ubora

The Ubora Towers is a complex of two towers in the Business Bay district of Dubai, United Arab Emirates. The development consists of the Ubora Commercial Tower and the Ubora Residential Tower. Construction of the Ubora Towers was completed in 2011. It was sold by to Senyar Real Estate in Mid 2018
The Ubora Commercial Tower, also known as the Ubora Tower 1, is a 58-story building. It has a total architectural height of 263 metres (862 ft). The Ubora Residential Tower, or Ubora Tower 2, is a 20-floor structure. The commercial skyscraper was topped out in 2011. The complex was designed by the architectural firm Aedas, with lighting design by AWA Lighting Designers, and is currently managed by Jones Lang Lasalle.
There is a public transport bus stop on both sides of the road named as U bora Tower which is where people working in nearby towers use to board and get down. All the buses crossing this tower expect bus number 50 leads to the nearest Metro Station which is Business Bay Metro Station.

View More On Wikipedia.org
  1. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania URUSI Yapiga Mrufuku Malori ya Kichina kwa kukosa Ubora

    Iwapo Urusi na China ndio marafiki wa damu damu damu imekuwaje Urusi ambayo iko chini ya Vikwazo iyakate malori ya kichina? Wanadai hayana ubora, je hapa kwetu tunaoyatumia magari yao tunaweza kukubaliana na madai ya Urusi? https://www.youtube.com/watch?v=ze_0PmOuzM0&t=179s
  2. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania JENGA KWA UBORA NA UHAKIKA

    🧱 JENGA KWA UBORA NA UHAKIKA! 🛠️ Unahitaji fundi wa ujenzi mwenye uzoefu na ubunifu wa kisasa? 📐 Ramani ✔️ 🏠 Ujenzi wa nyumba ✔️ 💦 Mashimo ya choo na septic tank ✔️ 🧱 Plasta, tiles, rangi, roofing ✔️ 📏 Kazi safi na kwa wakati! 📍Tupo Temeke - Dar es Salaam 📞 Piga/Sms: 0789 005 562 | 0719 205...
  3. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Matofali yanayofyatuliwa huku mitaani yana ubora mdogo sana

    Katika mambo ambayo yanashangaza sana ni uwepo wa matofali yenye ubora mdogo sana huku mtaani ni aibu kubwa sana kwa nchi mamlaka ziko wapi Mimi nilisoma umbwe miaka flani hivi ile shule imeanza mwaka 1948 ila huwezi amini wakati nasoma ule ukuta wake huwezi gongelea msumari kirahis ilikuwa kwa...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Duveti zenye ubora wa hali ya juu

    --- 🌟 DUVETI KALI! 🌟 Pata kifurushi kizima kwa bei nafuu sana: 🛏️ Duveti 1 🛏️ Shuka 1 🛏️ Foronya 2 📏 Size: 6/7 💸 Bei: 35,000 TSH tu! ✔️ Ubora wa hali ya juu ✔️ Laini na ya kisasa ✔️ Inafaa kwa msimu wowote 🚚 Delivery ipo Dar na pia tunatuma mikoani! 📍 Fika kwetu au wasiliana: [Weka namba...
  5. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Tamisemi/wizara ya elimu: wathibiti ubora wa shule wateuliwe kutoka miongoni mwa wakufunzi wa vyuo vya ualimu, kuboresha zaidi ufundishaji/ujifunzaji

    Wakufunzi ndio wanaokesha na mbinu za ufundishaji na ujifunzaji mavyuoni ndiyo wanaojua mbinu gani zitumike ili kuboresha Elimu yetu, ni vema wakatufata pia mashuleni wanatukagua wao kama walimu wa ualimu. Hivyo basi ni vema hii Kaz ya uthibiti UBORA wa shule iwe chini ya wakufunzi isimamiwe na...
  6. Knock life

    JamiiForums Tanzania Radio na TV sasa zitarudi katika ubora wake ikiwa wamewazuia watu ambao hawajaenda shule kutangaza

    Kwa hili Serikali imefanya jambo jema Sana . nasikia Chumvi amelimwa kichwa.
  7. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Ubora wa Treni ya SGR ya Tanzania unazidi treni nyingi za Ulaya

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC, Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Afya ya umma: Serikali iangalie ubora wa mablankenti yanayouzwa nchini. Mengi yanatengenezwa kwa material yanayoleta allergy(mzio)

    Kuna mablankenti ukilalia unajikuta unakohoa sana. Usipolilalia unakuwa sawa. Ni kama yana materials mabaya yenye kuleta allergy. Hatujui madhara mengine yanayoweza kuleta kwenye mfumo wa upumuaji wa binadamu. Serikali iangalie ubora wa mablanketi yanayoingia nchini na kupitia materials...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka makubwa na Ubora wa Barabara zinazojengwa Dodoma na Tanzania kwa Ujumla. Kuna harufu kubwa ya Rushwa na Kutojali

    Kwa mujibu wa Ma engineer wazuri wa ujenzi wa barabara duniani, barabara bora yenye viwango vya uhakika inayoweza kudumu kwa muda mrefu inapaswa kujengwa kwa viwango hivi; Kinachonipa hofu ni namna ujenzi wa barabara zetu nchi nzima unavyofanyika. Nyingi hazijengwi kwa ubora huu na ndo mana...
  10. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Barabara za Tanzania zitakuwa na ubora mkubwa na mwonekano mzuri sana

    Barabara za lami za nchi ya Switzerland au Japan ni imara na pia ni nzuri sana kwa mwonekano zinavutia Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisha barabara za Tanzania zinakuwa na ubora na zitakuwa nzuri kwa mwonekano
  11. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ukikwepa sana ghalama za ujenzi utaharibu ubora wa nyumba yako

    Akilini kwako unatakiwa kujua kuwa Ujenzi ni gharama. Unapaswa kutumia gharama kwa busara ili kupata ubora bila kuingia kwenye matumizi yasiyo ya lazima. Watu wengi hujarahisisha kazi wakidhani wanapunguza gharama, lakini mwisho wa siku, gharama huongezeka zaidi kwa sababu ya marekebisho na...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mukwala, Fadlu wang’ara Tuzo za Ubora Mei Ligi Kuu ya NBC

    Mshambuliaji Steven Mukwala wa Simba ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mei Ligi Kuu ya NBC 2024/25 baada ya kung’ara kwenye mechi nne kwa kufunga mabao matatu na kuchangia moja, huku kocha wake Fadlu Davids akichaguliwa Kocha Bora kwa kuiongoza Simba kushinda mechi zote tano za mwezi huo...
  13. Ndege Tai

    JamiiForums Tanzania Wenye uelewa mpana kuhusu ubora na changamoto za bike hii...

    SINORAY 250CC
  14. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Al masry hawakufungwa kisa kukosa ubora bali ubovu wa pitch, CAF ichukue hatua zaidi

    Nitashangaa sana kama kuna mtu anayesifia kwamba sijui "Mkapa imekuwa tishio" timu za Afrika zinaogopa kuja! For what? What non sense is this? Viachwe kuogopwa viwanja vya waarabu na viwanja mashuhuri kama Mohammed V,Stade du 5 Juillet, Cairo au Loftus versfield huko south kije kiogopwe kiwanja...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima Maswa watakiwa kulima zao la alizeti kwa ubora

    WAKULIMA wa zao la alizeti wametakiwa kuzingatia viwango vya ubora wa uzalishaji ili kuongeza thamani ya mazao yao na kuvutia masoko ya ndani na nje ya nchi. Afisa kilimo wa wilaya ya Maswa,Masalu Lusana amesema hayo Mei 7,2025 wakati wa mafunzo ya kilimo bora kwa wakulima wa alizeti...
  16. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kivuko cha Pangani ni hatari kwa maisha ya Watu, tunalalamika kuhusu ubora wake lakini bado hali ni tete

    Hapa Pangani kuna kivuko kinachounganisha Pangani na Bweni kimekuwa na hitilafu za mara kwa mara na sasa kimegeuka kuwa chanzo cha usumbufu mkubwa. Wiki moja iliyopita, kivuko hicho kilipata hitilafu ya injini na kusombwa na maji kuelekea baharini, ingawa abiria waliokolewa kwa kutumia boti...
  17. ZOYA internet

    JamiiForums Tanzania Faida za kua na wi-fi router zenye ubora na speed nzuri

    Wadau najua wapo watu mnaotafuta wi-fi router nzuri huku so nimeona niwaletee uzi huu huenda ukawa msaada kwa wengine. FAIDA ZA KUWA NA WI-FI ROUTER ZA TIGO (YAS) Ndugu yangu kua na hii wi-fi router kuna faida nyingi sana, kama unajiweza kidogo, jitahidi usikose kifaa hiki. 1. Ukiwa na...
  18. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe wa Ayrshire – Malkia wa Maziwa ya Ubora! 🐄✨

    Unamfahamu Ayrshire? Huyu ni ng’ombe wa maziwa mwenye mchanganyiko wa tija kubwa, maziwa bora, na uvumilivu wa hali ya hewa ya Tanzania! Sifa Kuu za Ayrshire: Hutoa lita 20–30 za maziwa kwa siku 🥛 Maziwa yake yana kiwango kizuri cha mafuta (karibu 4%) – bora kwa matumizi ya nyumbani au...
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Simba SC yatikisa kwa ubora Afrika, yapanda hadi nafasi ya 4

    My Take Lipokuja swala la kuiheshimisha Nchi na Ligi ya Tanzania Kimataifa,Simba ni Timu ipewe maua yake.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Simba imepanda kuwa timu ya nne kwa ubora Africa kwa vigezo vya CAF 5 Year ranking,

Back
Top Bottom