tundu lisu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Lissu kutachangiwa pakubwa na mikutano ya wiki nzima isiyokuwa na maana ya Godbless Lema

    Ukifuatilia Press conference za Godbless Lema kwa wiki nzima, hazina impact yoyote kisiasa kwenye kumuongezea Tundu Lisu kura za wajumbe wa mkutano mkuu na hatimae kumfanya awe mwenyekiti wa chadema Taifa, Ispokua zinasaidi pakubwa, kummpambanua Lema mwenyewe ni mtu wa aina gani. Kwasababu ni...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kambi ya Lissu ikiongozwa na Lema na genge lake yajipanga kuvuruga uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya taifa baada ya kugundua kushindwa vibaya

    Baada ya mahesabu ya mgombea uenyekiti wao kugoma kabisa, na kwamba kura za wajumbe wa mkutano mkuu haziko upande wao licha ya kufanya press conferences wiki nzima kwa kutambulisha wajumbe, wenyeviti na makatibu wa chadema feki, Hivi sasa wanajipanga kuingia ukumbini kwa lengo la kuhakikisha...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Godbless Lema na wanaomuunga mkono tundu lisu wana hali ya kuchanganyikiwa na kuweweseka kuelekea uchaguzi wa chadema jan.21.2025?

    Leo ni pres conference ya 3 ya Godbless Lema akihaha kujieleza na kumuelezea Tundu Lisu kwa umma ambao hauna kura katika mkutano mkuu wa chadema taifa, watakao piga kura Jan.21.2025, kumchagua mwenyekiti wa chadema Taifa. Lema na wanao muunga mkono Lisu hawaminiki na wala hawakubaliki kwa...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa, hakuna mwenyekiti wa kanda au mkoa wa CHADEMA anaemuunga mkono Tundu Lisu kua mwenyekiti wa CHADEMA taifa, kulikoni?

    Aliwakosea nini hawa wenyeviti wa chadema wa mikoa, hata asiwepo hata moja wao tu kumuuunga mkono Kibaraka kwenye nafasi ya mwenyekiti wa Taifa? Nimemskia mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mbeya, kwa dharau sana akihoji kwamba, mtu ambae hana uhakika hata na usalama wake tu, ndio apewe uenyekiti wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tungekuwa tuna uchaguzi huru na tungekuwa tunafanya uchaguzi wa kumuangalia mtu sahihi basi Lissu angekuwa Rais

    Lisu ni mtu sahihi Kwa Taifa ili Kwa bahati Mbaya Taifa letu wapiga kura hawangaliii uwezo wa mtu bali wanaaangalia chama na Dola bali siyo uwezo wa mtu. Lisu uwezo wake ni sawa na uwezo wa MKAPA, JPM
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu havai tena bullet proof vest, kulikoni?

    My friends, ladies and gentleman, Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi havai tena bullet proof vest aliyoivaa kwa mbwembwe sana baada ya kudai kupigiwa simu na mtu aliemuita mzito na muhimu sana humu nchini, na kumshauri ati ajiongezee ulinzi ati usalama wake uko mashakani. Nae kwa kukurupuka...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda Tundu Lissu akawajibishwa kwa kukiuka katiba, sheria na kanuni za uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa

    Bado haijabainika wala haijawekwa wazi kwamba ni sehemu gani ya katiba, sheria au kanuni za uchaguzi zilizokiukwa, lakini tayari mchakato wa kumuita na kumpeleka mbele ya kamati mahususi juu ya mambo haya umekamilika. Hofu kubwa imetanda kwenye kambi yake na wanasheria wamejipanga vilivyo...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu akishinda uchaguzi chadema watabaki Chadema, akishindwa wafuasi wake watahama chama kwani hawana uvumilivu

    Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama. Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu akiwa Mwenyekiti Mpya; Mbowe akawa mshauri wa Chama, Dr. Slaa atarejea CHADEMA?

    Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama. Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hawezi kumshinda Freeman Mbowe kwa chochote na kwa vyovyote vile atafedheheka sana hususani kwenye uchaguzi wa CHADEMA taifa Januari 21

    My friends, ladies and gentleman, Na huu ndio ukweli mnapaswa kufahamu na kuuelewa vyema kwamba, Tundu Antipas Mughwai Lisu, hawezi kumshinda Freeman Aikali Mbowe kwa namna yoyote ile, hususan chadema inapoelekea kwenye uchaguzi wa ngazi ya taifa Jan.21.2025. Hawezi kumshinda kwa kura za...
  11. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Tundu Lissu, baada ya uchaguzi kupita, Mungu anataka muwe kitu kimoja kama zamani ili muwalindie watanzania hiki chama

    Japokuwa kwa watu wa majira na nyakati wameshajua nani mshindi kwenye sanduku la kura, lakini pia mambo hubadilika kama mmoja wao akiamua kumuachia mwenzake. Ila wakiendelea kugombea wote wawili na wakaingia kwenye kupigiwa kura, basi kuna mmoja ana neema zaidi ya mwingine kupitia mwaka huu...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Katika Kanda 10 za CHADEMA, Lissu anaweza kuambulia kura kutoka maeneo gani?

    Kimsingi, CHADEMA kama chama cha siasa nchini, kina kanda 10 za kiutawala. Na kanda zote 10 zina viongozi waandamizi ambao wamechaguliwa awamu hii katika uchaguzi ambao ulianza mapema 2023 na utahitishwa rasmi na uchaguzi ngazi ya Taifa Jan.22,2025. Viongozi karibu wa kanda zote 10...
  13. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Taarifa za ndani zinadai Mbowe anashinikiza Lissu akatwe kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa

    Taarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake. John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo itamtafuna na kizazi chake. Mbowe must go, amechoka na amechokwa!
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye kesi yoyote ya High Court /Court of appeal ambayo Tundu Lissu alisimamia kama wakili tafadhali aniwekee hapa

    Nina shida na kesi zake naomba mwenye nakala aniwekee hapa. Nimesearch kwenye TANZLII sijapata
  15. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Mbowe na wapambe wake tuambieni kiasi gani mbowe alitumia kumsaidia Tundu Lissu tumlipe

    Eeeh tusichoshane kwa mijadala isiyo na afya ooh Lisu hana adabu katumia sana pesa ya Mbowe haya sasa nguvu ya umma tunamtaka Lissu nyie timu mbowe leteni gharama alizotumia boss wenu tumrudishie
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Lissu, Uwezo wao na Madhaifu yao

    Copy & Paste from Twitter. MBOWE VS LISSU SIFA ZAO NA MAPUNGUFU YAO SIFA ZA MBOWE 1. Ni Kiongozi mwenye uwezo wa kuunganisha palipo vunjika kwenye Jamii. 2. Ni Kiongozi ambaye ni Mtulivu 3. Ana uwezo wa kuwalea na kuwakuza vijana japo baadae wengi humgeuka na kukimbilia chama tawala. 4...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hotuba binafsi ya Tundu Lissu mbele ya wanaombackup huko ulaya ni ya kinyonge sana na ina dalili zote za kukata tamaa

    Ni wazi muungwana ameenda kuomba milioni 30 alizotakiwa kuchangia na kamati kuu, kama sehemu ya gharama za mkutano mkuu wa chadema taifa na uchuguzi wa Chadema ngazi ya taifa. Hata hivyo ni kama vile hana uhakika wa kuipata. Ieleweke bayana kwamba, mgombea huyu mbinafsi sana wa uenyekiti...
  18. Msanii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Slaa: Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania leo na siyo Oktoba 2025

    Ameyasema hayo kupitia ClubHouse kujadili hotuba ya Tundu Antipas Lisu kulinganisha na hotuba ya Rais Samia hapo jana. Dkt Slaa, amesema Lisu amezungumza mambo muhimu na msingi kuliko Rais Samia. Anasema Dkt. Slaa kwamba, Rais Samia hajazungumzia rasilimali za nchi kwa mlinganyo wa wanufaika...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni mchoyo na mbinafsi, politicaly speaking

    Hana uchungu na chadema, na huenda hata kadi yake ya uanachama hajailipia kwa kipindi kirefu sana. Infact, Kibaraka ni mchoyo na mbinafsi asiependa kutoa bali kupokea tu, tena kwa kuombaomba kuchangiwa na wadau, kwa maigizo yenye hisia kali za kusisimua, akitia huruma na unyonge kupindukia ili...
  20. kyagata

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi Tundu Lissu ni mtu wa aina gani?

    Huyu mtu bwana hana shukrani, Yeye mwenyewe kwa kinywa chake aliwahi kukiri kuwa yeye na Magufuli waliwahi kuwa marafiki wazuri tu siku za huko nyuma na kuna majina yao ya utani nimeyasahau walikua wanaitana. Mara ghafla Magufuli alivyokua Rais Lissu akaanza uchokozi wa kumtukana Magufuli...
Back
Top Bottom