ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya Mjini ni vigumu sana Wasafwa kupata Ubunge, ni Jimbo la wageni kama Arusha Mjini

    Watu wengi wanaamini Wenyeji wa Mbeya Mjini ni Wanyakyusa na Wasafwa kwao ni Mbeya Vijijini Lakini ukweli ni Kuwa Mbeya Mjini na Vijijini kote ni Kwa Wasafwa ila inasemekana Wasafwa ni Watu wataratibu sana wasiopenda kabisa mambo ya siasa Wao wamejikita zaidi kwenye mambo ya Dini hasa Misikiti...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msukuma ataka watumishi wa umma na wateule wa Rais wadhibitiwe wasichukue pesa za serikali kwenda kugombea ubunge

    Mzee Msukuma amekiri kwamba wabunge wa Tanzania wana kinga dhidi ya tuhuma za rushwa Kimantiki amesema wapo viongozi wanakwapua fedha za umma kwenda kuzitumia kugombea ubunge Ameeleza viongozi wengi wa umma wameomba kugombea lakini akataka wasipewe idhini hadi wafanyiwe special audit Je...
  3. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Naomba jina la Mbunge aliyesema Yuko tayari kuua ili apate Ubunge

    Nimesahau jina la Mbunge, naombeni Sana anayemkumbuka.....kama sio bunge la 2015-2020 basi ni hili la sasa ila Magufuli alikua hajavuta bado. Alikuwa Mbunge wa kike na aliyatamka Maneno kuwa "kwa namna Ubunge ulivyomtamu, Yuko tayari kuua ili apate/asikose Ubunge". Tafadhali mwenye ako nayo...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa neema na baraka za Mungu, nitachukua fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea Ubunge kupitia CCM J’nne tar. 65.2025 saa 4 Asubuhi

    Nawatakia mema na kila la kheri watia nia wengine wote wa CCM maeneo mbalimbali nchini, wa ubunge pamoja na wale wa udiwani. Tuheshimiane na daima kua wastaarabu miongoni mwa watia nia wengine, ili hatimae mchakato huo muhimu ndani ya chama uishe kwa kwa salama na amani na hatimae tubaki wamoja...
  5. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Natangaza kugombea Ubunge

    == Mimi ni kada mtiifu wa Chama Cha Mapinduzi CCM mwenye namba ya uanachama CM 1774858, Rasmi natangaza kugombea na kushinda nafasi ya Ubunge katika Jimbo letu kwa nguvu ya Mungu, Uzoefu ndani ya chama ni miaka 7, Naomba ushauri, mawazo na connections ni jinsi gani naweza kushinda na...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania LISSU fanya maamuzi haraka uwafukuze Uanachama G-55, Majimbo yote yaliyochini ya Pro-Mbowe yatatoa Fomu za Ubunge , Kwa hiyo watagombea kweli !

    Kampenzi kwenye Majimbo hayo zitafadhiliwa na CCM. Faida ya kuwafukuza Uanachama mapema ni kua ,Tayari watapoteza hata kidogo walichonacho !!. Kitendo Cha kuendelea kutumia Jina la CHADEMA ni kuendelea kupanda mbengu ya kuwachanganya wananchi Hivo Fukuza mara Moja.
  7. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania "Lukuvi amehudumu miaka zaidi ya 30. BUNGENI! Tumemwona. Tumemsikia.Lakini sasa... INATOSHA!"

    LUKUVI NA UBUNGE WA MIAKA ZAIDI YA 30 – INATOSHA! v "Lukuvi amehudumu miaka zaidi ya 30. BUNGENI! Tumemwona. Tumemsikia. Lakini sasa... INATOSHA!" William Lukuvi ni mmoja wa wanasiasa waliodumu kwa muda mrefu katika siasa za Tanzania. Alichaguliwa kuwa Mbunge kwa mara ya kwanza mwaka 1995 –...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi 2025 Mungu akipenda nitagombea ubunge jimbo la Ilemela Mwanza

    Japokuwa nipo Igunga kwa shughuli za kibiashara Lakini mimi kwetu ni Mwanza . Kwa Sasa ni jimbo la Ilemela. Nalifahamu hili jimbo kwa mapana maana nimezaliwa na kukulia huko. Nitawatumikia watu wa Ilemela kwa moyo kunjufu. Sitatoa rushwa wala hongo. Najitambua mimi ni mchapa kazi. Jambo...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Lissu hajaanza kuwasikiliza watia nia wa ubunge na udiwani kabla ya yeye kuanza kuongea? Ni udikteta?

    Nikiwaangalia watia nia ni kama hawako pamoja na Lissu, masikio yao "yanamkataa" Lissu. Nadhani alitakiwa kwanza awasikilize kabla ya kuanza kuwahubiria mambo yake. Uongozi wa up-down ni wa kidikteta.
  10. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamuomba Dr Godwin Mollel agombee tena ubunge jimbo la SIHA (2025-2030)

    Wananchi wa Jimbo la SIHA wamemuomba Dr Mollel agombee tena Nafasi hiyo kwa 2025-2030 ili azidi kuleta maendeleo ikiwamo Mwendokasi
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, ni kweli watia nia za Urais, ubunge na udiwani wa CHADEMA uchaguzi mkuu hawaielewi No reform No reform, hata waitwe makao makuu?

    Na ikiwa watia nia wana uelewa finyu kiasi hicho hadi waitwe chadema HQ kufundishwa, vipi uelewa wa wanachama wa kawaida wa chama hicho, watakua katika hali gani ya ufahamu kuhusu hiyo no reform no elections isiyo na tija wala faida kwao? Kulikoni kuelekea uchaguzi mkuu wa October, CHADEMA...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nitatetea tena nafasi yangu ya ubunge jimbo la Nkasi 2025

    🛑 NITATETEA TENA NAFASI YANGU YA UBUNGE JIMBO LA NKASI 2025 NILISHINDA UBUNGE 2020 LICHA YA CHAMA KUSUSIA UCHAGUZI, KAULIMBIU YA 'NO REFORMS, NO ELECTION' HAINIHUSU - NITATETEA TENA NAFASI YANGU MWAKA (2025) HUU - AIDA KHENAN, MBUNGE WA CHADEMA NKASI KASKAZINI ==== JamiiCheck imefuatilia...
  13. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akijivua uanachama Chadema, nitampigia kampeni Tulia Ackson achukue ubunge wa Mbeya Mjini

    Nasikia kina Sugu na MBOWE wanataka kuanziaha chama chao ambacho kipo sponsored na CCM na wameahidiwa kwamba chama hicho kipya ndio kitabeba viti vingi vya upinzani. CHADEMA wameshasema No Reform no election, kina Sugu waroho wa madaraka wanadhani wataenda bungeni kirahisi, nawahakikishia...
  14. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Natafuta VETA inayofundisha Ubunge

    Baada ya uongozi mzima wa nchi kuamini kwamba VETA ndo suluhisho la matatizo ya nchi, ningependa kujaribu kutafuta ajira kule Bungeni. Bungeni bado tuna watu wanajua kusoma na kuandika tu! Hata kuhesabu ni shida. Nimeona ni sehemu nzuri ya kwenda. Kwa imani ya viongozui wakuu wa nchi ndani ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira awaunga mkono vijana kugombea ubunge na udiwani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira, ametoa rai kwa vijana wenye sifa kujitokeza kugombea udiwani na ubunge katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu. Wasira ametoa rai hiyo leo Machi 16,2025, alipokuwa akizungumza na Wana CCM Wilaya ya...
  16. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dr Maulidi Kitenge kuwania ubunge Jimbo la KAWE

    1. Mtangazaji nguli na mume wa Mbunge Hanjeh ameonyesha Nia ya kulitwaa Jimbo la KAWE. 2. Kinachosubiriwa kwa sasa ni vikao vya maamuzi vya chama na mafao toka mjengon
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hamis Lisu sina ubavu wa kugombea Ubunge wa Singida Magharibi, labda udiwani

    Hamis Lisu, mmoja wa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Ikungi, mkoani Singida, ameamua kutogombea ubunge wa jimbo la Singida Magharibi. Uamuzi huo umetokana na kile alichosema kuwa mbunge wa sasa, Elibariki Kingu, ametekeleza vyema wajibu wake kama mwakilishi wa wananchi wa jimbo...
  18. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Ni njia zipi hutumika ili mtu agombee ubunge hili nikawatumikie wananchi wangu katika jimbo langu??

    Naomba mwongozo jinsi ya kuingia katika mbio za kuwatumikia wananchi wajimbo langu baada yakuona mbunge aliyekuwepo hana alichokifanya,Je ni njia gani za wazi nitumie ili niweze kuingia katika Kinyang'anyiro hicho?? Kwa sina pesa za kuhonga wajumbe mimi nina nia ya dhati ya kutaka kugombea na...
  19. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumekucha: Madiwani Arusha waomba Paul Makonda agombee Ubunge jimbo la Arusha Mjini

    Baraza la Madiwani mkoani Arusha kwa pamoja limeridhia na kumuomba Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda kugombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini. Je uamuzi huu wa madiwani wa jimbo hilo ni kwambaa wamekosa imani na Mbunge wa sasa anayemaliza muda wake, Mrisho Mashaka Gambo? Soma zaidi: Pre GE2025...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Ruvuma yahimiza demokrasia kwenye nafasi za wagombea udiwani na ubunge

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kimewataka wanachama wake kuhakikisha wanazingatia taratibu, Sheria, na kanuni za Uchaguzi wakati wa mchakato wa uteuzi wa wagombea wa Ubunge na Udiwani. Lengo ni kuwarudisha madarakani wagombea wanaopendwa na wananchi, lakini kwa kufuata miongozo ya...
Back
Top Bottom