Tunduma is a town in Songwe Region, Tanzania, on the border between Tanzania and Zambia. It has border posts for both the Tanzam Highway and the TAZARA railway (for which it has a station) linking the two countries. It is located 103 km southwest of Mbeya. It is also the junction for the tarmac road which runs via Sumbawanga through the remote far western districts of Tanzania to Kasulu and Kibondo in the north-west. According to the 2012 census, it has a population of 97,562.
Msanii wa Kizazi kipya Mkoani Songwe, Almas Tz amechukua fomu kugombea Udiwani Kata ya Mwaka Kati, Tunduma mjini.
Almas Tz anaye tamba na kibao chake cha "Mwakata" amechukua fomu mapema June 28 2025 katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi Kata ya Mwaka Mjini.
Wazee huku Tunduma ni changamoto kuvuka aisee siku saba foleni haitembei, huu msongamano wa malori katika mpaka wa Tanzania na Zambia upande wa Tunduma ni kero kubwa sana na hali hii inakwamisha Uchumi wa watu wengi na unawafaidisha wachache.
Kuna kiongozi wa masuala ya Usalama (jina...
Kazi ya jeshi la polisi ni usalama wa raia na mali zao. Sasa hii kuwakamata mawakala wa forodha wasiovaa sare inahusikaje kwenye majukumu yao? Mbaya zaidi ni raia wa nchi jirani ambayo hiyo sheria ya clearing agents kuvaa sare eneo la forodha haiwahusu. Hawa wazambia walikuwa na vitambulisho cha...
Habari,
Kati ya maeneo haya ni wapi kuna unafafu wa kununua ardhi (shamba) Mluo, mbozi, mbeya, tunduma na Makuyuni ni kwa lengo la shughuli za kilimo cha umwagiliaji au Highlands yenye vipindi virefu vya mvua. Na bei kwa bei nafuu around 200k to 700k kwa hekari pawe panapitika kwa gari...
Baada ya kipindi kirefu cha uhaba wa pesa, madeni na stress mara paah mchongo huu hapa inabidi nisafiri mpaka Border Tunduma nakabidhiwa kibunda kwa ajili ya safari na kazi, what a wonderful day nafanya clearance ya madeni yangu na tayari kwa ajili ya safari nakutanishwa na suka wa Scania R440...
Jeshi la Polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya madereva bajaji Tunduma, ambao wamefunga barabara za kuingia na kutoka katika mji huo wakishinikiza serikali kuondoa msongamano wa malori kwenye eneo hilo unaokwamisha shughuli zao.
Na Mwandishi Wetu-Momba
JOTO kisiasa katika majimbo yaliyopo mkoani Songwe limeamza kupanda baada ya Mbunge wa Tunduma, David Silinde kudaiwa kuandaa vijana kumzuia mbunge wa Momba, Condester Sichalwe asihudhurie mkutano wa Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya...
Border ya tunduma mtuambie mna maana gani.kudai cheti cha covid 19 wakati Tanzania haina covid 19, mamlaka mko wapi maana hakuna sehemu yoyote cheti hiki kinatakiwa si Zambia wala Zimbabwe wala souz wala Botswana nyie border ya Tanzania Tunduma cheti cha covid cha nini kimekuwa kero sana kwa...
Kuanzia January ukiangalia unaweza sema Tunduma ni Rukwa ama Sumbawanga maana ndio mambo yao
Kwa mwezi kila mara lazima watoto wanakufa kwa kung'atwa na mbwa huko Tunduma
Juzi nimesikitika sana wanalalamika wananchi mtoto wa 8 kufa toka Februari mwaka huu
Na viongozi wameombwa kusaidia...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo ameunda kamati malumu kwa ajili ya kufanya uchunguzi na kubaini sababu zinazosabaisha msongamano wa malori katika mpaka wa Tanzania na Zambia upande wa Tunduma ambao umekuwa ukilalamikiwa mara kwa mara na madereva hali ambayo imekuwa kero kwa watumiaji...
Elisha Asa Mwambene, Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mtaa wa Msasani, Tunduma, Mkoa wa Songwe, ameibua mjadala mzito kuhusu kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu.
Kupitia mahojiano na wanahabari, Elisha amesema vijana...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo , Waziri wa Maji, Jumaa Aweso wameshuhudia utiwaji saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Tunduma, Vwawa, Kati ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Eng. Mwajuma Waziri, kwa niaba ya Serikali na Meneja Mradi...
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amemuagiza Mkandarasi Kutoka kampuni ya CCECC ya Nchini China anayetekeleza mradi wa Maji Tunduma - Vwawa kuhakikisha anakamilisha kazi kwa wakati huku akisisitiza kuwa akimzingua naye atamzingua.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema hatua ya Halmashauri ya Tunduma kutoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 4.6 kwa vikundi 150, ikiwa ni mikopo ya Halmashauri ya asilimia 10 itokanayo na mapato ya ndani kwa ajili ya vikundi...
Mbunge wa Jimbo la Tunduma, David Silinde, amewapa ujumbe mzito wanaotamani kugombea nafasi yake katika Uchaguzi Mkuu ujao, akisisitiza kuwa maendeleo makubwa yaliyofanyika chini ya uongozi wake yanampa uhakika wa ushindi mkubwa yeye na Rais Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza jana Februari 22...
Kero yangu kubwa ni kwa mamlaka inayosimamia huduma za Afya katika Halmashauri ya Tunduma Mkoani Songwe, kumekuwa na tatizo la wauzaji wa Nyama kuuza nyama zenye mashaka ya ubora na baadhi wanauza zikiwa zimeharibika.
Nimefuatilia na kubaini kuwa mara nyingi nyama hizo zimekuwa zikiweka kwenye...
KAMATI YAPONGEZA MATUMIZI YA MAPATO YA NDANI KUKAMILISHA MIRADI TUNDUMA.
Kamati ya kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeipongeza Halmashauri ya Mji Tunduma kwa kutumia mapato ya Ndani kujenga shule ya Sekondari ya Uwanjani.
Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Justin Lazaro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.