Tundu Lisu ilibidi aachiwe tangu November 3 baada ya samia kuapishwa .
Naona umepita mwezi sasa tunaona kimya, kesi haisikilizwi na yeye bado hajaachiwa.
Au je mamlaka husika wanaona nchi bado haijakaa sawa kutokana na hofu ya maandamano au wanahisi atakuwa chachu ya watu kuandamana akiingia...
Hamjambo wote!
1. Ndugu zangu Watanzania, mnakumbuka miezi ya nyuma kidogo niliandika nyuzi takribani tatu mfululizo nikiisihi serikali kumiachia Tundu Antipas Lisu.
2. Nafikiri wengi wenu mnakumbuka. Niliandika vile kutokana na sababu kuna Jambo na mambo mengi niliyaona katika spiritual...
Moja kwa moja.
Nilikuwa natazama kwa umakini YouTube hoja za Lisu wakati alipoalikwa kuongea katika kongamano Moja katika chuo cha Makerere Uganda.
Kutokana na Maelezo yake alimsifia Mwalimu kwa jitihada zake za ukombozi Afrika , kutopenda ufisadi na kujilimbikizia Mali Kisha akaenda kwenye...
Naomba niulize wajuvi na wajuzi wa mambo ni kweli wanawake wana huruma sana kimaumbile sasa swali langu Nyerere hakumnyonga bibi Titi Mohamed; Je, awamu hii itamnyonga Tundu Lissu mkatoliki?
Tena hapa kuna mbadilishano wa dini na jinsia.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani Katika Hekalu Jeusi
Kwa heshima yote isiyo na hila, nilianza kuiomba serikali tangu august 13 kuona namna ya Kumuachia Tundu Antipas Lisu. Hii ni kusema mpaka tarehe 7 septemba, zitakuwa sio chini ya siku 24 tangu nitoe ombi hilo.
Lilikuwa Ombi la heshima na...
Na hiyo itakua ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, kwamba Tundu Lissu atakua hana tena haki na atakua amepoteza kabi fursa, sifa na vigezo vya kisheria kugombea nafasi hiyo nyeti kitafa.🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Hamjambo Wote!
Mwezi septemba unaoanza kesho utakuwa na hekaheka nyingi sana. Mambo mengi makubwa yanatarajiwa kutokea.
Ni mwezi ambao Wagombea na mahasimu wao wanatakiwa kujihami zaidi na kujilinda huku wakifanya mashambulizi ya kushtukiza ya kimkakati.
Wagombea Wapya katika nafasi mpya kama...
Hamjambo!
Kete pekee ambayo imebaki kubadili upepo wa kile kinachoendelea ndani ya taifa hili ni kumtoa Tundu Lissu hasa nyakati hizi ambapo Kampeni za uchaguzi zitakuwa zimepamba moto..
Kumtoa Tundu Lisu Mahabusu kutaipa nguvu Serikali na kuondoa kelele zinazoendelea na matukio mapya...
Salaam,
Ikiwa tuhuma za Polepole Zina ukweli, basi chama kifanye utafiiti wake, maana wananchi wa kawaida ambao hawakujiandikisha, wameanza uchunguzi wao binafsi kumthibitishia tuhuma hizi.
Nawashauri CDM nao wafanye utafiti, isijekuwa Lissu mtuhumiwa wa uhaini naye ameandikishwa kutiki...
Maana,
kwanza, kila analolianzisha halifanikiwi,
Kwa mfano alikua mbunge hakuinjoy, hakumaliza muda wake wa ubunge na wala hakufanikiwa kwa lolote ikiwa ni pamoja na kuwaletea maendeleo wanainchi wa singida mashariki. Bilashaka yoyote, nadhani hata watu wa singida wameshasahau kama kuliwahi kua...
Je, Hamphrey Polepole anaandaliwa kurithi mikoba ya Lisu na nafasi ya uenyekiti wa chadema masalia Taifa?
Kwanini sasa, na mbona mapema mno?
Kwasasababu kuna kila dalili na viashiria vya chadema masalia kwa ujumla wake kuhamisha ushujaa wa Tundu Lisu kwa polepole. Mtu wa watu anaandika mpaka...
Wakuu!
Ukweli siku zote ni mchungu, ukweli unatabia ya kuumiza na kuibua hasira.
Haya ni mawazo yangu binafsi.
Mtu yeyote anaye ongea sana, ni yule akifika mtaani kwenu siku moja tu inamtosha kwake kujuana na kila mtu utadhani kazaliwa eneo husika,
interest zote zipo kwa watu, ni mcharuko...
Muungwana amejawa hofu, mashaka na wasiwasi wa kiwango cha juu mno. Ujasiri umeyeyuka kabisa, muungwana anatia huruma tu hivi sasa. Ama kwa hakika, majuto ni mjukuu, na kifo cha nyani miti yote huteleza.
Sote ni mashuhuda, Tundu Lisu amekata tamaa kabisa kuhusu kesi mahakamani, na imefikia...
Anajisahau mno mahakamani na kudhani kwamba anajieleza mbele ya wale wasio jua sheria aliozoea kuwabeba ufala kifikra, kwamba eti anajua shreia bara-bara, kumbea hana lolote. Ndio maana, badala ya kujitetea kwa mujibu wa sheria kulingana na anachotuhumiwa nacho, Tundu Lisu anapoteza muda mwingi...
Unadhani amesense kitu gani kisicho cha kawaida, hata ghafla awe mtu mwenye haiba ya hofu na huzuni, huku body language ikiwa katika hali ya kukata tamaa kwa kiwango kile?
Anahisi amekosea wapi kujitetea kikamilifu na kwa umahiri wa kisheria alionao hata amefikia hatua ya kuandika insitement...
Hamjambo!
Ujumbe huu ufikiriwe na hatua stahiki zichukuliwe.
Ujumbe huu uwafikie Wakuu, Rais, Vyombo vya Dola na Usalama.
Mimi sio mfuasi wa chama chochote. Pili, Sina maslahi na mtu yeyote. Isipokuwa maslahi ya taifa.
Ndugu viongozi wa serikali, Wakuu, vyombo vya Dola na Rais. Kwa heshima ya...
GT
Tindu Lissu ni mtu na nusu. Yaani yupo gerezani lakini anatema madini hadi waliopo uraiani wanabaki midomo wazi hawana cha kujibu.
Hoja za Tundu Lissu zinakuwa na mashiko na maana kabisa na kila mtu anaona . Kinachobaki ni uonevu tu kwa sababu ya mamlaka ila siyo sheria..
Sisi tupo na...
Hamjambo wote!
Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu.
Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.