika na hali ya kisiasa na kiuchumi nchini. Kauli mbiu yao ya "Kama hakuna mabadiliko, hakuna uchaguzi" inatoa mwangaza wa wazi juu ya matarajio yao. Wananchi hawa...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kagera: Wasira asema Wanaotaka ubunge wameanza kuvunja maadili

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuna baadhi ya watu wanaotaka kugombea ubunge wameanza kunyemelea majimbo kwa kuvunja maadili. Wasira ameeleza hayo Machi 25, 2025 wilayani Ngara mkoani Kagera alipokuwa akizungumza na wana CCM pamoja na...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda Samia Suluhu akawa mwanasiasa mwanamke wa kwanza duniani kushinda uchaguzi mkuu kwa kishindo zaidi ya wengine ulimwenguni

    Huenda maajabuna rekodi mpya ikaandikwa Oktoba ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi kwa wanawake waliowahi kugombea na kushinda chaguzi mbalimbali za kidemokrasia duniani. Kuna...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Daruweshi: Uchaguzi si suala la kisiasa pekee, bali ni jambo ambalo pia limeelekezwa na kuungwa mkono katika vitabu vya dini

    Sheikh wa Wilaya ya Nkasi, Sheikh Hadhi Daruweshi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Maridhiano katika wilaya hiyo, amesisitiza kuwa kushiriki katika uchaguzi ni jambo linalopaswa kupewa kipaumbele na kila raia mwenye umri wa kupiga kura. Amesema uchaguzi si suala la kisiasa pekee...
  8. K

    JamiiForums Tanzania TUWE NA UWAZI KWENYE KILA KITU TUNACHOFANYA KUELEKEA UCHAGUZI 2025

    Ninaomb a sana tuwe na uwazi katika kila jambo tunalolifanya kuelekea uchaguzi wa 2025. Tuige nchi ya jirani yetu ya Kenya ilivyo na uwazi kwenye masuala ya uchaguzi. Leo kule Kenya waombaji wote walioomba nafasi ya Mwenyekiti wa IEBC wanahojiwa mubashara (Live) kupitia luninga ya Citizen...
  9. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa dini watoa elimu ya Uraia kuhamasisha ushiriki wa Uchaguzi 2025

    Viongozi wa dini Tanzania wamefanya semina elekezi kwa viongozi wa dini mbalimbali pamoja na wananchi kuhusu Elimu ya Uraia nchini Tanzania. Akizungumza na vyombo vya habari Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu Mkuu TEC amesema lengo kuu la semina hiyo ni kuwapa elimu wananchi hasa kipindi...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 MNEC Ndele Mwaselela: Hakuna wa kushindani na Rais Samia kwenye uchaguzi 2025

    Mjumbe wa halmashauri kuu ccm taifa (NEC) Ndele Mwaselela amewaambia wananchi wa mkoa wa kagera kuwa kazi nzuri za Dkt Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne katika sekta zote zimefanya wananchi wa nchi nzima Tanzania kumpenda na kumwamini Dkt Samia Suluhu, kila mahala tunapopita wana imani kubwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri kwa walimu wenzangu: uchaguzi 2025 tuikatae CCM na iwe fursa ya kuiadhibu

    Miaka mingi tumekuwa tukifanywa mawakala wa Nec kwenye chaguzi. (Wasimamizi) na tumekuwa tukitumika kama kondomu . Huku tukificha maovu na ujanja ujanja wa CCM. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kauli mbiu ya CCM Uchaguzi 2025: Kazi na Utu, Tunasonga Mbele

    Maswali yangu: 1. Kazi gani? 2. Utu gani? 3. Kusonga wapi? 4. Mbele wapi? 1. Ali Kibao 2. Soka et al 3. Ben saa nani 4. Kangoye na wengineo. 5. Katiba mpya iko wapi 6. Tume huru iko wapi? etc etc etc UTU UKO WAPI? KAZI IKO WAPI? TUNASONGA WAPI...kaburini/
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mahinyila asema No reform no election ni mpango wa Lema na Lissu kuchota hela Diaspora na Bavicha watashiriki uchaguzi 2025

    Wakuu hii imekaaje kuwa Mahinyila amesema No reform no election ni mpango wa Lema na Lissu kuchota hela Diaspora na Bavicha watashiriki uchaguzi 2025. Je, ni kweli?
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanasiasa pekee anayeweza kupambana na Rais Samia 2025 ni Godbless Lema. CHADEMA take note!

    Wakuu, CHADEMA msijichanganye kumuweka mtu mwingine kugombea nafasi ya Urais CHADEMA zaidi ya Godbless Lema. Tundu Lissu ni maarufu ndio lakini linapokuja suala la kuwa Rais, Godbless Lema ni presidential material kabisa. CHADEMA kwa sasa inahitaji mtu mwenye siasa za U-populist (Kama Trump)...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Juliana Shonza: Wanaume leeni Watoto wenu, Wanawake tujishughulishe Kiuchumi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza akiwa Kata ya Chang'ombe Wilaya ya Songwe kwenye mkutano wa hadhara amewaasa Wanaume kutokimbia majukumu yao ya kutoa matunzo kwa watoto wao hata kama wameachana na wake au wapenzi wao. "Wilaya ya Songwe, Rais Samia amefanya kazi...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Mkuu wa Wilaya ya Muheza akitumbuiza jukwaani kwenye mkutano wa Rais Samia

    Wakuu, Mpaka tunaingia kwenye ballot box mwezi Oktoba tutaona mambo mengi sana kutoka kwa hawa wanasiasa. ======================================================= Mkuu wa Wilaya ya Muheza mkoani Tanga, Zainab Abdallah akitoa burudani jukwaani kabla ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tauhida Gallos Nyimbo ateta na Viongozi, asisitiza kujiandikisha kwenye saftari

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo (MNEC) ambaye pia Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi tarehe 25 Februari, 2025 amekutana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Majimbo ya Mkoa wa Magharibi ili kuhamasisha Wananchi kujitokeza...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mchujo wa kura za maoni CCM katika chaguzi zote ndio mara zote huamua na kuakisi sura ya Bunge lijalo

    Kura za maoni ndani ya CCM ndio hasa mwanzo wa kuwapata Rais wa nchi, wabunge na madiwani wa maeneo mbalimbali nchini. Ndio uchaguzi ambao unakuaga na mchuano mkali zaidi ya uchaguzi mkuu wenyewe ambao mara zote hua ni katika kukamilisha tu ratiba, sheria na matakwa ya kikatiba, lakini uchaguzi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuanza mchakato wa kugawa na kubadili Majina ya Majimbo kuanzia Februari 27, 2025

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa mchakato wa kuchunguza na kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi ambapo itapokea mapendekezo kuanzia tarehe 27 Februari, 2025 hadi tarehe 26 Machi, 2025. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Tumemweleza Balozi wa Norway kuhusu hali ya kisiasa nchini na sera yetu ya "Bila Mabadiliko Hakuna Uchaguzi"

    Wakuu, Hatimaye Tundu Lissu amefichua alifhoenda kuzungumza na Balozi wa Norway: Lissu kupitia ukurasa wake wa X amesema: "Balozi Tine Tonnes wa Norway ametukaribisha kwa mazungumzo kwenye makazi yake rasmi mjini Dar. Tumepata fursa ya kumweleza Balozi Tonnes juu ya hali ya kisiasa nchini na...
Back
Top Bottom