Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amewalaani Viongozi wa CCM kwa kugawana rasilimali za nchi vikiwemo viwanda na kumtaja mmoja wa wanufaika wa ubazazi huo ni mbunge wa Morogoro mjini Dr Abood.
Tundu Lissu anesema "CCM wanapenda kumsema sema Magufuli kwa sababu tu AMEKUFA...
Tundu Antipas Lissu wa 2015 -2020 sio huyu wa Leo 2023. Lissu wa Sasa ameporomoka hata hoja anazojenga hazina nguvu tena.
Labda ni kwa sababu mara nyingi amekuwa akirudia hoja zile zile!! Sijajua wazungu wamemfanyaje Huko alikotoka!!
Ajitafute upya huyu sio Lissu tunayemjua
Katika mkutano wake mkubwa wa hadhara wa Morogoro mjini leo hii, ambao bila shaka umevunja rekodi ya mahudhurio, pamoja na mambo mengine, Tundu Lissu anahoji anayebandika mabango nchi nzima yakiwa na picha yake na ya watu wengine kwamba eti wamepatanishwa. Amehojiwa kama wamepatanishwa...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,Tundu lissu aliwaonya serikali kuhusu mikataba ya MIGA lakini wabunge wa ccm pamoja na serikali walimuona Tundu lissu sio mzalendo
Bunge lile lile na watu ni wale wale kupitia kwa Prof Mkumbo ambaye ni mbunge wa ubungo wameanza kulalamika kuwa serikali inaingia...
Watanzania hawana haja ya kuteseka kuhusiana na kukamatwa kwa ndege ya Air Tanzania ambayo imefikisha miezi 6 sasa bila kuachiwa kwani walitumia kodi zao kusomesha wasomi wazuri wa sheria wenye uwezo wa kutetea hadi makampuni ya nje kama Acacia akina Tundu Lisu na wenzake.
Kwenye awamu ya tano...
Tundu Antipas Lissu hanaga Unafiki na ndio aina ya Viongozi wanaotakiwa zama Hizi za Sayansi na Teknolojia
Siasa za Uwongo na kuwafanya Wananchi mazuzu na misukule zimeshapitwa na wakati
Tanganyika tulipata Uhuru wa mezani ndio sababu Tuko kama Tulivyo tofauti na Wenzetu wa Unguja...
Kutokana na taifa hili kuvamiwa kijeshi na kikundi cha watu wasio julikana miaka saba ya utawala wao taifa hili lilijazwa hofu watu kutekwa na kuuawa kama kuku, kupiga risasi watu hovyo na wengine kupotezwa.
Wapo wenzetu kutokana na nafasi zao pamoja na hali ya kuogofya bila kutanguliza maslahi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuanza ziara kabambe ya Kikazi kwenye Kanda ya Kusini.
Katibu wa Kanda hiyo Governor Kaduma amewaambia waandishi wa habari Mjini Masasi kwamba kwenye Mikutano hiyo ya hadhara , Kikosi kazi cha Chadema kitaongozwa na yule yule Mwamba wa...
Tundu Lissu kwa maneno yake mwenyewe na kwa kujiamini alisema Magufuli ndiye aliyeagiza apigwe risasi kwa madai kuwa alikua msaliti bahati nzuri akapona.
Lissu alidai tena aliponea kuuawa mara ya pili baada ya uchaguzi kumalizika na akaokolewa na ubalozi wa Ujerumani.
Rais Samia ambaye ndiye...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameulizwa kama Serikali imeshakamilisha malipo ya kiinua mgogo chake alichokuwa anadai, majibu yake ni haya:
“Nilikuwa nadai kiinua mgogo cha miezi 44 niliyokuwa Bungeni, nimelipwa kiinua mgongo cha miezi 20 bado cha miezi 24.
“Nilikuwa nadai fidia ya...
Kama ikipata wasaa wa kusoma kitabu kinaitwa "Zero Fail" (2021) utaelewa nini hasa ninachozumgumza. Kitabu hicho kinaainisha matukio ambayo Idara ya Ujasisi na Ulinzi wa Marekani imewahi ku-fail kama kifo Cha JF Kenedy. Kuna mengi katika kitabu nadhani nitayasema nikiandika Uzi kuhusu uhalisia...
Kitu kimoja ambacho Viongozi wakuu wote wa Upinzani wanakubaliana ni kwamba hayati Magufuli aliimarisha nidhamu ya Watumishi wa Umma na nidhamu ya serikali kwa Wananchi Wote.
Wanapopongeza hili wajue pia Nidhamu haiji kwa kuchekeana bali hutengenezwa kwa mfumo wa kimkakati.
Ni katika...
😅
Kama upo vile! Yaani mtaani unakatiza, unasikia 'fyiii fyiiii fyiiiii' miluzi kibao, ukitazama nini kinaendelea, unaona mdada, kapiga baibui, ushungi na anaondoka na mikogo balaaa.....huku
Ukisikia tuk tuk tru tru tuu tuuu tuu paaa! 🛵🔫yaani mlio ya bajaji na vibodaboda vilivyokosa ka...
Makamu Mwenyekiti Mh Tundu Lissu akiwa katika mtandao wa Club house ameweka wazi kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeanza kupokea Ruzuku Mwezi huu uliopita.
Makamu huyo nguli wa sheria na siasa bora Tanzania ametumia nafasi hiyo kuwapongeza watanzania waliokiunga mkono chama hicho kikiwa...
Ni dhahiri ndani ya CHADEMA watu wanachekeana usoni ila mioyoni mwao watu wanapiga mahesabu ya 2025.
Baada ya uchaguzi wa 2020, Kamati kuu ya chama hicho ilitoa msimamo kuwa hakuna kushiriki uchaguzi wowote ujao bila uwepo wa Katiba mpya yenye Tume huru ya Uchaguzi.
Mwanzoni kabisa, msimamo...
Mimi ni mfuasi wa upinzani, sijui Lissu yupo wapi? Nilimsikia na kumuona alipotoka Belgium na kufanya mkutano wa hadhara hapa Dar. Baada ya hapo hajasikika tena.
Nimekuja hapa JF kwa kujua nitapata majibu alipo Lissu, tafadhali naomba kujua.
Hakuna mwanasiasa ataacha kumsifia Shujaa Magufuli wakati wa kuomba kura 2025.
Siyo wa CCM wala Upinzani kura zimebebwa na Nyota ya Magufuli.
Wale wajanja wameanza mapema na wataongezeka zaidi na zaidi.
Yesu akawaambia wale wanafunzi kamwambieni Johnthebaptist kuwa Viwete wanatembea na Vipofu...
Dunia ni kijiji kinachoendeshwa kwa teknolojia
Tumwache Tundu Antipas Lisu aishi sehemu anayohisi yuko salama zaidi, Tusimpangie
Ameshapitia magumu mengi ikiwemo kuchungulia kaburi
Dominica njema
Tundu Lissu anajua kutoka moyoni kwa uhakika kabisa kwamba Magufuli hakuhusika na shambulio lake lkn kwa kuahidiwa hela akakubali kulichafua Jina la Magufuli kwa kumsakizia mambo ya uongo akamdhalilisha mpaka amelala umauti hakuwahi kumuomba msamaha.
Lakini cha kushangaza sana Sana kwa utu...
Siwafundishi kuhusu siasa ila ni bora kama chama kilichokuwa na kinachoishilia katika ushawishi wake kwa wananchi! Iko haja viongozi wandamizi kuketi ili kupiga hesabu za chama kinapashwa kiwe na mwelekeo upi!
Ni ukweli kabisa na kila mwenye jicho la mwewe aliyeko Chadema! Hatazami akaona kama...