JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,309
- 5,464
Arsenal ambaye inashika nafasi ya pili, ina pointi 81 na imesaliwa na mchezo mmja wakati Man City ina pointi 85, ikiwa na maana kuwa hakuna timu nyingine inayoweza kufikisha pointi hizo katika ligi hiyo msimu huu wa 2022/23.
Man City inatwaa ubingwa huo mara ya tatu mfululizo ikiwa pia ni mara ya tano katika misimu sita iliyopita chini ya Kocha Pep Guardiola.