ubora

The Ubora Towers is a complex of two towers in the Business Bay district of Dubai, United Arab Emirates. The development consists of the Ubora Commercial Tower and the Ubora Residential Tower. Construction of the Ubora Towers was completed in 2011. It was sold by to Senyar Real Estate in Mid 2018
The Ubora Commercial Tower, also known as the Ubora Tower 1, is a 58-story building. It has a total architectural height of 263 metres (862 ft). The Ubora Residential Tower, or Ubora Tower 2, is a 20-floor structure. The commercial skyscraper was topped out in 2011. The complex was designed by the architectural firm Aedas, with lighting design by AWA Lighting Designers, and is currently managed by Jones Lang Lasalle.
There is a public transport bus stop on both sides of the road named as U bora Tower which is where people working in nearby towers use to board and get down. All the buses crossing this tower expect bus number 50 leads to the nearest Metro Station which is Business Bay Metro Station.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Pasi ya maji hulinda nguo zako na kuzitoa smart kuliko pasi kavu, pasi za maji sio mbovu, zitumie kwa namna hii na hutafikiria tena kutumia pasi kavu

    Watu wengi wamekariri kutumia pasi kavu bila kujua zinachangia pakubwa kuharibu nguo zao Pasi kavu huchosha kitambaa, huchosha nyuzi na fabrics, huondoa mwonekano mzuri wa nguo na kufanya zifubae mapema. Ndio maana mara nyingi utaona nguo za mtumba zimetumika miaka mingi huko zilipotoka lakini...
  2. JamiiForums Tanzania Godoro la Goldson vip lina ubora kwa mliotumia au vipi

    Habari wakuu napata utata kidogo kuhusu godoro imaraa naombeni ushauri godoro la godson lipo imara kweli au nitakuwa nimepigwa nikichukua maana nawaz nichukue godson au QFL dodoma Naombeni mrejesho
  3. JamiiForums Tanzania BIKRA ya mwanamke sio ishara ya ubora wake. Ulimwengu wa mtu upo kichwani na moyoni mwake, hata siku moja uchi hauwezi amua chochote.

    Ooh hakikisha unaoa mwanamke mwenye bikra, Mara ooh ukikuta hana bikra, piga chini. Kama ingekuwa hivyo wengi wenu msingekuwepo hapa duniani. Mwanamke akiamua kukubadirikia atakubadirikia tu haijalishi ulimkuta sealed au open case kwa maana mindset ipo kichwni na sio ukeni Acheni utoto.
  4. JamiiForums Tanzania Kwenye Zama za AI, Ukweli Na ubora wa Kiongozi Unapimwaje?

    Katika zama hizi za AI kama OpenAI ChatGPT, nyie mnampimaje uwezo wa kiongozi wa chama tawala au upinzani? Maana leo hii wote wanaweza kutafuta hoja kali, hotuba nzuri na majibu ya kisomi kupitia AI wakaonekana wana akili sana mbele ya watu. Zamani mtu alikuwa akitoa hotuba nzito watu wanaamini...
  5. C

    JamiiForums Tanzania EATV ndo kituo kinachoongoza kwa watangazaji na mapresenter wenye ubora wa juu kwa sasa

    najua kuna vituo vyenye watangazaji bora na wakubwa sana lakini EATV ina combination kubwa sana kwenye burudani utakutana na Rich Msafi au mwanadada February Omary kwenye Michezo utakutana na Wastara Masese kwenye shiw za vijana na Gen-Z utakutana na Zeydan Thabit na Modoo ingawa pia dolly...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lamar Fishcrab auliza swali moja tu Kuhoji ubora wa S2Kizzy Kamtoa msanii gani undergeround?

    Je, producer mkali hapimwi kwa kutengeneza hits za wasanii wakubwa pekee wenye mashabiki na nguvu ya kusambaza kazi zao, bali pia unapimwa kwa uwezo wa kumtoa msanii underground mpaka kuwa star. https://www.youtube.com/watch?v=BQqztrwJQP8
  7. O

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa oppo a3x inazidi Samsung a16 ubora wa picha why

    Aya nipeni maneno nje ya mada pia kwanini Samsung nyingi karibu zote picha zake mbovu zinapauka mno s23 picha insonekana vizuri ila rangi mbaya
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka buni hadi kikombe cha kahawa: Je Yunnan imewezaje kuongeza ubora wa kahawa yake?

    Kwa sisi wageni tunaoishi China, linapokuja suala la unywaji wa kahawa, mara nyingi tunajiuliza: Wachina walifanyaje hadi kahawa ikawa kinywaji kinachopendwa katika nchi ambayo kwa maelfu ya miaka inajulikana zaidi kwa chai yake? Hata hivyo, katika miongo miwili iliyopita, mapinduzi ya kahawa...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kina dada acheni kuwasumbua waganga kuwawezesha kuolewa wakati mlikuwa mnajibu hovyo enzi mkiwa kwenye ubora wenu

    Ninaandika kwa hasira kali sana. Unakuta umeenda zako kwa mganga unakutana na foleni kubwa ya kina dada wameenda kupata dawa za kupata waume wakati ndo haohao enzi wakiwa kwenye ubora walikuwa wakijibu kwa karaha waoaji waliojitokeza. Binafsi ni mhanga wa majibu na matendo ya kishenzi enzi...
  10. JamiiForums Tanzania Shiriki Katika Kudumisha Ubora na Usalama wa JamiiForums, tumia REPORT button

    Wakuu, Salamu nyingi kwenu, wanachama (wana JF) na wageni wote mnaotembelea JamiiForums! Tunayo furaha kubwa kuendelea kuwa nanyi katika jukwaa hili muhimu ambalo limekuwa kitovu cha fikra, maarifa, na uhuru wa kutoa maoni kwa staha. Ili kuendelea kufurahia mijadala yenye tija na kuhakikisha...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Website nzuri ya kuverify ubora wa magari used japan kwa kutumia chassis au vin number

    Habari wanaJF kwa mwenye uzoefu aliyewahi verify ubora wa gari used japan wakati anaagiza kwa kutumia chassis au vin number naomba anijuze website aliyotumia. Najua Chatgpt inaweza toa majibu kwa kiasi fulani but napenda nipate uzoefu direct wa mwanaJF maana naamini kuna mengi ya kunisaidia...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwenye hilo Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano
  13. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Ligi Kuu-Bara izingatie ubora miundombinu ya viwanja vinavyotumika kuchezewa mechi usiku, vingi havina ubora

    Nimefuatilia mechi kadhaa hasa msimu huu2025/26 na msimu uliopita wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara, kumekuwa na ongezeko la mechi zinazochezwa usiku ili kuruhusu urushaji wa moja kwa moja kupitia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na wadhamini na watangazaji. Lengo...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Teknolojia za Uundaji wa Programu: Native vs. HTML, CSS, na JavaScript ni ipi ni rahisi na ina ubora zaidi

    Native ni nini ? "Native" inamaanisha kwamba programu imeundwa kwa ajili ya kufanya kazi kwenye mfumo maalum wa uendeshaji wa kifaa, kama vile Android au iOS, na hutumia lugha na zana za maendeleo za asili za mifumo hiyo. HTML, css, js ni nini ? HTML, CSS, na JavaScript ni teknolojia za...
  15. JamiiForums Tanzania Ubora wa Chid Benz na Ngwear katika wimbo unaitwa “Wakati ndio Huu”

    CHID BENZ FT. NGWEA - WAKATI NDIO HUU VERSE.. 1. "CHID BENZ" Vidole vyangu kwenye mic 🎤 Sauti ndani ya Beat / Niko mbele ya Umati wenye wengi mashabiki/ Me na Amini nimezaliwa kushinda Nimezaliwa jasiri hata Simba nitamwinda / Wengine udhani ya kama naimba Uongo/ Kisa navyo flow Eti...
  16. JamiiForums Tanzania Ubora wa mawasiliano nchini umeshuka sana, TCRA fanyeni kazi yenu

    Nimepitia ripoti ya robo ya pili ya mwaka ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania nimeona TCRA wametujulisha kuhusu kushuka kwa ubora wa mawasiliano ya simu nchini lakini hawajasema wanafanya nini baada ya mawasiliano hayo ubora wake kushuka. Ripoti imekaa vizuri sana na hawajataka kuficha kitu...
  17. JamiiForums Tanzania Kipima ubora wa Maji (TDS Meter): Je, Maji unayokunywa ni safi? Linda afya yako na familia yako kwa kipima TDS

    💧 TANGAZO LA KIPIMA UBORA WA MAJI (TDS METER) 💧 Je, unajua ubora wa maji unayokunywa kila siku? Linda afya yako na familia yako kwa Kipima TDS cha maji! ✅ Hupima haraka kiwango cha uchafu kwenye maji ✅ Sahihi na rahisi kutumia ✅ Kidogo na rahisi kubeba popote ✅ Kinafaa kwa maji ya kunywa...
  18. JamiiForums Tanzania Mambo yanayoharibu ubora wa Sperm

    KWA WANANDOA PEKEE | NA WANAOTARAJIA WATOTO Ukiachana na Zile Sarakasi | Mibinjuko ya 6 kwa 6 na Vilio vya Mahaba kutoka kwa Ma Mtu Kikubwa Zaidi KinachoFanya Mwanamke Apate Ujauzito au Mimba ni BAO | SHAHAWA | MSHINDO Mimba hutokea pale shahawa (mbegu za mwanaume) zenye ubora zinapokutana na...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli chokaa inachangia ubora na ufanisi wa mbolea katika kilimo cha ndizi?

    Nilikiwa kwenye Mkoa wa Kagera ambapo kuna mwenendo unaoongezeka wa wakulima wa ndizi kutumia chokaa katika mashamba yao. Wakulima hao wanadai kuwa matumizi ya chokaa husaidia migomba kustawi vizuri na kupunguza au kuzuia mashambulizi ya baadhi ya wadudu wanaosababisha kudhoofika au kuharibika...
  20. JamiiForums Tanzania Jipatie miche ya matunda na mbogamboga - gharama nafuu, ubora wa juu

    Wakulima na wapenda bustani, kama ulikuwa unasubiri nafasi ya kuanza kilimo kwa gharama ndogo na faida ya haraka, hii ndiyo fursa yako. Ninauza miche bora, inayokua haraka, yenye afya, na inayofaa kwa maeneo mengi ya Tanzania. 🍊 Miche ya Matunda (Kuanzia TSh 2,500 tu!) Aina zinazopatikana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…