tuungane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord Denning

    Twendeni X (Twitter) tuungane na Mange kumuomba Trump kituo kinachofuata kiwe Tanzania

    Tumechoka kutekwa, kuuliwa, kufunguliwa kesi za uongo, kulawitiwa na kupotezwa. Tumechoka wachungaji na mapadre kushambuliwa, kutekwa na kutishwa. Tumechoka walimu kutekwa na kupangiwa cha kufundisha madarasani. Tumechoka kugombanishwa kidini huku masheikh wakitumwa kusema watatukata vichwa...
  2. stakehigh

    PostGE2025 Live zinazofuata tuweke watu wa kututafutia fursa za masoko nje, na sisi watz tuungane kwenye kilimo, wasikae tu nje bila umuhimu wowote

    Wale mliokosa kazi mnasubiria kuandamana, mchongo mpya ni kwenye izo izo spaces hao wanaowahamasisha mfanya vurugu sasa ni mda wa kufunga hio chapter na waanze kutumika kuleta fursa kwa wote kwenye izo live, kama ni masoko ya vyakula uku mashamba yapo ya kutosha mpaka yanamwagika, kama ni ajira...
  3. BigTall

    Stephen Wasira: Tusahau mchakato wa Uchaguzi, sasa tuungane kusaka Dola

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kwamba kazi ya chama hicho kwa sasa ni kuisaka dola kwani mchakato wa kura za maoni zilishapita hivyo hakuna sababu ya kuwa na mgawanyiko tena. Wasira ameyasema hayo Agosti 31, 2025 alipokuwa akizungumza na...
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    CCM imetutoa mbali: Tuungane kukitetea chama chetu kilichotutajirisha

    Wakuu, chama kimeporwa na genge la wahuni aka wana mtandao. Tusaidieni kukirudisha mikononi mwetu ili mambo yakae sawa. October tunatiki, mama yetu kipenzi tunakupenda sana. No reforms no election.
  5. Pdidy

    WANA SIMBA TUUNGANE KUISHABIKIA YANGA LEO NEW AMAN STADIUM

    NAJUA NAWAKERAAA OMBI LANGU TU SISI WANA SIMBA WOTE TUUNGANE KUISHABIKIA YANGA LEO NEW AMAN STADIUM crdb final HAWA SINGIDA WALICHOTUFANYIA SIO KIZURI KABISAA KABISAA sisi SIMBA MOJA
  6. Noel france

    Kwa sasa inatosha,itabidi tuungane na wana Mbeya kumtafuta Mdude. Masaa 24 hadi tumpate.

    Ndugu zangu Watanzania,naombeni tushirikiane ili tuwe salama ili si jukumu la watu wachache na wala si swala la viongozi wa chadema pekee yao. Tafadhali tunaomba sana tuamke tupambanie haki zetu tukiwa kama nchi huru na wala hatupo utumwani. Tukisimama kwa pamoja tunakuwa salama sana kuliko...
  7. P

    Kwa macho ya mwanadamu Dr. Mpango anaonekana ni mcha Mungu

    Mwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo (vinavyoonekana na visivyoonekana), kama itakupendeza mtumie mwanao Dr. Mpango kuliokoa taifa letu. Umaskini wakutengenezwa unatuumiza sana. Watanzania tunaumia, 😭😭😭 Watanzania hatuna furaha kabisa,😭😭😭 Mioyo yetu imekufa ganzi 😭😭😭...
  8. Kisesetusese

    Tuungane tuipinge siku hii April Prank fool day

    Nashukuru hadi muda huu sijakutana na prank yoyote ile. Asili halisi ya Siku ya Wajinga (April Fools' Day) haijulikani kwa hakika, ingawa nadharia kadhaa zimependekezwa. Kuna mjadala kuhusu uhusiano kati ya tarehe 1 Aprili na ujinga katika kazi ya Geoffrey Chaucer, The Canterbury Tales (1392)...
  9. BICHWA KOMWE -

    Starlink inasimikwa lini Tanzania? Tuungane kwa pamoja

    Wasalaam! Natoa rai, na niwakumbushe, tunahitaji huduma ya starlink kuliko kitu chochote Tanzania. Kwa sisi tunaoishi vijijini tutakuwa tumeponywa na ujio wa huu mtandao ukizingatia kwamba makampuni ya simu yameshindwa kufikisha huduma katika maeneo ya mbali. Nchi karibu zote Afrika tayari...
  10. Meneja Wa Makampuni

    Wadau wote wa Nishati Vyuo Vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K Tuungane Kutazama Mkutano wa Nishati Afrika 27-28 January 2025

    Lengo la Mkutano huu ni Waafrika Millioni 300 wakiwemo Watanzania Millioni 8.3 kupata umeme ifikapo mwaka 2030. Tazama Live Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Wadau wote wa nishati vyuo vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K tuungane kutazama...
  11. R

    Kwa hili limetokea Leo, Tuungane na Bella Kombo kuimba " Mbona kama naota"🎼🎵🎶

    Hellow Tanganyika, Katika wimbo huu Kuna mashairi yasemayo, "Alipoturejesha tulikuwa waota ndoto, hatukuamini macho yetu*2🎶 "Sio free mason, ni Mungu anetenda"*3🎶 Sio mazingaombwe, ni Yesu amefanya"*5🎶 Ameteeeenda Bwanaaa anetendaaaaaa*6🎶 Siamini, siamini ,Leo amenikumbukaaaaaa*4🎶🎵...
  12. ginyisi

    Nina safari ya Singida kabla ya sikukuu, mwenye gari tuungane

    Habari mwenye anasafiri Singida anipe lift booking zinasumbua sana Asante
  13. G Sam

    Wanachadema tuungane tumwambie Mwamba inatosha, asante kwa kazi nzuri mzee

    Kusema kweli katika siku ambayo nitachafukwa basi ni siku ambayo Mwamba ataamua tena kurudi ulingoni na kugombea muhula wa tano. Nitachafukwa sana niwe mkweli. Kama kuna siku nitampa Mwamba heshima yake basi ni ile siku atakayosema kuwa this time inatosha naomba nipishe damu mpya nibakie kuwa...
  14. Lady Whistledown

    Maadhimisho ya 16 Days Of Activism: tuungane kuwalinda Wanawake na Wasichana dhidi ya Ukatili

    Leo tunahitimisha Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, kipindi muhimu kilichotumika kupaza sauti dhidi ya ukatili unaowaathiri mamilioni ya watu duniani, hususan wanawake na wasichana. Ukatili wa kijinsia sio tu changamoto ya mtu binafsi bali ni tatizo la kijamii linaloathiri...
  15. U

    Tuungane pamoja na tusome bila kuchoka Zaburi ya 109:8-14 dhidi ya wanaotaka kuliangamiza taifa teule la Israel

    Kichwa cha habari chahusika hapo juu Tuungane na tusome bila kuchoka zaburi ya 109:8-14 dhidi ya magaidi na ndugu zao wote wanataka kuliangamiza taifa teule la Mungu. ✓"Siku zake na ziwe chache, Usimamizi wake na atwae mtu mwingine. 9 Wanawe na wawe yatima, Na mkewe na awe mjane. 10...
  16. uran

    FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

    Match Day. KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO #nguvumoja# 2' Mpira umeanza hapa Kibu anapoteza mpira wakati anakimbia kufanya mashambulizi. 16' Mabululu anaipatia Al ahly Tripoli goli la kuongoza. 0-1
  17. MONEY 255

    Traders tuungane kwa pamoja kuwa komboa vijana wenzetu kwenye depression

    Habarini za saiz wakuu, napenda kutoa wito huu kwa Traders wenzangu....waje hapa tushare analysis. Nawasilisha.
  18. M

    Mgombea wa urais Iran: Waislamu tuungane kuitetea Gaza

    Mmoja wa wagombea wa urais nchini Iran ametoa mwito kwa Waislamu kuwa na umoja na mshikamano katika kulitetea taifa madhulumu la Palestina, hasa wakazi wa Ukanda wa Gaza wanaokabiliwa na mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel tokea Oktoba mwaka jana 2023. Mostafa...
  19. Abraham Lincolnn

    Watanzania tuungane kupinga mabaya haya ya awamu ya sita

    Kwa umoja wetu, Tukiamini sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, Na kamwe watawala hawajawahi kuishinda nguvu ya umoja wa umma ambao ndiyo sisi watanzania, Tuungane kukemea, Kupinga na kuchukua hatua ikibidi kuwalazimisha kung'atuka au kutokurudia makosa kuwarudisha katika viti vyao wakati wa...
  20. Kkimondoa

    Bunge la Tanzania umekuwa muhimili mbovu na usio na tija wala faida kwa Taifa

    Bunge ni chombo ambacho kama kingekuwa kinafanya kazi yake ipasavyo hakika Tanzania ingekuwa mbali sana kwa sasa. Lakin Bunge la Tanzania ni miongoni mwa mabunge ya hovyo na hasara kwa Taifa, halina msaada wala mchango wowote ule kwa taifa hili. Bunge linatia hasara Serikali kila mwaka. Bunge...
Back
Top Bottom