uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mjumbe wa BAKWATA: Tushiriki uchaguzi 2025 kwa amani, tusiige mataifa mengine

    Watanzania wamehimizwa kuhakikisha wanashiriki uchaguzi Mkuu ujao ifikapo mwaka 2025 Oktoba huku wakiaswa kushiriki uchaguzi huo kwa amani na kutoiga mataifa mengine ambayo yanaingia kwenye vurugu kipindi cha uchaguzi. Hayo yamesemwa na Mjumbe wa Halmashauri Baraza la Waislamu Tanzania...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri binafsi : Mpina agombee tena kwa maslahi ya uchaguzi 2025

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. kwenye mada..... Hivi karibuni kumeibuka mjadala mkali juu ya kilichotokea jimboni kisesa ilipokuwapo ziara ya Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi. Watu wengi, pengine ni uelewa mdogo, wanauliza kwanini Mhe, Raisi alimjibu vile...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kama ambavyo Mrusi na Mchina wameshindwa kumsaidia Mu-Iran, Vivo hivo hawataisaidia CCM baada ya Marekan na Ulaya Kutoutambua Uchaguzi 2025

    CCM endeleeni kushupaza Shingo !! Mtaelewa tu hapo Baadae !!.
  4. Mayor of kingstown

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya uchaguzi 2020 bilioni 300 Vs Bajeti ya uchaguzi 2025 trillion 1

    Kwa mujibu wa tume ya taifa ya uchaguzi NEC Serikali ya Tanzania imetenga kiasi cha shilingi za kitanzania Bilioni 331 wakati wa uchaguzi 2020, Vs Kwa mujibu wa Bajeti ya Serikali ya Tanzania imetenga kiasi cha shilingi za kitanzania Trillion 1 wakati wa uchaguzi 2025 Kuna siku tutaamka...
  5. mtunzasiri

    JamiiForums Tanzania Matukio ng'amuzi kwa mwaka huu wa uchaguzi 2025.

    Tafakari,, Mwaka huu wa uchaguzi 2025 una migogoro mingi hatarishi kuliko miaka yote- 1). Kuna mgomo baridi ya kimichezo kutokucheza na wanaenda mbele wanatishia kuandamana, kati ya YANGA UPANDE MMOJA na bodi ya ligi, TFF kwa pamoja Kwa upande mwingine, ukiangalia utasema ni suala la michezo tuu...
  6. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025: Chagua kuwa Kasongo

    "Si kila mnyama wa porini huweza kuvuka msitu wa siasa; ni yule anayejua kufuata njia kwa akili, subira, na ujasiri atakayevuka salama. Ukitaka kuvuka salama, acha ujanja wa Sungura badala yake chagua hekima ya Ngiri."— Alloyce, P.R.
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Vyama vya Siasa vinapaswa kujumuisha masuala ya Mazingira na mabadiliko ya Tabianchi kwenye Ilani za Uchaguzi 2025

    Katika kipindi hiki cha maandalizi ya uchaguzi mkuu wa 2025, mjadala mkubwa unaendelea juu ya sera za vyama mbalimbali. Lakini swali la msingi ni: Je, vyama vyetu vya siasa vinatilia mkazo masuala ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi kwenye ilani zao? Kwa hali ya hewa inayozidi kubadilika...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo mbaya kwa CCM mwaka huu inawezekana nchi ika collapse baada ya Uchaguzi

    Nimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi. Nguvu pekee wanayoitegemea kwenye kushika madaraka ya nchi kupitia uchaguzi wa kiini macho wa mwaka huu ni vyombo vya dola tu. Katika kuvishawishi vyombo vya dola inawabidi CCM kuongeza mishahara ya Watumishi wote...
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2025 We must unite for the true liberation!

    THIS IS ONE INSPIRATIONAL COMMENT AMONG MANY TO COME FOR THE SUSTAINANCE OF OUR FREEDOM.!! Mwalimu Julius Kambarage Nyerere the late father of our nation had tried hard,endured a lot,sucrsified some and let go a number of issues so as Tanzania to get free.. For us few scholars of Nyerere...
  10. D

    JamiiForums Tanzania 2025 wabunge wanaenda kuwa wengi inaweza karibiana na marekani . Kwa nchi ndogo Kama yetu

    I will be short Majimbo yanazidi kuwa mengi , gharama zinakuwa kubwa . Hizi pesa serikali Itatoa wapi ?? Majimbo mengi Inchi mdogo . What’s going on ?? Hapo Dc na RC . A Naongea na wabunge 3-4 kila Wilaya ?? Hivi sisi watu weusi tumechanganyikiwa au ?! Hatuna hela , tuna increase...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Miradi mingi kuelekea uchaguzi 2025 ni kama wanashika huku wanaacha huku husasani barabara zinazojengwa

    Ni mimi tu au kuna wengine mnaoweza kutuelezea yani wanabomoa hapa wakisha bomoa wanakwenda kwengine yani kama vurugu. Ni kwamba haya ni kwa ajili ya kuzindua kampeni zenu CCM kuwa mnajenga barabara.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Baraza langu la Mawaziri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan baada ya uchaguzi 2025

    Nitafurahi sana Baraza la Mawaziri likiwa hivi, watu wa kazi kabisa hawa 1. Pro Kitila Mkumbo - Waziri Mkuu 2. Jumaa Aweso - Waziri wa Maji 3. Hussein Bashe - Waziri wa Kilimo 4. David Kafullila - Waziri wa Mipango na Uwekezaji 5 Waziri wa Viwanda na Biashara - Kadogosa 6 Michezo na Utamaduni -...
  13. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Nukuu ya kabla ya uchaguzi mkuu

    "Usimchague kiongozi anayeanza kuonyesha upendo kwa wananchi uchaguzi unapokaribia, wala yule anayewasaliti wenzake kwa kuwazulia mabaya, maana uaminifu na ukweli havijengwi kwa hila wala muda wa kampeni." Alloyce, P.R.
  14. Damian Wayne

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Martha Karua wa Kenya ameshikiliwa Tanzania kabla ya kesi ya mahakamani ya Tundu Lissu

    Mwakilishi wa Kenya, mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu Martha Karua amekamatwa Tanzania alipoingia katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, tarehe 18 Mei 2025. Alikuja kumwakilisha kiongozi wa upinzani Tundu Lissu ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kusaliti nchi ya...
  15. Mtunza siri zako

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Achana na mihemuko, lete sababu zenye mashiko kwanini CHADEMA hawashiriki uchaguzi 2025

    Tokea usajili wake mwaka 1993 na katika historia ya Tanzania, hakuna chama cha siasa ambacho kimekua kwa kasi bila kurudi nyuma kama chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) mpaka pale Magufuli alipoanza kufinya uhuru wa shughuli zake za kiasiasa ili kukidhoofisha kati ya mwaka 2019 - 2021...
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Yanga atishia kuvuruga amani na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

    Nimesikiliza kwa umakini maelezo ya wanaoitwa viongozi wa Baraza la Wazee na wa matawi ya Yanga. Bila kusema mengi, kuna huyu jamaa mmoja ambaye sijamfahamu jina ila nadhani ni mmoja wa viongozi wa matawi alisema maneno yafuatayo "Sisi ni klabu kubwa, na ukubwa wetu unaakisi katika kila angle...
  17. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mwaka huu utaibwa kupitia wanafunzi na wakristo wengi hawatopiga kura...

    Juzi nimeota jinsi uchaguzi wa mwaka huu utakavyokuwa mgumu kutokana na wakristo wengi hawatopiga kura yaani wataususia ivyo CCM itawalazimu kuiba kura kwa kuwakusanya wanafunzi kuwapigia kura wasiopiga ila wanavitambulisho na huo uhuni utafanyikia madarasani kabisa mashuleni.....
  18. ntamaholo

    JamiiForums Tanzania Natamani kusikia dini zinatutangazia kujitenga na mchakato wa uchaguzi 2025

    Kwa hali ya siasa na kiwango cha matukio ya uvunjwaji wa haki za kibinadamu nchini, natamani kusikia viongozi wa dini zote wakitoka na azimio la pamoja kuelekeza waumini na wafuasi wao kujitenga na michakato ya uchaguzi. Iwaachie wanasiasa wanao ishi kinafiki mchakato wao waendelee na mchakato...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Deodatus Mwanyika amuomba Rais Samia amrejeshe tena Hussein Bashe kuwa waziri wa kilimo baada ya uchaguzi 2025

    Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge viwanda, biashara, Kilimo na Uvuvi Deodatus Mwanyika amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan mara baada ya Uchaguzi Mkuu amrejeshe katika nafasi yake ya uwaziri wa Kilimo,Hussein Bashe Ili aendeleze mazuri yanayofanyika katika...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukweli ni kwamba Watanzania wote wanafahamu kwamba hakuna Uchaguzi

    Inawezekana kabisa kwamba viko vyama vya siasa vya Tanzania vinavyojiandaa na Kinachoitwa Uchaguzi mkuu wa 2025, Bila shaka baadhi ya Wagombea wao Washaanza hata Kulogana kama wanavyofanya mara zote, tunavitakia kila la heri kwenye mipango yao hiyo. Bali Watanzania wote Nchi Nzima wakiwemo...
Back
Top Bottom