uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watanzania kama uchaguzi ukiwa huru na mabadiliko yatafanyika shirikini uchaguzi kama hakuna mabadiliko yoyote msishiriki

    Mfumo wa kiuchaguzi wa sasa hauwezi kuzingatia kura ya mtu, kama mabadiliko yatafanyika nendeni mkapige kura kwa wingi, lakini kama hakuna mabadiliko yoyote msiende waachieni wajipigie kura wenyewe acha vituo vya kupiga kura wazi. Kilicho hamasishwa ni mabadiliko sio vurugu kama hakuna...
  2. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania 𝗟𝗶𝘀𝘀𝘂 𝗺𝗼𝘃𝗲𝗱 𝘁𝗼 𝗺𝗮𝘅𝗶𝗺𝘂𝗺 𝘀𝗲𝗰𝘂𝗿𝗶𝘁𝘆 𝗽𝗿𝗶𝘀𝗼𝗻

    ◾Tanzania Prisons Services causes unnecessary confusion after 24-hour silence on his whereabouts ◾Authorities finally confirm that the CHADEMA leader has been shifted to Ukonga prison from Keko prison ◾Treason charges against the main opposition leader in an election year, and...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hizi hapa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za Mwaka 2025

    Wakuu, Naambatisha hapo chini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za Mwaka 2025 wananchi tujue kweli zina maadili na waliosaini walikuwa na mwili wenye vichwa vinavyowasaidia kufikiria na kupembua vitu au ni kama alivyosema Heche kuwa Kanuni zenyewe hazina maadili! Pia soma Pre GE2025 - Kanuni za...
  4. ILAN RAMON

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa Tanzania Utazidisha Kukatishwa Tamaa Kuhusu Demokrasia

    Zaidi ya miaka miwili iliyopita, mnamo Machi 2023, Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, alitembelea Tanzania. Akiwa huko, alipokelewa kwa ukarimu na Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye alikuwa amepanda madarakani kufuatia kifo cha aliyekuwa rais wa kiimla, John Magufuli. Rais Samia alielezea...
  5. A

    JamiiForums Tanzania John Mnyika awajibu kisheria wanaohoji kuhusu CHADEMA kutokusaini kanuni za maadili ya uchaguzi 2025

    Anaandika JJ Mnyika Katibu Mkuu. Kujibu andiko la Wakili Msomi Jonathan Mndeme ——————— Kabla ya vifungu vya 162(2) na (3) vya Sheria ulipaswa kuanza na 162 (1). Kifungu cha 162(1) kinaeleza Tume baada ya kushauriana na vyama vyote vya siasa na Serikali itandaa na kuchapisha katika Gazeti la...
  6. Vitalis Msungwite

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yatawakuta ya uchaguzi mdogo Jimbo la mbarali 2023

    Habari wanajukwaa na heri ya sikukuu ya matawi. Ndugu wanabodi kama mtakumbuka mwaka 2023 ilitokea ajali ya pawatila na pikipiki iliyopelekea kifo Cha mbunge wa Jimbo letu ndg. Mtega. Tukio Hilo lilivuta hisia na kuleta majozi makuu katika Jimbo la mbarali na kuacha mijadala katika maeneo...
  7. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kama mzee Kikwete angechagua kusimama upande wa wananchi 2015, CHADEMA

    Simlaumu, ila nahisi amechangia pakubwa mtatiziko wa kisiasa uliopo nchini kwa sasa. CHADEMA wameamua kususia uchaguzi kwa sababu ya mapungufu yaliyopo kwenye mfumo mzima wa uchaguzi. Inaaminika kuwa Katiba ya Wananchi ingeweza kutibu mtatiziko huo. Kwa bahati mbaya, ingawa mzee Kikwete...
  8. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mdomo huponza kichwa - Tundu Lissu

    Kama mtanzania ambaye nimempigia kura Mheshimiwa Lissu mara mbili kwenye chaguzi zilizopita (jimboni na uraisi), naamini hajafanya kosa la uhaini na hayo ni mashtaka ni ya kutengeneza na hewa, THAT BEING SAID sikubaliani na kauli ambazo Mh. Lissu amekua anazitoa kwenye mikutano hivi karibuni...
  9. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je utashiriki kupiga kura kwenye uchaguzi 2025 baada ya CDM kutokuwepo kwenye mchakato?

    Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
  10. Influenza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika: Sitakuwepo kuwakilisha Chama kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi 2025 kwenye Ofisi za Tume ya Uchaguzi

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema hatakuwepo katika kusaini maadaili Uchaguzi ya 2025 na hajateua Afisa au Kiongozi yeyote kwenda kushiriki kwa niamba yake Ameandika “Katibu Mkuu CHADEMA sitakuwepo kwenye kikao cha tarehe 12...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simbachawene: Serikali kudhibiti Rushwa Uchaguzi 2025. Wagombea, Vyama na Wapambe kuchunguzwa vyanzo vya mapato yao

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema Serikali imejipanga kikamilifu kupambana na kudhibiti rushwa katika kipindi hiki cha Uchaguzi ikiwa ni pamoja na kufanya uchunguzi kuhusu vyanzo vya Mapato ya Wagombea, Wapambe wao na Vyama...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Polisi ndio watakuwa wahusika namba moja kuzuwia uchaguzi 2025! Kwa nini...!

    Wakati polisi wakiwa mabarabarani kwa hasira kusubiri waandamanaji wa kuzuia uchaguzi ili kuwafyatulia maji ya washawasha na lisasi za moto, naamini haitakuwa hivyo! Watu watakwenda kwenye vituo vya kupigia kura kwa amani na salama kabisa na bila kujulikana ni kina nani watahusika katika...
  13. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama CHADEMA watasusia uchaguzi basi wapiga kura kwenye uchaguzi 2025 watapungua kwa asilimia kubwa

    Kuna uamuzi uliopitishwa na CHADEMA ya No Reform No Election na kama wataendelea kushika uamuzi wao huu wapiga kura 2025 watapungua kwa kiasi kikubwa sana. Ni vema Serikali ikafikiria na kufanya uamuzi ili nchi iendelee kuwa na Amani.
  14. Dp800

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hoja 6 za kwanini No Election lazima itekelezwe ikiwa Reforms hizi hazijafanyika

    https://youtu.be/--J45XU5LAs?si=_xbKbAZN1lVA2KpD Mh. Tundu Lisu ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema ameeleza kwa undani na urahisi sana mabadiliko 6 ambayo Chadema inadai, Katika mkutano wa leo wa uliofanyika Nachingwea. Sikliza kwenye link hiyo kuanzia dakika ya 27 Naomba CHADEMA Media...
  15. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Dkt Nchimbi: Msingi wa sera za CCM utabakia kuwa ni maendeleo ya watu pamoja na amani na utulivu wa nchi

    UCHAGUZI 2025: BALOZI NCHIMBI ATOA WITO Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa msingi wa sera za CCM utabakia kuwa ni maendeleo ya watu pamoja na amani na utulivu wa nchi. Balozi Nchimbi aliyasema hayo leo Jumapili, tarehe 6 Aprili 2025...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Iringa Vijijini: Vijana tujitokeze kwa wingi uchaguzi 2025, tupuuze propaganda

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma Kidavile, ametoa wito kwa vijana kushiriki katika uchaguzi mkuu utanorajia kufaNyika Oktoba 2025 na kuupuuza wito wa chama pinzani unaoshinikiza kutoshiriki katika uchaguzi huo. Kupata matukio na...
  17. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi Ujao wa Tanzania: Wito wa CHADEMA kwa Mageuzi ya Uchaguzi na Madhara yake kwa Nchi na Demokrasia

    Uchaguzi mkuu ujao wa Tanzania unaelekea kuwa wakati muhimu katika hali ya kisiasa nchini, hasa kutokana na tangazo la chama cha upinzani cha CHADEMA kuwa hawatashiriki kusipokuwa na mageuzi/mabadiliko makubwa katika mfumo wa uchaguzi. Msimamo huu unaonyesha wasiwasi wa kina kuhusu haki na uwazi...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mwenyekiti wa CCM Dodoma, Kimbisa: Chama chetu kimeishiwa pumzi, haiwezekani tukaenda uchaguzi 2025 tukiwa tumeishiwa pumzi

    Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa, wakati akiomba kura za uenyekiti na kunadi sera zake kwa wajumbe mnamo Novemba 21, 2022. Alidai kuwa CCM mkoani humo kimekata pumzi na hawawezi kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2025 kwa Chama kilichoishiwa pumzi.
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 MNEC Mwaselela: Kazi za Rais Samia zinatupa jeuri kwenye uchaguzi 2025

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinaingia kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba, 2025 kikijivunia utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Kimesema kuwa kazi kubwa ya utelekezaji wa Ilani ya CCM, ikiwemo ujenzi wa miradi mikubwa ya kimkakati ambayo kwa sasa imeiweka Tanzania kwenye ramani...
  20. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Uchama kuelekea uchaguzi 2025

    Mwaka huu, 2025, bila shaka tutapiga kura kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani. Tayari wanasiasa wengi wakongwe na wanaoibuka wameshaanza harakati za kusaka bahati yao kuifikia nchi ya ahadi iliyojaa mishahara mikubwa, maposho makubwa, mafao manono, sifa...
Back
Top Bottom