tundu lisu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana hadhi ya kupewa udaktaria wa heshima

    Udaktaria wa uropokaji.🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kila nikitaka kumhurumia Tundu Lisu, moyo unaniambia nisubiri kwanza

    Nafsi yangu inanikumbusha miaka ya 2015- 2017 jinsi Tundu Lisu alivyogeuka mwiba kwa Tanzania, akasafiri Ulaya na Marekani kote huko akichafua taifa na kuwatetea wazungu. Tundu Lisu alitetea Acacia waziwazi bila aibu na hakuwa na Soni kuwasaliti watanzania wenzake. Nataka tu kujua jinsi nafsi...
  3. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Star chamber courts: the analogy to Tundu Lissu treason trial by DeepSeekAI

    Tundu Lissu referenced "star chamber courts" during his treason trial proceedings to criticize the lack of transparency and due process in his case. Star chamber courts were established under King Henry VII of United Kingdom in 1487. Under Charles I (1625–1649), it became a tool to suppress...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza naona media ya Tanzania ikimpa coverage ya kutosha Tundu Lisu akiwa kizimbani anajitetea, Hongera sana Upendo Tv ya KKKT!

    Hii niliyoiona Leo Upendo tv nimezoea kuiona Citizen tv kwa akina watangazaji nguli akina Barron, Samy na Yvonne Kuoneshwa Hakimu akiongea mubashara na Tundu Lisu akijetetea mubashara kwenye Taarifa ya Habari ni maendeleo mapya Tanzania Hongera sana Runinga yangu pendwa Upendo tv
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanasheria je kesi ya Tundu lisu ina umuhimu na uharaka kulinganisha na mamia ya kesi zilizopo mahakamani?

    Tunakubaliana kuwa haki ni muhimu kutendeka na ikaonekana inatendeka. Je ni haki kwa kesi ya Tundu lissu kusikilizwa mfululizo na kwa uharaka kulinganisha na kesi nyingi zilizopo mahakamani? Je ni haki kwa mahakama kuharakisha kusikilizwa na kutolewa maamuzi kwa kesi ya Lissu huku tukiacha...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Maslahi ya umma kwenye kesi hii, ni kumwachia huru asiye na hatia aende zake

    Salaam! Nabii Tundu lissu amedai ikiwa ushahidi upo na wamedai upo , basi upelekwe Mahakama kuu, Sasa DPP kudai bado hajaamua Nini kifanyike ni kinyume Cha Sheria na katiba. Maslah ya umma kwenye kesi yake ni kumwachia huru mara moja sababu hana hatia, au apelekwe Mahakama kuu ushahidi...
  7. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania Mimi sio mtabiri, ila hebu tujadili hili kuhusu Tundu Lissu

    Hello wana Jukwaa; Kama nlivyotangulia kusema kuwa mimi sio Mtabiri, wala mfuatiliaji wa siasa kiviile na sijui mengi katika mambo ya siasa. Ila mimi huaga hata katika maisha yangu ya kawaida, hupenda sana kuunganisha Dot kwa yale yalonitokea, niloyapitia na hunipa mwanga kuwa naelekea wapi...
  8. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu; Is it a prosecution or persecution?

    Baada ya kuisikiliza submission ya Mh. Tundu Lisu leo June 16, 2025, kwenye kesi yake ya uhaini nimeikumbuka barua maarufu kama "Letter from Birmingham Jail" ya 1963 Dr. Martin Luther King Jr.'s iliyosema "Injustice anywhere is a threat to justice everywhere," Ukiachilia mbali maelekezo ya...
  9. Tindo

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu mubashara ITV

    Muda huu kesi ya Tundu Lisu inarushwa na ITV Mubashara.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Alianza Nyerere, Sokoine, Tundu Lisu, Mwabukusi, Kisha Askofu Gwajima

    Salaam! Nchi hii wamewahi kutokea viongozi majasiri ambao Katika kusimamia hoja huwa hawageuki nyuma, Sasa huyu ndugu Gwajima kwa hoja zile alizotia kwa Press, Ujasiri wa kuingia bungeni kuwakabilli kautoa wapi kama hana Roho ya Simba? Kwa tulipofikia, Huyu ndiye kiongozi pekee ndani ya...
  11. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania thought experiment - Tundu Lisu &Co. waingie CCM!

    nilikuwa na wazo, kwa nini au kuna ubaya gani kama Tundu Lisu na wenzake wakijiunga na ccm? je, hamuoni kwamba labda wanaweza kuleta mapinduzi chanya zaidi na kufikia malengo yao wakiwa ndani ya system klk nje yake? kwa jinsi mfumo tanzagiza ulivyo ni ngumu kuamini kwamba unaweza kulazimisha...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Yaani Tundu Lissu hatoki, Kila mkipiga makelele ndio mnamponza

    Maneno yangu sio ya unabii wala mitume ni mawazo binafsi na muelekeo wa kesi tokea huko ulipotokea ,tusidanganyane kuna mawakili mimi huwaita mawakala. Kesi ya Lisu ni nzito tena nzito sana kuliko mnavyofikiria ,maneno aliyoyatamka Lisu ambazo video zake zimeanza kuondolewa youtube ,ni...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

    Wakuu, Leo mbali na kuwa ni Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA pia wanasherekea Miaka 32 ya CHADEMA kupata Usajili wa Kudumu, ambapo ulipatikana Januari 21, 1993. https://www.youtube.com/watch?v=6W33TIKrrOE Mbivu na mbichi kujulikana leo, tumeona mengi na kusikia mengi kila upande ukitetea kwake. Je...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Je, ndani ya kamati kuu ya CHADEMA taifa kuna usaliti, uasi au hujuma dhidi ya Tundu Lissu anaesota korokoroni pekee?

    Kwasababu my friends ladies and gentlemen let's face it, Ukitazama kwa makini mienendo ya viongozi waandamizi wa kamati kuu ya chadema Taifa, ukisoma kwa makini body languages zao, facial expressions na hata ukiskiza tones za baadhi ya viongozi waandamizi wa kamati kuu ya chadema Taifa...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hakukuwa na ulazima wa kumkamata Tundu Lissu na kumfungulia mashtaka ya uhaini. Yamefanyika Makosa ya kiufundi. Gia ipi itumike kumuachia?

    Bila Shaka wote Mpo salama! Serikali ilifanya kosa la kiufundi kumkamata Tundu Lisu kwa Makosa ambayo kwa jicho la kawaida tuu unaweza kuona ni ishu ya kisiasa. Ati Lisu mhaini. mwanasheria msomi kama Lisu ati atangaze waziwazi kufanya uhaini mbele ya camera. Kweli! Tukio la Lisu kupigwa...
  16. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa umoja wa ulaya waonyesha mshikamano na Tundu Lisu

    Sauti zinasikika Hadi European union
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amefanya kazi kubwa mno tena kirahisi sana ya kuivuruga na kuibomoa CHADEMA kwa muda mfupi sana, je apongezwe au alaumiwe kwa kazi hiyo?

    Tuwe wakweli ndugu zangu, kazi ya kujenga taasisi na ikasimama vizuri ni ngumu sana, na inahitaji ustahimilivu, weledi, maarifa, hekima na busara za kiwango cha juu sana kuiendeleza. Tundu Lisu alikua Rais wa TLS, na alitumia style na aina hii hii ya uongozi kujaribu kuibomoa TLS kwa kuropoka...
  18. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Sugu boss wako Mbowe ameenda kumuona mwenyekiti Tundu Lisu mabusu wewe umesusa!

    Jamani sugu sijamwona kabisa katika kumpigania Tundu Lisu, au kulani vitendo vya polisi, yeye kama mwenyeki wa kanda ya kusini, yupo kimyaaaaa, ni kama Hajui kuwa mwenyekiti wake wa taifa amekamatwa, Kama Mbowe ameenda kumuona wewe ni nani hasa? Umeshindwa kutoa hata kauli ya kulaini kupigwa...
  19. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Maaskofu kugeuza Ibada ya Pasaka kama jukwaa la kuisemea CHADEMA ni kujitoa ufahamu, mlikuwa wapi wakati Lissu anazungumza lugha za uchochezi?

    Friends and our Enemies, Kama kawaida yao, maaskofu wameendelea na maigizo yao ya kujifanya kuwa wao Wana uchungu zaidi na nchi hii kuliko viongozi wowote wale wa dini. Kinachoshangaza Episodes hizi hujirudia rudia zama baada ya zama,TENA hususan Kiongozi pale juu anapokuwa mfuasi wa Allahu...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi Dhidi ya Tundu Lissu imekamilika

    Tarehe 4 April, jamaa yangu mmoja (siyo mwanafamilia), ambaye ni rafiki na alisoma na Mchimbaji aliniambia kuwa siku 3 kabla alikuwa na mazungumzo na Mchimbaji. Wakati wa mazungumzo yao, huyu jamaa yangu alimwuliza kuwa kutokana na TAL kuanza kutoa elimu kwa wananchi, na watu wengi kuonekana...
Back
Top Bottom