Ubalozi wa Azberjan

Ubalozi wa Azberjan

Dogo12

Senior Member
Joined
Oct 5, 2022
Posts
116
Reaction score
216
Habari wakuu

Ubalozi wa Azbeijan unapatikana wapi hapa Dar es salaam.
 
Upo Kariakoo Jirani na Mbezi beach pale Kwenye kona kama Unaenda Ubungo.
 
Wapo Ethiopia na South Africa. Wa Ethiopia hawajibu simu wala email..Kazi kwako.
 
Hakuna nchi inayoitwa jina hilo duniani
Sasa huo ubalozi unatoka wapi?
 
Upo Nairobi, Kenya nenda kachukue Visa huko Azerbaijan embassy..
 
Back
Top Bottom