ubaya

Major General Ubaya Medawela RSP, VSV, USP, ndu, psc, MSc was a Chief of Staff of the Sri Lanka Army.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kuna ubaya kumwambia ex girlfriend wangu kwamba asinitafute maisha yake yote yaliyobaki?

    Kuna ex girlfriend wangu mmoja kwasasa tupo mikoa tofauti ingawa hakuna umbali sana katika ya mkoa aliopo yeye na mimi. Simuhitaji tena na ndio maana hata naweza nikakaa hata miezi mitatu au sita bila kumtafuta na namba zake za simu nilishafutaga na kichwani pia hazipo mana sina kawaida ya...
  2. Kuna kazi mtu akiipata lazima tu tabia itabadilika kwa asilimia kadhaa kuendana na mazingira

    Kuna kazi ukiipata hata kama uwe na roho nzuri kiasi gani itakubadilisha tu kwa asilimia kubwa ili uendane nayo Mfano: kazi ya utrafiki,ukondakta hasa kwa mikoa ya Arusha na dar,kukusanya ushuru, Hizo ni baadhi tu
  3. Kwani kuna ubaya gani ukimdanganya unataka kumuoa?!

    Anakuzungusha sana, unakomaa wala hajali. Unaamua kupiga gia kubwa zaidi "nataka kukuoa". Si unajua kupata mume smart ni kazi? Mnyama anakuwa ameingiza Chama, Luis na Baleke na Saido kwenye 18-Huponi. Sasa nauliza kuna ubaya gani? Kuna watu humu wanasema usimuonee huruma mwanamke
  4. Siamini katika Karma, Watu wengi wamewafanyia ubaya wengine na wanazidi kupasua anga

    Karma limekuwa neno maarufu Sana likitumika kumaanisha usimfanyie mwenzako ubaya, maana na wewe utalipwa ubaya. (Malipo hapahapa Duniani) Binafsi siamini katika hili, nahisi ni imani tu iliwekwa ili kupunguza uovu, ila kiuhalisia mambo ni tofauti Nakumbuka kulikuwa na wababe wale waonezi...
  5. Siku ya pili hii nalalia mhindi wa kuchoma na Maji. Naona kama ni kutaka tafutana ubaya

    Jana asubuhi shem aliniambia nisipeleke watoto shule. Atawapitisha yeye. Nikaamka saa 4 naenda mezani chai hamna. Namuuliza dada wa kazi ananiambia shem alimaliza. Mchana hakikupikwa kitu. Nikanyamaza. Usiku nikaona wanatengewa watoto chips kuku mimi nimesubiri mpaka saa 3 holla. Wameenda...
  6. R

    Mzee Mangula ahojiwe kuhusu uzuri na ubaya wa mkataba wa DP World; tumsikie anasimamia upande wa chama au upande wa umma

    Count down ya wazalendo wa Taifa iendelee tutambue maoni ya waliotangulia kuliona jua wana vision gani kwa wajukuu wao; tumemsikia Mzee Warioba akionyesha wazi kwamba kuna shida kwenye eneo la mikataba nchini. Kwa maneno yenye neutrality ametuelekeza kama taifa kujifunza kutoka kwenye makosa ya...
  7. Hivi kuna ubaya mtu akiwa single

    Habari wakuu, nimeona niulize swali hili baada ya kuona Jamii imekuwa na shutuma Sana kuhusu mahusiano au ndoa. Iwe kwa kijana wa kiume au wa kike, je hakuna nafasi ya free will Kama mwanadamu🤔 👉Ni lazima wote twende na trend hiyo iliyopo??, 👉 Usinambie kupendwa, je wewe huwezi jithamini Kama...
  8. Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa?

    Wanabodi hii Makala ya Nipashe ya leo 11/06/2023 Makala ya leo ni wito kwa Watanzania wenzangu, tujifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani ambayo wanaweza kila kitu wao wenyewe!. Hivyo hakuna ubaya wowote kwa mtu yoyote, taasisi yoyote, ama nchi yoyote kusaidiwa...
  9. Ukabila hauna ubaya wowote

    Watu tumekaririshwa tu ukabila mbaya ukabila mbaya. Ukabila hauna ubaya wowote. Wanaopiga kelele kuwa ukabila mbaya ni wanataka watu wengi waje pamoja ili wawaibie na kuwatawala kirahisi. Kunaanza Familia, Ukoo, kabila, taifa. Hakuna ubaya mtu kuwa mzalendo kwa familia, ukoo, au taifa lake...
  10. Naliulizia beki la CHAN Mamadou, sio kwa ubaya lakini

    KLABU ya Yanga SC ilimsajili na kumtambulisha beki wa kati, Mamadou Doumbia (27) kutoka Stade Malien ya Mali. Hili lilikuwa beki la CHAN na majina mengine kibao. Baada ya hapo hata bench hakuonekana. Liko wapi beki la CHAN
  11. L

    Kama jiwe alikuwa na ubaya wowote Ni chama chake ndio kinawajibika 100@%

    Watu wengi tunajaribu kurubuniwa eti kuwa mwamba Ni mbaya ,Ni mtu mbaya ,Mimi ninachowaza Ni kuwa kama kwa namna yoyote alikuwa na ubaya wowote Ni chama kilichomsimamisha kimesababisha hayo,hakina mfumo madhubuti badala yake wapo radhi kufanya lolote mradi malengo yenu yatimie,nafahamu...
  12. G

    Ushuhuda wa dada yangu: Ukioa mdada wa chuoni ambae kwao anaweza kurudi kirahisi tegemea kusingiziwa unamfanyia ubaya akiona majukumu ya ndoa magumu

    Sina maana ya kuwa mmbea ama kumkandia dada yangu ila hii ndio hali halisi ya matatizo haya ya sasa yanayofanya ndoa nyingi kubomoka, mimi nimeleta case study. Mifano ipo mingi sana juu ya wanawake wasomi wa vyuoni kuwa wasumbufu kwenye ndoa ila wacha niweke kisa cha mtu naemjua kabisa wala si...
  13. Tuliwaonya hawakusikia walipendwa wakadeka wanaaibika mwisho wa ubaya ni aibu! poleni Chadema hii ndio maana ya kufariki kwa chadema

    walijifanya wajuaji waliambiwa kuongelea na kusimamia misingi ya Kero za wananchi wakakengeuka wakawa hawaambiliki wakashupaza shingo wakafikiri wanapendwa ndugu zangu bora msingeomba maridhiano uchwara mnaaibika wananchi wa mwanza wana hasira na nyie hawataki kuwasikia uwanja mweupe hakuna mtu...
  14. Ubaya wa kuwa na dhana mbaya kwa Binadamu wenzako

    Dhana Mbaya ni Ile hali ya kuwafikiria wenzako vibaya juu ya Tabia zao au Matendo Yao Fulani pasina kuwa na ushahidi wowote ule. Hii ni dhambi miongoni mwa madhambi ambayo Kwa Mwenyezi Mungu ni makubwa mno, kibinadamu tunaweza kuchukulia ni jambo dogo lakini Kwa Mola wetu ni kubwa mno...
  15. Siwezi kumpa rafiki yangu connection ya kazi mahali ninapofanya kazi

    Sitaki unafiki, ntampa rafiki konekshen ya kazi kwa masharti mawil tu: 1. Nikisikia kuna nafasi ndani ya sehemu nayofanya kazi ila haiingiliani na ofisi ama kitengo changu ninatoa koneksheni, mfano mimi nipo ofisi ya ufundi kuna nafasi ya ufagiaji ama udaktari nitasaidia, nafasi hizi...
  16. WanaChadema mbona mnapenda malalamiko yasiyo na mashiko. Kuna ubaya gani kiti cha rais kupelekwa kanisan? Mmekosa hoja.

    Mnabwatuka hovyo. Mbona hata wananchi wa kawaida huwa wanaenda viti vyao makanisani. Hapa kuna shida gani? Hii ni non sense. 👇🏿
  17. Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden

    Wanabodi Hii issue ya Rais Samia kupandishwa basi moja na viongozi wengine wa Afrika kwenye mazishi ya Malkia, imegubikwa maneno mengi, ujuaji mwingi, na kujua kwingi, lakini ukweli wennyewe halisi, tatiza ni ushamba tuu mwingi zaidi ya uhalisia!. Watu wakimuona Rais lazima apande benzi na...
  18. Kuna ubaya wowote kumuachia housegal pesa ya matumizi yeye ndiye aipangie budget?

    Habari wakuu? Kuna issue moja ya jamaa yangu ameniomba ushauri,anasema mara kwa mara anazinguana na mkewe coz ya masuala ya pesa za matumizi ya nyumbani.anasema kwa sasa mkewe ni hana mishe yuko tu home. Jamaa kila mwisho wa mwezi anahakikisha kanunua mahitaji yote muhimu ya home, ananunua...
  19. Rais Samia mgeni rasmi "KiziMkazi Day" Festival Visiwani Zanzibar Jumamosi Agosti 28

    Rais Samia kuwa mgeni rasmi KiziMkazi 2021 Festival- MJI MPYA __________________________________ Huu ni ushahidi mwingine wa Unyenyekevu Uliopitiliza wa Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT, #KisiMkazi Festival, Ni kongamano la Vijjii viwili vinaungana kudumisha mila,desturi na tamaduni zao...
  20. Sensa: Je, kuna ubaya kuwauliza watanzania their hopes & expectations of their government? Niko tayari kuhesabiwa, wewe je?

    Wiki ijayo ya Agosti 23 ni siku ya sensa ya watu na makazi, tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa. Japo Sensa ni data collection of demographical data za kujua Tanzania tuko watu wangapi ili kuweza kujipanga vizuri kimipango mkakati, je Kuna ubaya wowote kama katika hojaji za Sensa pia tukiwauliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…