ubaya

Major General Ubaya Medawela RSP, VSV, USP, ndu, psc, MSc was a Chief of Staff of the Sri Lanka Army.

View More On Wikipedia.org
  1. nodetz

    JamiiForums Tanzania Je nikweli shetani ni kiumbe au roho yenye ubaya?

    Habari wana jf ANGALIZO. UZI HUU HAUUSIANI NA DINI KABISA. NI KWAAJILI YA WATU WANAOWEZA KUFIKIRI NA KUTAFAKARI MAMBO. Kila mtu amewai kusikia, kuona au ata kuhisi uwepo wa nguvu ya shetani. Je nikweli kwamba shetani yupo na anafanya kazi au ni mindset zetu zimekaa ivo. Kila jamii iliyowai...
  2. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yamefungwa kwenye ubaya

    Kabla sijaja public na kudeclare nia yangu ya kutaka kuwa Rais wa Tanzania ilinibidi kwa jasho na damu nijufunze uongozi ni nini??? unfortunately elimu haifundishi masomo ya uongozi kwa hiyo ilinibidi binafsi nijufunze kwa nguvu zote uongozi ni nini Na moja ya mambo niliyojifunza ni hili...
  3. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Wajumbe wawafanyia ubaya ubwela wabunge wa COVID-19

    Nimewasogezea vipande kadhaa vya picha mjongeo , vikiwaonyesha WAJUMBE hatari wa fisiemu wakifurahia matokeo ya mchakato wa kura za maoni , hasa baada ya kuwafanyia kitu mbaya wabunge wa COVID-19, ester Bulaya, Ester matiko , Nusrat Hanje bila kumsahau bilionea wa nzega mzee wa sinki nje ya box...
  4. fact only

    JamiiForums Tanzania Si Kwa ubaya ila nasema fact

    Habari wana JF. Leo nikiwa kwenye harakati zangu hapa mjini Dar es salaam nimepanda bajaji Kariakoo to Msasani. Ndani ya bajaji nilikaa na Mdada mmoja mzuri Sana lakini shida nywele(Rasta) zinatoa harufu mbaya sana aise nimepata tabu sana wakuu zinanuka ile mbaya. Nyie wanawake mjitahidi...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama mlikuwa mnatuchukulia Simba SC poa poa nadhani kwa hiki kidogo tulichowafanyia leo ndiyo mtajua hutukukosea kuja na Msemo wa UBAYA UBWELA

    “Tumejaribu kuwapigia simu Simba Sc kuja kwenye Press lakini hatuwapati, kwakuwa hili ni jambo la kanuni hatuwezi kukaa muda wote kuisubiri timu, tuendelee na ratiba nyengine taarifa zaidi tutatoa kwa kurasa zetu” – Karim Boimanda – Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Chanzo: East Africa TV dakika 30...
  6. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Kuishi Maisha Yenye Amani: Kujilinda na Kuepuka Wivu, Chuki, Ubaya, na Ukatili

    Kuishi Maisha Yenye Amani: Kujilinda na Kuepuka Wivu, Chuki, Ubaya, na Ukatili** Salamu zangu kwenu nyote! Leo, nimefurahi sana kushiriki na nyie mawazo yangu kuhusu somo muhimu sana: jinsi ya kujilinda na kuepuka athari mbaya za wivu, chuki, ubaya, na ukatili katika maisha yetu. Katika...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Sio kwa Ubaya: Ndugu zetu wako nyuma sana kwenye kupambania Ukweli. Ndo mana wameizunguka Israel ila Palestina anapigwa kila siku na wao wapo tu

    Kizazi cha ndugu zetu kilichokuwa na akili kidogo ni kile cha kina Gamal Abdel Nasser aliyekuwa Rais wa Misri miaka ya 1960. Kizazi hiki ndo the Golden Generation ya hawa ndugu zetu. Pamoja na unyonge ila waliweza kusimamia kweli na kuitetea kweli. Waliisimamia Palestina dhidi ya Israel hadi...
  8. Marry Diana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza siyo Kwa ubaya lakini

    Shikamooni wakubwa wote Mara nyingi nikileta Mada zangu humu naambiwa hapa siyo fesibuku,mara JF imevamiwaa ,mara nini sijui, Sasa swali langu ni hil Kwani fesibuku na JF upi mtandao mkubwa,na kwanini nionekane mvamizi humu. Mbona naona huku ni Kwa kawaida tu au kuna nini cha ziada. Karibuni
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanatumika kama vyombo vya kueneza ubaya na kutenda ubaya pasipo wao kujua kuwa wao ni vyombo

    Kuna watu wanatumika kama vyombo vya kueneza ubaya na kufanya ubaya pasipo wao kujua kuwa ni vyombo. Katika kitabu cha 48 Law of power .- Ambacho kinazungumzia mbinu mbalimbali za kuwa na Power , kijamii, kisiasa n.k . Mwandishi wa kitabu hiki Moja ya sheria aliyoizungumzia ni ile inayosema...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubaya wa kushiba kabla ya karamu.. Ama kulewa

    Nina mifano mingi.. Lakini kuwa na subra na kufuata utaratibu daima humpa mtu matokeo bora tena kwa wivu mkubwa Sana Subiri wakati sahihi ufike ndio ufanye jambo lako kwa utaratibu uliowekwa.. Utajikuta unapewa maua yako bila hata kutarajia Kuna matukio ya suprise..hayapaswi kujulikana na...
  11. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Roho mbaya na ubahili Wapare walivitolea wapi?

    Hawa ndugu zetu hizi tabia walizitoa wapi. Watanzania kwa asili hatuna Roho mbaya, ubahili na umalaya
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza tu !.Sio kwa ubaya ina maana wastaafu Polisi baada ya kufainikisha 2025 CCM inapita kwa haya mtakuwa na malipo makubwa au nafasi kubwa

    Sina ubaya na polisi wetu ila kuna wengine naona washapewa maziwa na asali. Haya ambayo hata mwano wa milambo tabora waliofukuzwa anaweza kukubari mzazi wake au ni pesa. Yani pesa mnazo zitaka,damu za watu pamoja kulinda wao ina maana juice ya pasheni inatakiwa kuwa na limao sana. Kwa dunia...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Stellenbosch imeingia kwenye mfumo, hii tumevuka pia

    Nimechungulia kila kibuyu, nimeenda kwa wenzangu wanaojua kuangalia kama mimi, Leo kama unataka ckukuu iwe njema wekea simba tu kwenye betting, kipigo kitakatifu atakula mwafrika kusini. Iwe mvua iwe Jua ni mauaji tu hapa Zanzibar Leo.Dalili zote za maangamizi zimeonekana yaani ni kama
  14. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya ila Ali Kamwe ni matunda ya kulelewa na mzazi mmoja,vijana lindeni ndoa zenu

    Mtoto aliyepata malezi bora ya baba na mama utamjua ukubwani,huwa hawana adabu na hawajui waongee nini na wakati gani. Kuna familia wazazi wote wapo pamoja ila mmoja yuko bize sana mpaka analelewa na house girl badala ya wazazi. Kuna waliotengana kwa sababu mbalimbalihivyo mtoto kukosa upendo...
  15. Bams

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kwa wema au ubaya, tusimsahau Magufuli

    Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook: Miaka minne imepita tangu tangazo la kifo cha Rais wa awamu ya tano, hayati JPM litolewe. Kama kilivyo kitendawili cha umri wa mwanadamu unaanza kuhesabiwa lini (anapoingia tumboni au anapotoka), ndivyo...
  16. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Kwani Kuna ubaya kuomba urithi mapema ?

    Nina mpango wa kumchana Mzee wangu , anipe urithi wangu mapema .. Yani nateseka kutafuta pesa, wakati mshua ana asset, ambazo nikizitumia vizuri zinaleta pesa. Sasa kwanini nisimwambie anipe changu mapema , tumalizane .. Urithi wa Elimu kashanipa, nataka na urithi wa asset pia .. Kesho...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mshikaki wa serikali vs nyama choma ya wananchi unavyo watofautisha kwenye mipango yao swala ubaya .

    Mshikaki unabeba viungo ambavyo vinafanya mda mfupi kuiva haraka. Kwa mtazamo unaona kabisa serikali inaweza kuwa mshikaki sababu ina viungo vyote. Ukija upande wa nyama choma kwa wananchi hawa watu mpaka kuwa nyama choma wamechukua mda mrefu kuwa nyama choma. Maswala mengi ambayo yanafanywa...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harusi ya Aziz Ki imefanyiwa Ubaya Ubwela

    Kuna watu kule utopoloni wanaodhani wana akili kuliko watu wengine walipanga harusi ya Aziz Ki iende kufunika droo ya robo fainali ya CAF. Harusi ikajaa media za youtube ili tu kutafuta trend. Wazee wa Ubaya Ubwela wakasema aha kumbe tunaenda hivi? Kuna tukio likatokea huko Makanjiro sijui au...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Mnapokuwa na nafasi (vyeo)msijimalize kwa ubaya ...........

    Niaje niaje..........Leo katika pita pita zangu mtandaoni....nakutana na habari kutoka kwa majirani (kenya) kuhusu kifo cha mwenyekiti wa tume ya uchaguzi.......nikakakumbuka stori nyingi sana kumhusu yule wa kwetu kule zanzibar .........marehemu jecha........jamani haya maisha tu tupendane na...
Back
Top Bottom