Mmefanya kazi nzuri tangu mwanzo, ya kutetea uhuru na haki za wanachadema, ikiwa ni pamoja na haki ya kupiga kura. Wanachadema na wananchi kwa ujumla, wamewaelewa vizuri sana na wanawaunga mkono kwelikweli.
Na katika maeneo mengi nchini mpaka sasa, no reform no elections imepuuzwa, imepingwa na...
Alipinga hadharani tena kwa msisitizo sana kila kitu kilichoamuliwa na ungozi wa kabla yake, na akawafundisha wanachadema wengi tabia hiyo mbaya aliyoiita haki na uhuru.
Tena ilifikia mahali mpaka Lisu mwenyewe anajitokeza hadi mbele ya vyombo vya habari kudai kwamba hakuna mahali kwenye katiba...
Ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono?
Halafu my friends, ladies and...
Ni muhimu kuhitimisha kwa kusema tu kwamba, Tundu Antipas Lisu Chadema imemshinda ndani ya kipindi kifupi tu, na kabisa kuna ishara zote kwamba muungwana hatakua na jipya tena ndani ya Chadema baada ya uchaguzi mkuu, zaidi tu ya kuizamisha na kuipoteza tu Chadema mazima kwenye medani za siasa za...
Ni wazi sisa za vyama vya siasa ikiwemo CCM, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF vinawavutia zaidi wanachama wengi kutoka CHADEMA na kujiunga navyo, baada ya uongozi mpya chini ya Tundu Lissu kushika usukani kuongoza chama hicho ambacho kinaonekana wazi kuyumba na kupoteza uelekeo kutokana na...
Jamani natamani sana taifa letu lipate uhuru wa mara pili, tangu mwaka 1961 mpaka 2025, Tanzania imekuwa chini ya chama cha ccm. Mambo yanaenda hovyo hovyo sana. Angalau mwaka huu Tundu Lisu ameonyesha matumaini makubwa ya "freedom is coming tomorrow" na sera ya "No reform No election"
Katika...
Ukitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na kuongezeka kwa wingi kwa watangaza nia za uongozi wa kisiasa kupitia chadema, ikiwa ni pamoja na...
Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na;
1. Gervas Lyenda
2. Liberatus Mwang’ombe
Na kwamba Terms of Reference (ToRs) zilikua pamoja na mambo mengine Candidate wa nafasi hiyo ya...
Watu kama Tundu Lisu, wangekuwa nchi ambazo hazina uchawa angepewa phd ya heshima, huyu ni tunu ya Taifa, kichwani yupo vzr, lugha yupo vzr sana, speaking skills yupo vzr sana huyu ni hazina ya taifa letu pendwa la Tanzania.
Leo kamchambua Mwl NYERERE katika harakati za kuleta ukombozi kusini...
Naamini hapa ndipo mahali pa kuwa wazi na kueleza kilichopo mtaani ili viongozi wetu kama sio kujirekebisha basi watafute solution ya kudumu kwenye mambo mbalimbali.
1. Raia wengi, wanaamini mtu mwenye courage pekee kuongelea suala la muungano, ni TL.
2. eneo dogo kama zanzibar, lenye watu...
1. Lisu kusema kwa ukali na makeke hakutaitisha CCM. CCM ni waovu, hawatishwi na maneno!
2. Mama yuko agressive supreme of power! hatishiwi na maneno makali/kelele za juu kama za Heche na Lisu!
3. Watanzania mnaowategemea kushinikiza NO REFORMS, NO ELECTION, ili kuleta REFORMS, hawako kama...
Anasisitiza kwamba no reform no election.
Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi.
Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election.
Utata unakuja namna...
Anahujumiwa na wenzake ndani ya chama chake mwenyewe?
Maandalizi yalikua mabovu?
Hajulikani na hakubaliki kisiasa kwao Singida?
CHADEMA haina wafuasi na wanachama wengi Singida?
Au unadhani tatizo ni nini hasa kitaalamu, mpaka mbunge wa viti maalumu tu, awe na uwezo na ushawishi mkubwa...
Kwamba pamoja na uzee wake,
Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma?
Ndugu mdau,
Tundu Lisu...
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku.
Leo Tundu Lisu ameuthibitishia uma wa Watanzania na Dunia kwa ujumla kuwa yeye yupo serious katika kuleta ukombozi wa mara ya pili dhidi ya utawala wa CCM na serikali yake , ambae ni mkoloni mweusi.
Ninaomba watanzania wote wenye moyo wa...
Kabla ya ushindi wa Tundu Lisu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chadema akimbwaga Freeman Mbowe, mchungaji Peter Msigwa alikuwa na kasi ya kutisha kwenye kuishambulia Chadema.
Alikuwa anazunguka mikoani na kwenye vyombo vya habari akiwashawishi watanzania kuachana na Chadema kwani ni chama...
Kwa namna ninavyo mfahamu Boniface mwabukusi itapendeza sana kama akawa mgombea urais wa chadema.
Aina ya misimamo yake na ujasiri wake wakiwa jukwaa Moja wanaweza kumachi vizuri sana na Tundu lisu.
Lakini pia hii inaweza kuiongezea chadema kura za nyanda za juu kusini.
Amesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje.
Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI
Kumbuka:
1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally...
Halafu mbona bado mapema sana my friends, ladies and gentlemen? Yaani wamepoteza umakini kabisa.
Au kuna kitu wamekula au kunywa kinawafanya kusinzia kwa pamoja? Na inaruhusiwa kufanya hivyo kwenye jambo muhimu kama hili? Au ni njaa ndungu zangu? Si wapatiwe chochote kitu basi?
Au ni uchovu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.