Msaada: Namna ya kulipia maombi ya mafunzo ya Ualimu

Kimpyempye

JF-Expert Member
Dec 11, 2018
445
1,000
Hivi karibuni Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilitangaza maombi ya mafunzo ya ualimu ambayo deadline ya kuomba ni kesho kutwa.Naona ukiingia utakuta kuna options ama njia mbalimbali za kulipia. Cha ajabu haijaelezwa muombaji anatakiwa kulipia shilingi ngapi!Mwenye ufahamu msaada tafadhali
 
f de solver

JF-Expert Member
Feb 12, 2017
1,587
2,000

Kuna watu bado mnasoma ualimu
 
Statistics

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
1,561
2,000
Wafunge vyuo vya ualimu, wavifungue 2040 kwa ajiri ya kureplace.

70% ya walimu watastaafu kuanzia 2045
 
lugabussa

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
212
250
Wafunge vyuo vya ualimu, wavifungue 2040 kwa ajiri ya kureplace.

70% ya walimu watastaafu kuanzia 2045
Umeongea kitu kizuri Sana.

Naumia.sana pale ninapo ona wadogo zangu wengi wakiomba kwenda kusoma kozi ya ualimu.

Huku graduates nikiwemo Mimi tukiwa tumepigwa bench kitaaa

Ajira elfu Sita tulioomba zaidi ya elu 90 nafikiria baada ya miaka 3 au 4 itakuaje

Yote kwa yote Ni kumuachia Mungu kila mmoja anabahati yake.
 
Kimpyempye

JF-Expert Member
Dec 11, 2018
445
1,000
Umeongea kitu kizuri Sana.

Naumia.sana pale ninapo ona wadogo zangu wengi wakiomba kwenda kusoma kozi ya ualimu.

Huku graduates nikiwemo Mimi tukiwa tumepigwa bench kitaaa

Ajira elfu Sita tulioomba zaidi ya elu 90 nafikiria baada ya miaka 3 au 4 itakuaje

Yote kwa yote Ni kumuachia Mungu kila mmoja anabahati yake.
Ndugu yangu tatizo la ajira ni la kidunia. Hivi leo fani gani inauhakika wa ajira?Hakuna hata moja. Ila ninakuhakikishia ipo siku Walimu wengi watapata ajira. Uhitaji bado ni mkubwa, udahili wa wanafunzi unaongezeka, idadi ya watu inaongezeka kwa kasi na mashule yanaongezeka kila uchao. Mtaajiriwa tu siku moja
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom