Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa katika viunga vya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akifikishwa mahakamani hapo.
Yaliyojiri Mahakamani;
Kesi ya Lissu: Mahakama kujadili ombi Jamhuri kuongeza ushahidi wa...
Kundi Kazi la Umoja wa Mataifa kitengo kinachoangazia, Kuwekwa Kizuizini Kinyume cha Sheria ( Arbitrary Detention ), limeeleza kuwa kufungwa kwa Kiongozi wa Upinzani Tanzania, Tundu Lissu, ni kinyume cha sheria na limetaka aachiliwe mara moja.
Katika maoni yake yaliyopitishwa katika kikao cha...
1. Vita ya Tafsiri: "Shahidi" vs "Ushahidi"
Hapa ndipo kiini cha pambano kilipo.
Hoja ya Katuga: Anasema kifungu cha 308 kipo kumlinda mshitakiwa asishtukizwe, hivyo wanatoa taarifa (Notice) ili kuleta mambo mapya ambayo hawakuyaingiza mwanzo kwa shahidi yuleyule (ACP Mahamba).
Jibu la Lissu...
Waheshimiwa Majaji, Wanataka tuzungumze mambo ya October 29 mtakuwa mmefungulia balaa jingine na isije ikawa shida. Mkifungua huo mlango tutaenda huko. Tutazungumzia mauaji ya kimbali na tutaulizana nani aliyeua watanzania. Hii kitu haina mashiko. Are they ready? Mimi niko tayari. Isiruhusiwe...
Kupitia ukurasa wa Instagram na (X) zamani Twitter anaandika John Heche ambaye ni makamu Mwenyekiti CHADEMA
"Nimetoka Gereza la Ukonga kumuona Mwenyekiti…
Nimefanya kila jitihada kuweza kumuona nimezuiliwa kinyume cha sheria na utaratibu uliopo.
Mfungwa au mahabusu anaweza kutembelewa na...
Wakuu,
Uzuri wa Lissu huwa hakwwepeshi. Yaani hanaga chujio anawachana hapo hapo
Huyu shahidi kaharibu hadi Lissu kaonesha kabisa hapendezwi na kinachoendelea
==========
Mhe. Lissu: umesema kwamba wewe kazi yako ni dereva wa boda boda kweli si kweli?
Shahidi wa kificho P3 : kweli
Mhe...
Wakuu,
Kaeni karibu na uzi huu ili mpate updates ya kinachoendelea leo kwenye kesi ya leo
Mawakili wa Serikali wameshaingia Mahakamani lakini Majaji na Mshitakiwa bado hawajaingia.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amefikishwa tena kizimbani tayari kwa kuvaana na mashahidi wa upande wa...
Wakuu,
Tundu akiwasili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam ambapo leo kesi ya uhaini inayomkabili itaendelea
Dada wa Mhe. Tundu Lissu akiwasili Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili mdogo ake...
Sijawahi kudhani baada ya Nyerere kutakuja kutokea Mtanganyika mwingine Ambaye atakuja kuwa Maarufu kwa kiwango hicho
Kumbe nilikuwa nimepofushwa, Leo ni Lissu
Taarifa zingine zinaeleza kwamba hakuna Mwanasiasa yoyote wa eneo la Maziwa Makuu anayemfuatia kwa karibu , hata wale wanamfuatia...
Kwenye Biblia Takatifu, waraka wa Pili wa Petro 1:5-6, imeandikwa hivi: ... katika imani yenu tieni na wema, na katika wema wenu maanifa, na katika maarifa yenu kiasi, na katika kiasi chenu saburi, na katika saburi yenu utauwa ... .
Neno "saburi" kwenye Biblia, limekuwa likitumika kumaanisha...
Wakuu
Leo Lissu ametinga na chakula kizimbani na kusema maneno haya, "Una chakula cha kutosha kila kheri" Wakili Peter Kibatala akizungumza na Lissu kabla ya kesi kuendelea hapa Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam.
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, inatarajiwa kuendelea leo, Februari 17, 2026, katika Mahakama Kuu, Masijala Ndogo, Dar es Salaam.
Leo kesi hiyo itaendelea kusikilizwa mfululizo katika hatua ya ushahidi, ambapo tayari mashahidi wanane wa Jamhuri wameshatoa...
Baada ya kuwa namsikiliza Tundu Lissu kwenye hii kesi yake. Nimegundua mambo mengi sana. Nimeona huyu jamaa sasa ndo anafanya Uhaini na Ugaidi live kabisa.
Yaani Serikali yote anaivua nguo. Yote kuanzia Juu kabisa mpaka hapo anaonesha kuwa majority hawana akili na ni vilaza sana. Inashangaza...
Wikend kama hii umeamua kuitoa out familia yako.
Let's say umewapeleka mlimani city hivi.
Katika mizunguko mle ndani, watoto zako wa kike wanaomba uwapitishe washroom.
Mkifika, wanaingia ndani.
Kidogo unaliona shoga mbavu linaelekea toilet walipo wanao
Zimetoka Tshirt zinaonesha picha ya Tundu Lissu na Ujumbe unaohusiana na Kesi yake zinauzwa kila moja TZS. 15,000/= haifahamiki hizo pesa za mauzo zinaenda wapi lakini pia BAVICHA hawana akili ya ku question mambo ambayo ni critical ila wanaweza kuelekeza Matusi ya kila aina kwa Rais wa Jamuhuri...
Habari za Wakati huu;
Kuna mambo ukiyatazama kwa mbali na hata kwa ukaribu huwezi kuelewa kabisa.
1. La kwanza ni hili la Tundu Lisu.Tundu Lisu amewekwa Gerezani takribani Mwaka mmoja.Amewekwa Mahabusu.Kesi yake inaonekana kabisa ni kesi isiyo na mashiko wala msingi.Ni kesi ya kubumba.Swali ni...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema watu wengi wanahoji kuhusu masuala ya maridhiano, akiuliza, “Unakaa na nani? Nakaa na mtu ambaye amemkamata mwenyekiti wako kwa kesi ya uongo.” Kauli hiyo ameitoa akielezea msimamo wa chama chake kuhusu wito wa...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, ljumaa Februari 13, 2026 inatarajiwa kuendelea na Kesi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu katika kesi ya uhaini inayomkabili Kesi Yenye Na. 19605/2025 inayosikilizwa mbele ya jopo la Majaji watatu...
Hivi hawa ni watu kweli? Au serikali hii inaongozwa na Mashetani ila hatujui?
Mtu unamfungia jela miezi 10 ili hali ukijua kuwa Hana kesi ila unamkomoa, halafu una mleta mahakamani anakopambana na timu kubwa ya Mawakili wa serikali na chakula unamnyima?
Hivi watu wakishangilia vifo vya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.