Mahakama kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi wa maombi ya zuio katika kesi inayowahusisha Said Issa Mohamed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Mahakama imesema uamuzi huo umesogezwa mbele hadi tarehe 22...
Leo, tarehe 8 Oktoba 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu Maombi ya Zuio katika Maombi Madogo Na. 14864 ya mwaka 2026.
Maombi hayo yanahusu shauri la Said Issa Mohamed & Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Registered Trustees of Chama cha...
Habari Kuu: Ghana Yaupiga Chini Mkataba wa Dola Milioni 109
Serikali ya Ghana, chini ya Rais John Dramani Mahama, ilikataa rasmi mkataba wa afya wa miaka mitano wenye thamani ya dola milioni 109 (zaidi ya bilioni 300 za Kitanzania) uliopendekezwa na serikali ya Marekani. Uamuzi huo...
Lazima tukubali ukweli kwamba Waswahili na Wabantu hatuna historia kubwa kuu ya kale kihivyo na kwa hiyo hatuna mengi ya kujifunza, kuchangamsha na kuimarisha misuli ya bongo zetu kutoka kwenye historia yetu na tamaduni zetu wenyewe na kati yetu.
Kwa hiyo kwa kiasi kikubwa tunahitaji...
Lissu aliomba miongoni mwa nashahidi wa kwenda mahskamaani ni rais Salia, Waziri mkuu mstaafu Majaliwa na makamu wa rais mstaafu.
Jaji akisoma hukumu ameeleza kwa nini rais hawezi kwenda, ila hajaeleza kwa nini waziri mkuu na makamu wa rais hawawezi kwenda mahakamani.
Kwa ninavyoona, Waziri...
HUU👇👇 NDIO UAMUZI ULIOSOMWA NA KIONGOZI WA JOPO LA MAJAJI WATATU WANAOSIKILIZA SHAURI HILI, MH. DANSTUN NDUNGURU
".....Mtakumbuka kuwa tarehe 21/08/2025 baada ya Mahakama kutoa uamuzi kuwa mshtakiwa ana kesi ya kujibu, mshtakiwa aliwataja mashahidi 11 na shahidi wa kwanza ni Samia Suluhu...
Wanabodi
Tangu jana nilipoiona ile Taarifa kwa umma ya VP kujiuzulu, nilipata shock sikuiamini nikiamini ni fake news, mpaka leo nilipoiona Taarifa ya Ikulu, ndio nimeamini!.
Nilipata shock kwasababu niliamini he is the best that we have for 2030. Hata hivyo, licha ya kujiuzulu, kwasababu...
Baada ya mtuhumiwa kuanza kutoa ushahidi , wake inaonekana Waendesha Mashtaka na Meza Kuu Wana tashwishwi ya Mtuhumiwa Kumaliza Ushahidi wake , mapema kadiri inavyo wezekana bila kuzungumzia Ushahidi muhimu ya Baraza la Ulinzi na Usalama wa Njia, kama Aliyekuwa Makamu wa Raisi na wengineo
Umeishi kwenye ndoa, mkajenga mali pamoja, halafu ndoa ikavunjika - je, kila mmoja anaondoka na 50%? Mahakama ya Rufaa imesema: si lazima.
Mahakama ya Rufaa nchini Kenya imeamua kuwa kuwa kwenye ndoa pekee hakumpi mwenza haki ya moja kwa moja ya kupata nusu ya mali ya ndoa. Badala yake, mgao...
Seneti ya Kenya pamoja na Spika wa Seneti wamekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliobaini kuwa haki ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua ya kusikilizwa kwa haki ilikiukwa wakati wa mchakato wa kumng’atua mamlakani.
Uamuzi huo ulitolewa Juni 8, 2026, na majaji E.O. Ogola, Dkt. F...
Wanabodi,
Naomba kulianza bandiko hili kwa kutoa elimu kwa umma,kuhusu gender differences betwen ME na KE, sio vile viungo vya uzazi, ni uwezo wa kufikiri, thinking ability, na namna ya kufikia maamuzi, men thinks, women feels!.
Kuna wanawake, japo ni wanawake kimaumbile, but they think like...
Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam inatarajia kutoa uamuzi wa maombi madogo ya zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa CHADEMA Agosti 28, 2026 saa tisa alasiri.
Maombi hayo yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Said Issa Mohammed na Ahmed Rashid baada ya kesi waliyokuwa wameifungua...
Jambo lenye uhakika siku moja utakufa matatizo, changamoto zote zitapotea ukifa maan hakuna mtu atayerithi matatizo yako unapokufa na zenyewe zinakufa.
Chakushagaza watu kila siku wanalalamika mambo ni magumu wengine wanakata tamaa wanaachana na maisha lakni watu wanajua mwisho wa siku utakufa...
Wakuu hii ni mada ya kutafakari najua ishajadiliwa sana humu ndani ya forum na huko makwenu..sasa tuweke hitimisho japo najua sio rahisi je tuseme moyo umesimama kabisa na umethibitishwa umefariki.Wewe unahisi nini hasa hutokea dakika ya kwanza baada ya hapo?Unadhani ndiyo mwisho wa kila kitu...
Shirikisho la Soka la Misri limewasilisha rasmi malalamiko likitaka kufanyika kwa uchunguzi kuhusu maamuzi ya waamuzi katika mchezo wao wa Kombe la Dunia dhidi ya Argentina uliomalizika kwa kipigo kwa Misri.
Rais wa Shirikisho hilo, Hany Abo Rida, ameamua kupinga uamuzi wa mwamuzi wa Ufaransa...
Kuna siku nilikaa na bibi yangu tukizungumza kuhusu maisha yake ya zamani.
Nilimuuliza swali ambalo lilinifanya nisikie simulizi ambayo hata baadhi ya wajukuu zake hawakuwa wamewahi kuisikia.
Niligundua kuwa zamani alikuwa amesomea na kufanya kazi ya uuguzi, lakini baadaye akaja kuwa mwalimu...
JMT!
Hivi karibuni kumetokea Sintofahamu baada ya mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo machachari sheikh Said issa mohamedi kufukuzwa uanachama na chama chake kwa madai mbali mbali..
hatahivyo baada ya kufukuzwa ameibuka na kudai kuwa ana uhalali wa kuendelea kuwa mwanachama kwa kuwa...
Hakuna uamuzi mbaya kama kutesa watu au kuwanyanyasa kwa namna yeyote ile, huwa mwisho wake unakuwa mbaya sana
Njia ya haraka sana ya kulaaniwa ni kutesa watu na kuwanyanyasa
Laana haiji kwa njia moja inakuja kwa namna tofauti sio lazima njia iliyomlaani fulani ndiyo itakayomlaani na yule...
Wanabodi,
Huu ni uzi wa kuelimishana,
Uzalendo wa kweli wa nchi yako, ni pale unapobaini kuna makosa mahali, unakosoa, na kutoa ushauri namna ya kurekebishasha makosa hayo.
Kwa muda mrefu, sisi humu tumekuwa tukilalamikia hoja mbalimbali kuhusu uendeshaji wa Bunge letu, ukiwemo udikiteta wa ma...
Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) limethibitisha kupokea uamuzi uliotolewa na Kamati ya Rufaa ya CAF kuhusu kupokwa ubingwa wa Kombe la Mataifa la Afrika 2025
FSF imepinga rasmi uamuzi huo ambao wanaona hauna msingi wa kisheria, upo kiholela na hauna uwiano.
FSF inaamini kuna Ukiukaji...