Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) limethibitisha kupokea uamuzi uliotolewa na Kamati ya Rufaa ya CAF kuhusu kupokwa ubingwa wa Kombe la Mataifa la Afrika 2025
FSF imepinga rasmi uamuzi huo ambao wanaona hauna msingi wa kisheria, upo kiholela na hauna uwiano.
FSF inaamini kuna Ukiukaji...
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyopo jijini Arusha imetoa uamuzi muhimu unaoitaka Tanzania kufanya marekebisho ya baadhi ya vifungu vya Katiba vinavyohusiana na masuala ya uchaguzi na haki za kidemokrasia.
Uamuzi huo umetolewa Machi 6, 2026 katika kikao cha 80 cha mahakama...
Je, Mwajiri anaweza kuomba Mapitio (review) ya uamuzi wa Mh. Rais kwa Mh. Rais huyo huyo kwa kutaka kuongeza vielelezo ambavyo hakuviwasilisha kabla ya uamuzi, ambapo iliamriwa na Mh. Rais kwamba mtumishi arejeshwe kazini na kulipwa stahili zake zote?
Ligi kubwa duniani kama English Premier League (EPL) na LaLiga hazijawahi kuogopa sekta ya betting wala kuweka wazi kuwa Shirikisho la soka la FA litatafuta kampuni moja pekee kwa ajili ya michezo ya Manchester United dhidi ya Manchester City au Arsenal dhidi ya Tottenham Hotspur. Badala yake...
Hili ni swali la logic/mantiki au kisheria.
linalopaswa kujadiliwa kwa haki na uwazi.
Je tupambane na vyombo vya kutoa haki kisheria kwa kumobilize vilio mahakamani?
Je wale tusiokuwa na uwezo wa kumobilize waombolezaji mahakamani tutapata haki?
Kwa yeyote ambaye amewahi kulea vifaranga, atakubaliana nami kuwa hatua hii ndiyo ngumu zaidi kwenye ufugaji wa kuku.
Binafsi, kitu kilichonichosha sana mwanzoni ni kuamka usiku kuongeza mkaa ili kuhakikisha vifaranga vinapata joto la kutosha.
Unalala kidogo, unaamka mara kwa mara, na bado huna...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano uliofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 2 Desemba 2025, amekosoa vyama vya upinzani vinavyodai kuwa vinazungumza...
Nimeandika ujumbe huu ili baadaye Muumba asinilaumu kwa kushindwa kutoa neno linaloweza kuponya maelfu ya vijana wenzangu
Tumekuwa tukijadili mada nyingi hapa JF kwa muda mrefu sana hasa mada tata ambazo zinafundisha nidhamu, mada zilizopelekea mzozo mkali lakini baada ya wasomaji kutuliza...
Leo Septemba 26, 2025 Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa kauli kufuatia madai ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed kuwa ni ya uongo, hii ikiwa ni muendelezo wa Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA ambayo itasikilizwa tena...
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza uamuzi wa Uingereza kulitambua rasmi taifa la Palestina zaidi ya miaka 100 baada ya Azimio la Balfour kuunga mkono "kuanzishwa kwa makazi ya kitaifa ya Wayahudi nchini Palestina", na miaka 77 baada ya kuundwa kwa taifa la Israel chini ya Mamlaka...
Baada ya kupigwa matukio sana na watoto wa 2000 now nime amua kudate na mtu ambaye kanizidi umri au agement wanawake wa 95 up 97 hawa wana jitambua kwa hali fulani au mna lipi la kuniambia nataka kuoa mwakani
================
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Wakili Rugemeleza Nshala hii leo Septemba 11, 2025 akiongea na Wanahabari nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam amesema Tundu Lissu ameiomba Mahakama kumuachia huru kwa madai kwamba yale yote yaliyofanyika katika Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu...
Moja kati ya falsafa kwenye medani za vita ni kukimbia ukiona unaelekea kushindwa kuliko kuendelea na kuishia kusambaratishwa.
If you run away, you have lost the battle, not the war. Kwa sababu, unaweza kurudi nyuma tena na kupanga mashambulizi na kurudi tena kwenye uwanja wa vita.
Kwa hiki...
Barua husika hiyo OFFICIAL statement from CAF.
The body will release the same Next Week.
CAF DECISION STATEMENT
Following a thorough review of the FIFA match report, referee assessments, and official video footage of the CAF Africa Cup of Nations Qualifier between Kenya (Harambee Stars) and...
Mange Kimambi aelezea jinsi alive furahishwa na uamuzi wa Samia kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge jijini Tanga.
My take : Msishangae Mange akabadilisha gia angani akaikacha " Timu" Yake ya sasa hivi, akahamia Timu Samia.
DODOMA. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na CCM dhidi ya Mchungaji Godfrey Malisa anayepinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho.
Mchungaji Malisa aliyefukuzwa uanachama Februari 10 mwaka huu...
Baraza la Katiba la Cameroon limeunga mkono uamuzi wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo wa kumwondoa kiongozi wa upinzani Maurice Kamto katika uchaguzi wa urais wa tarehe 12 Oktoba.
Wakati mwanasiasa huyo machachari akiondolewa, Rais Paul Biya mwenye umri wa miaka 92 — ambaye pia alikumbana na...
Wakuu
Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi.
Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu.
Yaani ni kama...
Ndugu zangu Watanzania,
Kiukweli CCM itabakia kuwa chama kiongozi Barani Afrika, itabakia kuwa chama chenye heshima na kuheshimika Barani Afrika na Duniani kwote kwa ujumla wake. CCM itabakia kuwa chama cha kuigwa Barani Afrika,itabakia kuwa chama kisichoyumbishwa wala kuyumba.
Uimara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.