tundu lisu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mijadala Bungeni haina afya kwa Taifa. Tufanye kazi kama Bunge linavyotakiwa kufanya kazi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatilia mijadala ya Bunge na kuongeza kuwa kuna mijadala isiyo ya afya kwa Taifa Amesema: "Kipindi hiki ndugu zangu Wabunge tunatakiwa kupitisha Bajeti za Sekta mbalimbali za Serikali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Naomba jikiteni sana...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu amepitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa?

    Najaribu tu kupitia sifa za uzalendo wa wanasiasa mbalimbali kwa nchi yetu. Mh Tundu Lissu amewahi kutumikia Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa Sheria au kwa kujitolea? Nia ni njema kabisa. Ramadhan Kareem!
  3. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yamshukuru rasmi Rais Samia kwa kuwa kiongozi pekee wa Serikali aliyekwenda Nairobi kumjulia hali Tundu Lissu

    CHADEMA imetoa shukrani rasmi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kitendo cha kumtembelea Tundu Lisu Nairobi hospital alipolazwa baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema Rais Samia akiwa Makamu wa Rais wa Magufuli wakati huo alionesha ujasiri na...
  4. JamiiForums Tanzania Hasara za kujipatia umaarufu wa kisiasa kwa kumshambulia mtu badala ya hoja zimemmaliza Tundu Lissu baada ya Mtesi wake kupumzika

    Hoja kubwa ya Umaarufu wa Tundu Lisu ilikuwa ni kumshambulia kwa maneno yoote ya dhihaka mwendazake Umaarufu wake uliimarika zaidi pale alipoingia kwenye kampeni na kuvunja sheria za nchi kwa kufanya kampeni mpaka usiku ilikuwa kila anapopst ujumbe lazima uambatane na kejeli kwa mwendazake...
  5. J

    JamiiForums Tanzania PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

    Mwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na uzandiki uliopindukia. Lumumba alikuwa anajibu swali la mtangazaji Shaka Ssali wa VOA na kusema...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu mubashara VOA

    Ni muda wakusikia madini kutoka kwa Mhe. Tundu Lissu akiwa live VOA akichambua hoja na kujibu maswali mbalimbali kutoka katika chombo hiki cha kimataifa. Karibu tumsikilize , nilitamana sana mahojiano Kama haya yangekuwa yanafanywa na televisheni na media zetu kama ilivyokuwa enzi ya JK lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Next on Straight Talk Africa: Tundu Lissu alongside Professor Lumumba - PLO

    Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa Kesho saa 3 unusu usiku
  8. P

    JamiiForums Tanzania 2025 ili ukubalike kwa haraka, italazimu Tundu Lissu kulitaja jina la JPM kuomba kura kwa Wananchi

    Amini usiamini ndivyo itakavyokuwa, Kama ambavyo imekuwa karibu Kila mara Jina la Hayati Mwl JKN kuwa ndio dira na mfano Bora Kwa kila kiongozi kuombea Kura hata kurejea hotuba zake Ili kujijenga kisiasa. Kwa kadri siku zinavyosonga na vizazi vingi kwa sasa Kwa sababu ya kukosekana somo la...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tundu Lissu mahojiano yake na KTN kuwasema vibaya Jomo Kenyatta na Moi hakuwatendea haki Wakenya

    Kwenye mahojiano jana na television ya Kenya ya KTN live akiwa Ubelgiji aliwaponda sana mzee Jomo Kenyatta na Daniel Arap Moi kuwa walikuwa madikteta akawapongeza wakenya kujitoa kwenye mikucha yao na kuwa vizuri sasa. Hakuwatendea haki .Naomba wakenya wenyewe rejeeni hayo mahojiano ni ukosefu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

    Najiuliza tu kama CHADEMA wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lissu kugombea tena urais 2025. Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana. Maendeleo hayana vyama!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Tundu Lissu huko Ubelgiji ni yake binafsi au anaongea kwa niaba ya CHADEMA?

    Ni vema watanzania tukajua kama Chadema ina ofisi ndogo Ubelgiji inayotumiwa na makamu mwenyekiti wa chama hicho chenye makao yake makuu mtaa wa Ufipa Kinondoni. Na pia kama yale yote anayoongea Tundu Lisu na vyombo vya habari vya Ulaya na Marekani yana baraka za chama hicho. Na kwamba kwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anastahili kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA lakini siyo Rais wa Tanzania

    Nimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT. Kiukweli ingependeza sana kama Tundu Lisu angekuwa ndiye mwenyekiti wa CHADEMA kwa sababu anamzidi sana Freeman Mbowe kimaarifa na kwa kukubalika. Lakini kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Swali kwa Tundu Lissu: Kama Corona ipo Tanzania, kwanini toka alipoingia Tanzania na kipindi chote cha kampeni miezi mitatu hakuvaa Barakoa?

    Tundu Lissu amekuwa akidai kuwa Corona Tanzania ipo akiwa Ubelgiji ukimbizini. Akiwa Tanzania hakusema toka siku ya kwanza alipotua tu uwanja wa ndege alivua barakoa na hakuivaa tena kipindi chote cha miezi mitatu aliyokaa Tanzania akifanya kampeni akizungukwa na umati wa watu wasiovaa barakoa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia Rais Biden anavyofuta sera za mtangulizi wake ni wazi Tundu Lissu angeshinda angeirudisha Serikali yote Dsm!

    Natafakari tu. Iwapo makao makuu ya CHADEMA bado yapo Dar es salaam hadi leo yawezekana chama hicho hakikubaliani na sera ya kuhamishia makao makuu ya serikali Dodoma. Je, unadhani ni nini Tundu Lissu angekifuta mapema kama angefaulu kutinga jumba jeupe ambacho kingeturudisha nyuma...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ukiwaangalia kwa makini wafuasi wa Trump na wale wa Bobi Wine utagundua kuwa Tundu Lissu hana wafuasi bali mashabiki!

    Tundu Lisu baada tu ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa alikimbilia ubalozi wa Germany kisha JNIA kukwea pipa na kurudi zake Ubelgiji. Hakuna kamanda yoyote kutoka Chadema aliyejitokeza kumtetea Lisu zaidi ya akina Mrangi, tindo, Mmawia, erythrocyte na salary slip waliokuwa wanampigania hapa...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

    Upepo unapeperusha mawingu kwa taratibu na huwezi kujua kama mawingu yanasafiri, kumbe ni dunia ndiyo inazinguka kwenye muhimili wake. Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa vinasema Kyagulanyi alikubalika miongoni mwa wapiga kura vijana ambao ni 78% kulingana na watu wazima kwa asilimia...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Mwinyi kukiri kwamba Rais Magufuli ndiye amewezesha Zanzibar kuwa Wamoja, ni wazi Tundu Lissu angepata uteuzi kama alivyoahidiwa

    Akiwa mkoani Geita Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Wazanzibar sasa ni wamoja na wanajenga nchi yao kwa pamoja na amemshukuru Rais Magufuli kwa kuwezesha Zanzibar kuwa wamoja na watu wanaopendana. Nakumbuka Tundu Lissu aliahidiwa kutafutiwa teuzi inayolingana na uwezo wake lakini...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanasiasa asiyejipendelea hata Tundu Lissu na Zitto waliwapendelea dada zao Ubunge Viti Maalum!

    Tunakumbushana tu. Tundu Lissu alikuwa na dada yake Bungeni Zitto Kabwe alikuwa na dada yake Bungeni. Dkt. Slaa alikuwa na mtalaka wake Bungeni Ndesamburo alikuwa na mwanae pamoja na mkwewe bungeni Mbatia alimpeleka dada yake bunge la Afrika Mashariki nk nk Kila jambo na wakati wake, awamu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu na Lema hawakwenda uhamishoni kwa marafiki zetu China ila wameenda kwa Wakoloni?

    Kwanza nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka. China ni marafiki zetu kama taifa tangia tulipojinasua kwenye makucha kandamizi ya wakoloni waliotunyonya na kututesa sana huku wakipora rasilimali zetu. Ndio nauliza kwanini Tundu Lissu na Godbless Lema wameomba hifadhi kwa adui zetu...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa waliosingiziwa sana ni Kawawa, Lowassa na Ridhiwani pia wanasiasa waliosingizia sana ni Dr Slaa na Tundu Lissu!

    Moja kwa moja kwenye pointi ni kwamba kama kuna wanasiasa waliosingiziwa sana kwa habari za uongo nchi hii basi ni Kawawa rip wakati wa chama kimoja na mzee Lowassa na Ridhiwani Kikwete wakati wa vyama vingi. Na wanasiasa wanaoongoza kwa kuwasingizia wenzao habari za uzushi ni Dr Slaa na Tundu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…