tundu lissu

  1. K

    Serikali imlipe Tundu Lissu gharama zake za matibabu

    Juzi wakati Tundu Lissu akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kuvuja kwa taarifa ya mauaji yake alilalamikia sana Serikali kuwa haijamlipa gharama zake za matibabu mpaka leo. Serikali yetu ina upendo, mshikamano na tuko wamoja pia ni Serikali inayozingatia sheria, taratibu na kanuni ni...
  2. I

    Kwanini TIGO hawamburuzi mahakamani Tundu Lissu kwa kuwaharibia biashara?

    Tangu jana Tundu Lissu amekuwa akiwatuhumu TIGO kuwa walihusika kutoa nyendo zake kwa watu waliotaka kumuua kwa kumpiga risasi. Kwa mujibu wa Lissu Tigo ndiyo walifanikisha watu wasiojulikana kumfuata hadi nyumbani kwake na kumfyatulia risasi 38 na kati ya hizo risasi 16 zilimpata. Tuhuma hizi...
  3. MIMI BABA YENU

    Kesi ya Michael Clifford dhidi ya Tigo ni mkakati, kuna jambo zito ndani yake

    Kuibuka kwa suala la Tundu Lissu kupigwa risasi siku moja baada ya kuzimwa kwa maandamano ya Chadema kumetajwa kwamba ni sehemu ya njama chafu zinazofanywa na mabeberu na vibaraka wao kuleta machafuko na kuvuruga amani ili nchi isitawalike. Habari za uchunguzi zinasema, kufunguliwa kwa kesi ya...
  4. S

    Kwanini Tundu Lissu anapewa airtime kubwa sana ITV kuliko Rais wa nchi? Serikali iwachunguze!

    Kuna vyombo vya habari nchi hii vinashabikia uvunjifu wa amani, wanashabikia habari hasi dhidi ya serikali. Je ni kwamba wana ajenda ya siri, wanatumiwa na vibaraka kuchafua taswira ya nchi yetu? Je, nchi hii ikiparanganyika wao wana nchi nyingine ya kuishi? Imekuwa kawaida vyombo vya habari km...
  5. Nehemia Kilave

    Ijue Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, sheria no. 11 ya mwaka 2022

    Hii ni sheria ya 2022 , lakini ni vyema kujifunza yafuatayo tunavyoelekea kwenye kesi ya Tundu Lissu vs Tigo kama mkusanyaji na mchakataji wa taarifa za Tundu lissu. 1. Kuna Tume ya ulinzi wa Taarifa binafsi 2. Mtu yeyote atakayebaini kuwa mkusanyaji au mchakataji amekiuka misingi ya ulinzi wa...
  6. F

    Tundu Lissu ni clever but not Intelligent person. Ni Kiongozi mwenye papara sana na hana utulivu kabisa

    Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana! Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana! Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana! (The Art of War by Sun Zu)! Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku...
  7. S

    Katika moja ya hotuba Hayati Magufuli alitamka hadharani kuwa walikuwa wana-track simu za mtu ambaye hakumtaja na alithibitisha walipata nakala

    Wakati watu wanasema tuogope teknolojia, mimi nasema tuogpe "power of nature. Katika vitu ambavyo hufanya kazi beyond human understanding, basi ni hii power of nature. Nimeyasema haya baada ya kuisikiliza tena clip ya Mwendazake na ku-refer haya yanayotokea leo hii. Ni vile tu hakutaja jina la...
  8. Erythrocyte

    Mashehe na Maaskofu wanaohangaika kumuombea Dua Paul Makonda wanajisikiaje anapotajwa waziwazi kushiriki kushambulia watu?

    Kwenye Biblia Takatifu kuna andiko husomwa mara nyingi kwenye misiba na hasa wakati wa Mazishi, linaandikwa hivi' Msitake kuzijua habari za waliolala mauti, maana mkizijua Mtasononeka, Sina hakika kama nimepatia, kwa vile mimi si mjuzi sana wa mambo haya. Wajuzi wanasema andiko hili...
  9. Stroke

    Hizi ndege za ATCL zimemkosea nini Lissu? Mbona anaziwazia mabaya tu?

    Leo akizungumza na Waandishi wa Habari , Wakili msomi wa kwenye majukwaa Bwn. Tundu Lisu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote...
  10. Suley2019

    Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani

    Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024 na kueleza kuhusu Tigo kuhusika na tukio lake la kushambuliwa Simulizi ya Tukio la kushambuliwa kwake "Ilichukua takribani wiki moja kama siku tisa (tangu Polisi...
  11. Q

    Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

    https://www.youtube.com/live/SVGXG6yMBgM Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam Kiongozi wa kikosi cha mauaji dhidi yangu mwaka 2017 alikuwa Paul Makonda. Aliwaongoza wauwaji walionipigia...
  12. Common Folk

    Nchi inapaswa kujua aliyekuwa anapewa "Live Location" na Data za Mawasiliano za Lissu ni nani

    Shida siyo content za Lissu alizokuwa anawasiliana na hao watu, shida ni kwa nini wamfanyie "Assassination Attempt" badala ya kumfikisha kwenye vyombo vya kisheria kama kweli alikuwa anafanya uhaini kwa nchi yake. Kitendo cha kujaribu kumuua kwa njia za panya inaonesha hakukuwa na dosari yoyote...
  13. Nehemia Kilave

    Binafsi sishangai kwa Tundu Lissu kuwa tracked, kinachonisikitisha na kunishangaza ni kwanini alipigwa risasi

    Notorious BIG aliwahi sema maneno yenye maana ifuatayo juu ya kifo cha 2pac “Sure we had our hardships, but I would never wish death upon no one. There's no coming back from that.” RIP Biggie and 2 Pac Hayo maneno haya yamebabe sababu kubwa sana kwanini hutakiwi kuua au kuombea kifo mtu yeyote...
  14. Fabolous

    Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

    Katika mashauri yaliyosikilizwa katika Mahakama ya ajira ya London, Uingereza, imeibuka taarifa kwamba kampuni ya mawasiliano ya Tigo ilihusika katika kutoa taarifa za simu za mwanasiasa maarufu wa Tanzania, Tundu Lissu, kwa mamlaka za serikali kabla ya jaribio la mauaji dhidi yake mwaka 2017...
  15. Keynez

    PreGE2025 Tundu Lissu mwana wa Yese amepewa kibali cha kuwaongoza Watanzania

    Embu Watanzania wenzangu tuchukue wasaa kujikumbusha mafundisho muhimu sana yaliyopo katika hadithi ya Daudi, Mwana wa Yese. Naweza kuandika volume ya vitabu kuhusu hadithi ya Daudi na mafundisho yake. Daudi alikuwa mpakwa mafuta ambaye angali bado mdogo alipewa kibali cha kuwaongoza Wana wa...
  16. Joseph Ludovick

    Maandamano, Lissu kapoteza, Mbowe Kapata: Uchambuzi wangu

    Maandamano yaliyofanyika leo Tundu Lissu hakuonekana hadharani akiongoza wala kushiriki maandamano. , kuna dalili za mabadiliko ya kipekee katika uongozi wa chama na nguvu za kisiasa ndani ya chama hicho. Kuna mambo kadhaa muhimu ambayo yanahusiana na athari hizi, yakiwemo ushawishi wa viongozi...
  17. Erythrocyte

    Baada ya Shinikizo la Kimataifa, Viongozi wa CHADEMA Waanza kuachiwa, Mbowe, Lissu na Lema Waachiwa

    Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua. Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote. Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina...
  18. Mpwayungu Village

    Maandamano sio ya CHADEMA ni ya wananchi. Tusimsubiri Mbowe wala Tundu Lissu

    Vichwa vya watanzania bado vinabidi viitiwe mkoloni maana bado akili zimelala. Eti wanamsubiri mbowe na lissu kwenye maandamano, kwahiyo wakikamatwa au wasipokuja ndohatuandamani au? Haya maandamano inabidi yaratibiwe na sisi watanzania hata kama wanasiasa yoyote yule asipokuja sisi tusonge...
  19. Cute Wife

    PreGE2025 Maandamano ya CHADEMA: Lissu kwenda kuripoti Ofisi ya RCO Kinondoni asubuhi hii

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema asubuhi hii (leo, Jumatatu Septemba 23, 2024) amefuatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi nyumbani kwake, na kuelezwa kuwa anahitajika kuripoti kwa RCO wa mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Dar es Salaam, ambapo amesema yuko tayari kwenda kuitikia wito huo...
  20. Msanii

    PreGE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

    Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua kwamba lengo la maandamano hayo ni kupinga wimbi na matendo mabaya yanayoendelea nchini ya utekaji...
Back
Top Bottom